Posts

MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAHILI PCCB SOMA HAPA.

Image
INVITATION FOR APTITUDE TEST The following applicants have been shortlisted for the Aptitude Test after meeting the basic requirements as per our advertisement on Monday 30th September and 2nd October 2013 in the Daily News and Nipashe Newspapers respectively. The Test will be held on 17th January, 2014 at PTA Hall situated at Sabasaba Grounds (Kilwa Road) scheduled as follows;- (i) Investigation Officers - Starting at 9:00am (ii) Assistant Investigators - Starting at 12:00pm Note: During the examination applicants must switch off their cell phones and have the following;- (i) Pen (ii) Identity Card Applicants must meet their own expenses to and from Dar es Salaam. Punctuality should highly be observed Failure to observe the above condition the applicants eligibility will be disqualified Kufungua majina  BOFYA HAPA

WATU WATANO MATATANI IRINGA WAKIWEMO WAWILI KUKAMATWA WAKISAFIRISHA MENO YA TEMBO

Image
  NA DIANA BISANGAO WA MATUKIO DAIMA.COM,IRINGA WATU watano wanashikiliwa na polisi mkoani Iringa kwa makosa mawili tofauti likiwemo la wakazi watatu wa dare s salaam kukutwa na pembe tano za ndovu maeneo ya kijiji cha ngenza kata ya ikweha tarafa ya sadani wilaya ya mufindi.. Akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com kamanda wa polisi mkoa wa Iringa RAMADHANI MUNGI alithibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea januari 11. Hata ivyo aliwataja watu hao ni RAJABU MARI (35), KADILI MOHAMED (27) na SALOME ALOYCE(50) ambao walikuwa wakitumia gari aina ya premio lenye namba za usajili T580 mali ya FROLIAN ELIUS mkazi wa Dar es S alaam walikutwa na pembe hizo zenye uzito wa kilogramu 37 ambazo thamani yake bado haijafahamika. Wakati huohuo jeshi la polisi Iringa linawashikilia watu wawili majina RIZIKI KAFULILO (24) na MIRAJI NZOWA (28) wote wakazi wa mashine tatu manispaa ya Iringa kwa kosa la kukutwa na kete 16 za madawa. MUNGI alisema tukio

PINDI CHANA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA FILAMU NA MICHEZO YA KUINGIZA

Image
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara amemteua Mheshimiwa Pindi Chana kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Uteuzi huu unatokana na Mamlaka aliyopewa Waziri huyo chini ya kifungu cha 13(i) cha Sheria ya Filamu na Michezo ya kuigiza Na.4. ya mwaka 1976. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo kwa Vyombo vya habari uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wengine wa Bodi umeanza tarehe 3 Desemba 2013. Aidha Waziri huyo amewateua Wakili wa Kujitegemea Silvester Sengerema ,Dr. Vicensia Shule kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam  na Bishop Hiluka kutoka Shirikisho la Filamu Tanzania kuwa wajumbe wa Bodi hiyo katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Wajumbe wengine ni Jacob Sarungi kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Ntobi Fredrick kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, na Joyce Fissoo ambaye ni Katibu wa Bodi ya Filamu

ALI KIBA AMUANIKA DEMU WAKE MPYAAA LIVE

Image
    Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi) Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili. Mmmh.. yummy..!!!

CLOUDS FM YAWAPIGA STOP WATANGAZAJI WAKE MAARUFU

Image
B12, Loveness Diva & Adam Mchomvu WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho. Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao. Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM, yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar. Mwandishi wa habari hizi alilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri. “Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikut

ANGALIA PICHA ZA WAKE ZA WATU, MAKAHABA WANGONOKA NA MADEREVA KWENYE MALORI....HALI INATISHA SANA....!

Image
KILE kikosi maarufu kilichojizolea sifa kwa utenda kazi wake cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) kilicho ndani ya jumba la Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers jijini Dar kinazidi kufichua uovu, twende pamoja ili kujua.Mwishoni  mwa wiki iliyopita, OFM ilitua ‘Mji Kasoro Bahari’ (Morogoro) ambapo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Morogoro, kazi kubwa ilifanyika. KAZI YENYEWE Kazi ilikuwa kuyafumua madanguro na maeneo ya kujiuzia makahaba ambapo kwa mujibu wa watoa habari, baadhi ya maeneo mjini humo (hatuyataji kwa sasa) yamekubuhu kwa biashara ya wanawake kuuza miili yao. MAENEO YALIYOFIKIWA NA OFM OFM na jeshi la polisi walijipanga sawa kwa ushirikiano huku wakitumia  mbinu za hali ya juu ili kuwanasa machangu hao. Itigi Msamvu ni kambi maarufu ya machangudoa hao ambapo wateja wao wakubwa ni baadhi ya madereva wa magari makubwa ‘malori’ wanaoegesha magari yao eneo hilo lililopo kandokando ya Barabara Kuu ya Morogoro -Dar es Salaam. I

HABARI MPYAMSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AKAMATWA NA BANGI JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Ferouz (mwenye kofia) akiwa chini ya ulinzi  Vijana ni nguvu kazi ya taifa, lakini vijana hao hao wanaweza kuwa chanzo cha taifa kutoendelea na kubomoka. Ubomoaji wa taifa huwa kwa namna nyingi ikiwemo uvivu, ufisadi, na kadha wa kadha. Lakini hapa, tuangalie hili la madawa ya kulevya na bangi.  Kila kukicha kuna wasanii wa maigizo na filamu ambao tunasikia wamekamatwa na madawa ya kulevya, "unga" katika jitihada za 'kusaka maisha', wenyewe wanasema kuna ajali kazini. Wasanii hao ambao wengi ni vijana, na pale wanapoonekana kwenye runinga huwa hamasa kwa wadogo zao na jamii kwa ujumla, wakipenda kuwa kama wao.  Na mchana huu, maeneo ya Sinza, kuna taarifa ya mwanamuziki aliyetamba kwenye muziki wa bongo fleva, Ferouz, sanasana kwa wimbo wake wa Starehe, ambao ulikuwa ukionyesha madhara ya UKIMWI na virusi vya UKIMWI. Ferouz anadaiwa kukutwa na bangi, na picha ambazo Gospel Kitaa imezipata eneo la tukio, zinamuonyesha akisindikizwa na m

PRESIDENT JAKAYA KIKWETE RE-SHUFFLES CABINET

Image
     H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete announced his new cabinet yesterday, it was highly anticipated that President Kikwete would reshuffle the cabinet after appointing the former United Nations Deputy Secretary general Dr Asha Rose Migiro as a member of Parliament in the Month of December 2013. President Jakaya Kikwete on Tuesday, this week, nominated former United Nations Deputy Secretary General, Dr Asha-Rose Migiro, Member of Parliament. And a section of the Tanzanian media, led by an authoritative Kiswahili weekly, Raia Mwema, was spot-on in linking the president’s move with his plans to reshuffle the cabinet. Dr Migiro was the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation when her name was given by President Kikwete to the then newly elected United Nations Secretary General, Ban Kin Moon after the latter had requested for the name (preferably that of a woman) for appointing to the newly introduced UN post as a way of appreciating Ta

MOVIE BADO LINAENDELEA NA HII NDIO STORY KAMILI KUHUSU UJAUZITO WA WEMA NA ALIYEMPA MIMBA HIYO..!!

Image
MSANII maarufu wa Bongo Movie, mrembo na mwenye pesa pengine kuwazidi wengi na ambaye hivi karibuni amezua mijadala mikubwa baada ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Diamond, ambaye pia ni maarufu katika muziki wa kizazi kipya nchini na mwenye kuongoza kwa mapato nchini, imegundulika kuwa ana ujauzito wa miezi kadhaa. Wema ambaye alishindwa kuficha hisia zake na hatimae kuweka kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa instagram,” …mmmmmh jamani hichi kitumbo… hakifichiki now…” kuashiria kuwa mabadiliko ya mwili yameshaanza kuonekana (Picha chini inaonesha ujumbe huo kamili). Mtandao wa huu ulianza kuhisi taarifa hizo na kuamua kuzifuatilia kwa karibu ili kujua nini haswa kinaendelea au ni hisia tu. Ndipo mwandishi alipochukua jukumu la kumtafuta mlimbwende huyo Wema Sepetu na kugonga mwamba. Hata hivyo jitihada hizo hazikuishia hapo ndipo kilipopatikana chanzo cha karibu na Wema na kudai kuwa “ amekuwa akilalamika mabadiliko hayo na hata kusikika akisema ana

NATAKA KUMSALITI MUME WANGU KWA AJILI YA TABIA ZAKE ZA UFATAKI

Image
  Habari za humu jamani mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote! tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU MPENZI WAKO, RIDHIKA!!

Image
HAPA kwenye Love & Life ni mahali sahihi kabisa pa kupanuana mawazo kuhusu maisha na mapenzi. . Si rahisi akakupa kila kitu, ridhika naye kwa kuwa moyoni umewekeza upendo wako. Vipengele vifuatavyo, vinafafanua zaidi. HAKUNA RUFAA Kwanza kabisa unatakiwa kufahamu kwamba, hakuna rufaa katika ndoa. Ukishaingia umeingia. Ni vizuri kuwa mtulivu na kuangalia zaidi mambo ya msingi. Achana na fikra mbaya kwa mwenzako, wekeza upendo wako kwake. Mwamini na ishi naye kwa akili huku ukijaribu kumshauri mambo mbalimbali ya maisha yenu. FURAHA YA NDOA Yapo mambo mengi ya muhimu kwenye ndoa, lakini jambo kubwa na la msingi zaidi ni pamoja na tendo la ndoa. Lazima wanandoa wawe na uhakika wa kupata tendo la ndoa. Tendo lenyewe linatakiwa kufanyika vizuri na kwa usahihi. Siyo harakaharaka bila ubunifu. Kufanya hivyo ni kuacha mianya ya mmoja wenu kufikiria kutoka nje ya ndoa. FAMILIA Majukumu ya familia ni kati ya mambo y

MTOTO WA BABA ASKOFU APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZICHUCHIKA MTANDAONI, ASINGIZIA NI MWANAFUNZI CHUO KUMBE SIO, BABAAKE AZIMIA BAADA YA KUONA PICHA HIZO..! ZIONE HAPA LIVE

Image
 Mtoto wa Askofu maarufu Mkoani Dodoma apiga picha za utupu na kuzisambaza makusudi ili kutafuta mapedeshee wa kumnanihiii.. Hapa akiwana grace ya pombe kali Na Mwandishi wa XDEEJAYZ DODOMA. Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mtoto wa Baba Askofu mmoja wa Kanisa" Jina linahidhawa" kupiga picha chafu na kuzirusha kwenye mtandai kwa lengo la kutafuta wanaume wenye pesa. Habari za uhakika toka makao makuu yaa nchi yetu yani Dodoma "Agwe za uswelo" zilisema kuwa msichana huyo ambae amekuwa akitumia majina mengi ili kuwapoteza watu ili wasimjue kuwa yeye ni mtoto wa kiongozi huyo wa roho anaeheshimika sana mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla. Hata hivyo chanzo chetu kilisema kuwa jina lake halisi ni Ruthu lakini amekuwa na majina zaidi ya matano mara hujiita, Zaituni, au Jasmiin, Happynes, Yusra na Jackline yote hayo ni njia ya kuwapoteza maboya watu wanaomfahamu vyema. Mtoto huyo amekuwa kamaha ali

SHUHUDIA PICHA 5 ZA KIHASARA ZA MREMBO HAMISA MOBETO.... KHA JAMANI MTOTO KAUMBIKA KINOMA..

Image
  - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/01/shuhudia-picha-5-za-kihasara-za-mrembo.html#sthash.iVpedFpp.dpuf

NILIMFUMA MKE WANGU AKINYATIA KUINGIA KWENYE CHUMBA CHA MDOGO WANGU WA KIUME AKIWA NA KA CH**P

Image
  Kumbe ilikuwa ni tabia yake kwenda kwa mdogo wangu huyo wa kiume ambaye ni mtoto wa shangazi yangu, na kula uroda wakati mimi sipo, nilipata tetesi hizo kutoka kwa housegirl wetu lakini sikuweza kuamini. siku hiyo nilirudi kimya kimya na kujifungia chumba kimoja ambacho kilikuwa hakitumiki, na wote hawakujua kama nilikuwa nipo. Mara ilipofika ,majira ya saa nne hivi usiku, nilimuona mke wangu ananyata huku akiwa amevaa nguo za ajabu sana, alipita chumba cha house girl na kisha kuzama kwenye chumba cha ndugu yangu huyo wa kiume. nilitoa simu yangu niliyokuwa nayo na kumpiga picha kwa ushahidi zaidi, alipoingia tu na mimi nikaingia alishindwa kuamini na gafla alianza kuomba msamaha, nilimuuliza mke wangu kwani umefanya nini alishindwa kunijibu huku akiendelea kulia na kuomba msamha, nilitoka na kwenda chumbani kwangu kulala, yule mdogo wangu wa kiume alifungasha usiku ule ule na kuondoka na mke wangu hakuweza kulala, iliniuma sana sikuweza kuamini kwani nili

AJALI YA BASI LA NA LORI HUKO SINGIDA

Image
Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki kwenye barabara kuu kutoka Singida kwenda Dodoma.Taarifa zimethibitishwa na mkuu wa Wilaya ya Singida na kwamba dereva wa basi alikimbia baada ya ajali kutokea saa sita na dakika 50 mchana.

Cristiano Ronaldo Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Dunia

Image
Na mshindi ni …. Cristiano Ronaldo. Usiku wa leo jijini Zurich, FIFA itamtangaza nyota huyo raia wa Ureno kuwa mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2013 ambayo itakuwa tuzo yake ya pili. Cristiano Ronaldo amepata kura nyingi zaidi ya wapinzani wake Franck Ribéry na Leo Messi, kwa kushinda tuzo hiyo Ronaldo atakuwa ameusitisha ufalme wa Messi aliyekuwa ameishinda tuzo hiyo kwa miaka 4 mfululizo. Chachu ya ushindi huo wa Ronaldo ni mabao 69 aliyofunga mwaka 2013, ikiwa ni pamoja na kuumaliza mwaka vizuri. Ronaldo mwenyewe anajua kuwa ni mshindi tangu juma lililopita baada ya kudhibitisha kushiriki kwenye sherehe za tuzo hizo, pamoja na kushiriki Ronaldo amewapa mialika ndugu na rafiki zake wa karibu,mpenzi wake mwanamitindo Irina Shayak wakala wake Jorge Mendes. Pia wapo viongozi mbali mbali wa Real Madrid akiwepo raisi Florentino Pérez, Emilio Butragueño, Zinedine Zidane na Sergio Ramos, ambaye atatangazwa kuwa beki bora wa kati sambamba na Mbrazil Thiago Silva.

UBALOZI WAMTAPIKA JACKIE CLIEFF

Image
HABARI mpya zinadai kuwa ubalozi wa Tanzania nchini China umegeuka ghafla na ‘kumtapika’ mwanamitindo Jacqueline Cliff Fitzpatrick aliyekamatwa nchini humo akiwa amebeba madawa ya kulevya aina ya Heroin kilo 1.1 Desemba 19, mwaka jana, tofauti na awali. Mwanamitindo Jacqueline Cliff Fitzpatrick. Kwa mujibu wa rafiki wa Jack ambaye huwa anampokea nchini humo aliyejitambulisha kwa jina moja la Chifu, mwanamitindo huyo alipokamatwa huko Macau, Hong Kong nchini humo, aliwasiliana na ubalozi huo ambao ulikiri kukamatwa kwa ‘video queen’ huyo wa video ya Nataka Kulewa. “Nimeshangaa kusikia eti ubalozi hauna taarifa kuwa Jack alikamatwa. Mimi ndiye nilipiga simu ubalozini na kuuliza juu ya taarifa hizo ambapo walikiri kuwa na taarifa. Jack baada ya kunaswa na dawa za kulevya nchini China. “Labda waseme hawajapelekewa taarifa rasmi na Serikali ya China lakini ubalozi wetu Hong Kong unajua kila kitu,” alisema Chifu. Akizungumza na redio moja Bongo, mtu aliyejitambulish