Posts

Tido afiwa na mama yake mzazi

Image
Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, Jessie (85), amefariki dunia  Chang'ombe jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa moyo. Akizungumza jana jioni, Tido alisema mama yake ( alifariki baada ya hali kubadilika ghafla). "Alikuwa na matatizo ya moyo kwa siku nyingi, lakini hali ilibadilika ghafla, akafariki akiwa nyumbani," alisema. Tido alisema taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu Chang'ombe, karibu na Klabu ya Sigara. "Tunafanya maandalizi, taratibu zinasubiri watoto wa marehemu waliopo Uingereza, Marekani na Australia, mwili utasafirishwa Tanga kwa maziko." Ameacha watoto wanane, enzi ya uhai wake alifundisha Shule za Msingi Mgulani, Kibasila za Dar es Salaam. Nyingine ni katika mikoa ya Tanga, Dodoma, Morogoro, Iringa, Arusha na Mwanza.CHANZO MWANANCH I phars blog tunapenda to

PRODYUZA AMTUPIA KOMBORA WEMA

Image
BAADA  ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara  na ukuwadi ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza. Prodyuza Rashid Mohammed ‘Chid Classic’. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, Chid amesema hajafukuzwa katika kampuni hiyo kama alivyodai mratibu wa kampuni hiyo, Petit Man bali ameondoka baada ya kuchoka  kufanya kazi bila ya kulipwa mshahara. “Ni uongo kusema kwamba nimenaswa nikifanya uzinzi Coco Beach nikiwa ndani ya magari ya Wema, sijawahi hata siku moja kufanya hivyo kwani nina kwangu ambako nina uwezo wa kumwingiza mwanamke wakati wowote,” alisema. Wema Isaac Sepetu. “Tangu kampuni ianzishwe haijawahi kulipa mishahara unadhani nitakuwa na moyo wa kufanya kazi, sikwenda pale kufanya ukuwadi kama wengine, tena nawaomba wasiendelee kusema uongo kwani nina mengi nayajua ya Endless Fame,” a

MBINU ZA KUMFIKISHA KILELENI MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KWA HARAKA

Image
Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Image
  Institute of Accountancy Arusha  P.O. Box 2798, Njiro Hill, Arusha, Tanzania  Telephone: 255 27 254 9605 / 254 9606 / 250 1416 / 250 6096 Fax: 255 027 254 9421  Telex: 50009 IAA TZ: Email: iaa@iaa.ac.tz Website: www.iaa.ac.tz  VACANCY ADVERTISEMENT  Introduction  The Institute of Accountancy Arusha is a parastatal academic institution offering  undergraduate and postgraduate training courses. It is established by the Institute of  Accountancy Act No.1 of 1990 and is located at Njiro Hill, seven kilometers Southern-East of  Arusha City. The Institute wishes to recruit a number of suitable, motivated, potential and  capable human resources from the market on three year contract.  Vision Statement  To become an exemplary centre of excellence in modern business management training,  research and consultancy services.  Mission Statement  To provide high quality, competence-based training and offer research and consultancy  services through