HATARI SANA: DIVA WA CLOUDS FM AWAPA MAKAVU LIVE WANAOCHONGA KUHUSU ISHU YAKE NA WEMA SEPETU...

Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo:
Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa @wemasepetu ryt?! very good .. ndio mie kibaraka wake kwani do you have Problem with that ?! come on now .... 

i love her and yes she is my girl and ndio mie kibaraka wake.. mitusi na kumtusi my baby unapoteza muda coz yes i love my baby hata kama unahisi sio type yangu but humjui .. ushaenda bank kuangalia salio lake?

uyo mbunge si umfuate wewe kama unamtaka? my life my rulz nachagua nani niwe nae nani simtaki.. uyo unamuona hanifai mwenzio ndio sili silali sababu yake.... yaan dats my future husband... afu wema ndio my girl sasa na nitamtetea daily nikiona mnamkosea....afu ka hujui ushajijua wewe ulienitukana kurasa na kuingilia hadi familia yangu uso na adabu unaetafuta followers kinguvu... i am team @wemasepetu for life and speaking of my baby well .....  

nitakua nae ndio wangu tena Mpaka kifo kitakapotutenganisha... asa kip on hating kwenye level uliopitiliza uone kama nitakufa for that .. grow the f up and respect my pops next time.. Diva this Diva dat hamchoki?! i live my life to the fullest .. stress for who for what?! mniache

Comments

Popular posts from this blog