Posts

HIZI NDO ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA

Image
Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako.  Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.   Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari. Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.  Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kuk

MKUU WA POLISI WILAYA (OCD) IRINGA APATA AJALI

Image
Askari  walilikuwa  wakielekea katika mkutano   wa uzinduzi wa  kampeni  za CCM kata  ya  Nduli Iringa mjini wakitazama gari  ambalo alikuwa akiendesha  OCD Iringa  lililopata  ajali majira ya saa 10 jioni leo  jumapili japo hakuna  aliyepoteza maisha  ktk ajali hii iliyotokea  kona  la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma wasomi  wa  chuo  kikuu cha Iringa wakitazama  ajali hiyo amba

Angalia PICHA.....WADADA WALIO NASWA WAKIWA WAMEVAA MAKALIO BANDIA

Image
hapa wowowo ndio lmevaliwa.. tobaaaa!!! hapa linachungulia, afu huyu kama alicia keys!! ebu mdau wangu nisaidiee.. tobaaa!! wowowo la dada likaonekana eheheh... diiihhh!!! siongei kituwh!! huyu limempendeza eti eeh!! awww!!! dooh!! asa hili ukiwa unacheza taarab si linakuwa ata kutingisha alitingishiki?? unabaki kuwa na wowowo kama chuma vile..!! mwe!! hapa hips lilimgomea dada, likatokea hips moja ahahhah mwe! uthingidhiiiii!!!

SOMO MAALUM KWA WANAWAKE WANAO TAKA KUOLEWA

Image
. ..Hata kama utapingana na mimi, lakini ukweli utabaki pale pale; Kila jinsia inahitaji sana kuungana na jinsia nyingine katika tendo muhimu na la kihistoria katika maisha liitwalo ndoa! Yes, huu ni ukweli ambao upo wazi na utaendelea kusimama kama ulivyo. Jinsia zote zina umuhimu na jambo hili muhimu, lakini kuna tofauti kidogo, kwamba mwanamke anasubiri kufuatwa na mwanaume, wakati mwanaume anaamua kumfuata mwanamke anayemtaka na kwa wakati wake. Kuna kitu nataka kuweka sawa hapa, kwamba wanaume ndiyo huwa wa kwanza kupenda kabla ya mwanamke, ingawa mwanamke anaweza kuwa wa kwanza kupenda lakini akashindwa kufikisha hisia zake kwa mwanaume husika. Wanawake wa ‘mjini’ huwa hawakubaliani na hili, kutokana na huu utandawazi unaohubiriwa siku hizi ikiwa ni pamoja na kampeni za usawa zinazotetewa na Wanaharakati Wanawake. Akina dada nao huchangamkia kueleza hisia zao kwa wanaume. Nadhani si jambo baya, ingawa linaweza kupokelewa kwa hisia tofauti na kila mwa

ANGALIA NAFASI ZA KAZI ZA JESHI LA ZIMAMOTO

Image
Kamishina wa Jeshi la Zima moto na uokoaji anawatangazia Watanzania wenye Sifa kutuma maombi ya kazi kujaza nafasi za kazi zifuatazo; Qualifications: Sifa za Mwombaji. Mwombaji awe amehitimu na kupata cheti cha mtihani wa kidato cha sita. Mwenye ujuzi katika fani zifuatazo atafikiriwa zaidi. Na diploma ya kawaida ya Uuguzi au awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la 1 katika moja ya fani ya Umakenika , ufundi bomba, ufundi umeme, uchomeaji, ufundi uashi na ufundi seremala. Kazi za Kufanya. i.Kusimamia kazi za chumba cha mawasiliano; ii.Kusimamia kazi za uzimaji moto na uokoaji; iii.Kuandaa utaratibu wa ukaguzi wa vituo vya maji vya Zimamoto (Fire Hydrants Inspection); Kutunza kumbukumbu za kituo na v.Kutekeleza kazi nyingine atakazopangiwa na viongozi wake wa kazi. How to Apply How to apply: MASHARTI MUHIMU YA KUZINGATIA. i.Mwombaji awe raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 30, mwenye afya njema na amb

NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AKUTWA AMEKUFA NDANI YA BONETI YA GARI NDOGO. CHEKI PICHA ZAIDI

Image
Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za magari unaweza kuta hajafa akakugonga. TUPIA MAONI YAKO INGEKUWA GARI LAKO UNGEFANYAJE

ASKARI 96 WA TANAPA WAMALIZA MAFUNZO YA AWALI WAAHIDI KUPAMBANA NA MAJANGIRI‏

Image
Mkurugenzi   mkuu wa TANAPA Allan kijazi akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya   kuhifadhi maliasili katika chuo cha wanyama pori cha Mlele mkoani katavi    ambao hawapo pichani hapo juzi katika chuo cha wanyama pori cha mlele     ambapo wahitimu 96 walihitimu mafunzo ya awali ya wahifadhi wa     rasilimali za nchi na aliwataka wafanye kazi kwa uadilifu mkubwa ili     waweze kupambana na kutokomeza ujangiri na kuvunja mitandao ya majangiri    ya ndani ya nchi na nje ya nchi.  Askari   wa hifadhi ya  mbuga ya wanyama (TANAPA)  wakiwa wamesimama  akifunga mafunzo ya askari hao waliohitimu mafunzo ya miezi 3 katika      Askari wa hifadhi ya  mbuga ya wanyama   (TANAPA) wakiwa wamekaa wakimsikiliza mkurugenzi mkuu wa TANAPA ALLAN     KIJAZI ambaye hayuko pichani wakati akifunga mafunzo ya askari hao     waliohitimu mafunzo ya miezi 3 katika chuo wanyama pori cha Mlele mkoa     wa katavi namna ya kulinda rasilimali za nchi ambapo amewataka wahi

MAUNGO YANGU YA MWILI YANANIPA TABU,NATONGOZWA KILA KUKICHA

Image
Ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu. Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo.

WEMA SEPETU NAYE HAYUPO NYUMA ATUPIA PICHA TATA YENYE MITEGO

Image
Ni hivi karibuni Tu Msanii wa marekani Rihanna aliyetokea katika wimbo wa Shakira Can’t Remember To Forget You’  na anayetamba na ngoma zake nyingi tu ameonekana katika picha za utata alizozipost katika ukurasa wake wa Instagram ,  Bongo Movie Star  madam Wema  Sepetunga naye Amemrudi baada ya kupost naye picha zake za kiutata tata huku akiwaambia mashabiki zake kuwa ameanza uchokozi hivyooooo

MASKINI MSANII HUYU WA BONGO MOVIE AMEVUNJIKA MGONGO...

Image
Zaina Ramadhan ‘Nandi’. MSANII wa Kundi la Kaole Sanaa, Zaina Ramadhan ‘Nandi’ anasumbuliwa na ugonjwa wa mifupa akidai kuvunjika pingili za mgongo kisha kushindwa kutembea na kufanya kazi zake za sanaa na nyinginezo.     Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Nandi alisema kuwa alianza kuumwa baada ya kupata hitilafu mwaka 2012 alipokuwa akitoka Chuo cha Sanaa pale Lego, Ubungo jijini Dar.   Nandi alisema siku ya tukio alikuwa akivuka barabara ambapo alishangaa kuona mguu umesita ghafla akashindwa kutembea hadi watu wakambeba kumsaidia kuvuka.   “Sikujua kilichonipata, nikaenda nyumbani wakanichua na mafuta ya asili ambayo yalinisaidia kidogo lakini tatizo lilizidi kuwa kubwa. Nikiwa nyumbani mama aliniomba nimsaidie kubeba vyombo lakini nilishindwa kuinua beseni baada ya kuinama na pingili za mgongo zikavunjika,” alisema Nandi.   Baada ya hapo, Nandi alisema alikwenda Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar ambapo alimuona daktari

HUU NI MKASA WA KUSISIMUA WA KAHABA ALIYEOLEWA NA MCHUNGAJI NA KUPATA MIUJIZA:

Image
MUST READ... BASED ON TRUE STORY<<<<< Dada mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahida, alikuwa anafanya biashara ya kujiuza ili aweze kuweka kitu umboni mwake. dada huyo alikuwa na wateja wamaana na mapedeshee wengi sana kwa hiyo kwa siku yeye kuondoka na laki 4 au 5 kwa siku ilikuwa ni kawaida sana. siku moja dada Mahida aliamua aende hospitali ili akatoe miamba aliyokuwa nayo tumboni mwake, al ifanikiwa na kutoa mimba ile lakini baada ya kumaliza utoaji wa miamba alimuomba daktari atoe kizazi kabisa ili asipata tabu ya kuja kutoa mimba kila mara, daktari alifanya kama alivyoambiwa. Dada Mahida alirudi mtaani na kuendelea na biashara ya kujiuza. Siku moja ilikuwa jumapili Mahida alikutana na rafiki yake wa muda mrefu waliyekuwa wanaishi wote enzi za utoto wao, rafiki yake huyo alimwambia Mahida waende kanisani, ili kuficha aibu ya biashara aliyokuwa anafanya dada Mahida alikubari na wakaamua kwenda wote kanisani. Siku hiyo Mahida alielewa sana neno na

RATIBA YA RAUNDI YA TANO YA KOMBE LA FA

Image
Chelsea wamepangiwa kucheza na Manchester City katika mchezo unaotazimiwa na ushindani wa hali ya juu katika mfululizo wa michuano ya kombe la FA Cup. Chelsea ambao wamefuzu kwenye raundi ya tano kwa kuiondosha Stoke City katika mchezo ambao ulimalizika kwa ushindi wa bao moja kwa bila. Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akizungumza punde baada ya droo hii amesema, “Iwapo unataka kuwa bora lazima ucheze na timu bora.” Nao Manchester City wao walijikatia tiketi ya kufuzu michuano hiyo hatua ya tano kwa kuiadhibu Watford kwa mabao 4-2. Liverpool wao watakuwa wageni wa Arsenal kwenye mchezo wa raundi ya tano. Roberto Martinez ataiongoza Everton kukutana na timu yake ya zamani ya Swansea, ilihali Sunderland wao watacheza na Southampton ikiwa ni mechi liyokutanisha timu zote za ligi ya England. Cardiff watakuwa nyumbani kuwakaribisha Wigan na Hull watacheza na Brighton. Sheffield Wednesday watapamabana na wenzao walioko kwenye ligi ya Championship,

20 WAFARIKI KWENYE MLIPUKO DRC

Image
Watu 20 wanahofiwa kufariki kutokana na mlipuko katika ghala la silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Vikosi vya kulinda amani vya umoja wa mataifa nchini humo ,vimesema kuwa nyumba nyingi zilaharibiwa wakati wa mlipuko huo katika kambi moja ya kijeshi karibu na soko kuu la Mbuji-mayi. Mlipuko huo uliotokea katika mji wa Mbuji-Mayi inasemekana ulisababishwa na radi Kwa mujibu wa taarifa za kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa Monusco,zaidi ya watu 50 pia walijeruhiwa huku nyumba kadhaa zikiharibiwa. Lengo la Monusco nchini humo ni kupokonya makundi yanayopigana silaha. DRC inajaribu kutokamana na vita vilivyosababisha mamilioni ya vifo kati ya mwaka 1998 na 2003. 'Nimewaamrisha maafisa wetu walio mjini Mbuji-Mayi kushirikiana na wenyeji ili kusaidiana kukabiliana na hali,'' alisema Martin Koble mkuu wa kikosi hicho cha Monusco. Mbuji-Mayi ni mji wa tatu kwa ukubwa DRC, na ndio kitovu cha uchimbaji wa madini ya Almasi.

MSANII BONGO MUVI APIGA PICHA ZA UKAHABA

Image
  Nance Njozy akiwa kwenye picha za kfuska kwa ajili ya kuwatega wanaume dhaifu ili wamle uroda .  Hapa kabisa akiwa mtupu Credit: Xdeejays

NIMEKUFA NIMEOZA KWA BABA MWENYE NYUMBA WANGU

Image
..NIMEJIPITISHA NA KUJIBALAGUZA LAKINI WAPI.. Ndugu  zangu, naombeni  nisieleke  vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko  maeneo ya  Mbezi. Tatizo langu ni kwamba nimetokea kumpenda  sana  baba mwenye nyumba wangu ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi.  Nimefanya  kila  mbinu  kuzificha  hisia  zangu  lakini  nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake. Nisaidie kuniepusha na mtihani huu  mgumu.Asanteni Anna   TUPE MAONI YAKO

ZIARA YA VIONGOZI WA CHADEMA MKOANI MBEYA

Image
Baadhi ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe mjini Mbeya jana. Mbunge wa Mbozi Mashariki, Davi Silinde (Chadema), akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbeya, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe mjini Mbeya jana. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, wakiondoka kwa shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod

NINA MIAKA MINNE KWENYE NDOA ILA MUME WANGU HAJAWAHI KUNIFIKISHA KILELENI..

Image
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa. Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mimi mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya: 1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then

MAHAKAMA NKASI YAMUAMURU MUME KUJENGA NYUMBA YA MTALAKA WAKE

Image
MA HAKAMA ya mwanzo Mjini Namanyere, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa imetoa amri ya kumtaka Ndebile Kazuri kujenga nyumba ya aliyekuwa mke wake Maria Tarafa iliyopo kijijini Isale ambayo aliibomo a akishinikiza mtalaka wake aondoke eneo ambalo alikuwa akikaa kabla ya kutengana. Mwishoni mwa mwaka jana (2013) Mahakama hiyo ilivunja ndoa ya wanandoa hao wenye watoto wanne baada ya Kazuri kuwasilisha kesi mahakamani akitaka ndoa yake na mkewe ivunjwe. Hata hivyo baada ya kuvunjwa kwa ndoa hiyo mke amewasilisha kesi mahakamani hapo akitaka mali za ndoa hiyo zigawanywe na mume awajibike kuwatunza watoto wake, jambo ambalo halikuzungumziwa kwenye kesi ya awali. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi, Bi. Tarafa alisema Mahakama ya mwazo imetoa amri ya kumtaka mtalaka wake kujenga nyumba aliyomvunjia yeye na watoto wake wanne akishinikiza aondoke nyumbani hapo, bila kupewa haki ya mgao wa mali zilizochumwa wakati wa ndoa. “…Juzi tumetoka Mahakamani nilikwenda ku