Posts

HUYU HAPA MSANII ANAYEDAI KUTUMIWA NA WANAUME WENGI PASIPO MALIPO.

Image
Msanii Aunt Lulu ambaye alishawahi kuwa Mtangazaji wa Kituo cha Lunninga Bongo C2C amenukuliwa katika Moja ya Interview aliyofanya na chombo kimoja cha Habari kuwa ametumika na wanaume wengi mno pasipo kupata faida. Kauli ya dada huyu inadhihirisha wazi kabisa kuwa lengo lake la kujiachia hivyo lilikuwa ni kufanya Biashara ya Mwili wake mwenyewe ingawa anakuwa amezidiwa ujanja na Wanaume anaokutana nao. Baada ya Aunt Lulu kufunguka hayo Msanii mwingine ambaye pia ni Mwandishi wa Habari kupitia Mitandao ya kijamii Sinta amefunguka na kumtolea uvivu msanii huyo anedai kuwa ameriwa uroda kwa miaka mingi pasipo kupata malipo yoyote. “Hiki ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi” ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wa

Serikali yapingwa kwa kubadili mfumo wa matokeo ya sekondari kwa madai kuwa itaongeza zao la WAJINGA na VILAZA

Image
SIKU moja baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kufanya marekebisho katika upangaji wa viwango vya alama za matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne na sita kwa kufutwa daraja sifuri na kuwekwa daraja la tano, wadau na wasomi wameponda mfumo huo. Wakizungumza na waandishi wetu, wadau hao walisema kuwa tatizo si kushuka kwa kiwango cha ufaulu, bali uwepo wa elimu bora nchini. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Bashiru Ally, alisema kuna mifumo miwili ya elimu nchini inayotumika, ambayo ni ule wa watu masikini na wenye nafuu ya maisha. Alisema hali hiyo inaanzia chekechea hadi vyuo vikuu, huku akihoji wizara husika mfumo wa aina hiyo unamlenga nani, kwamba tatizo lililopo ni ubora wa elimu hasa katika shule za umma. Bashiru alisema kwenye mifumo hiyo inayotumika, ule wa masikini upo kwenye shule nyingi za umma ambako ndiko kwenye watoto wengi wanaofeli kutokana na kukosa vifaa vya kufundishia, maabara na walimu. “

Haya ni Matokeo ya Mtihani wa darasa la saba 2013

Image
Imeelezwa kuwa ufaulu wa mtihani wa kumaliza darasa la saba kwa mwaka 2013 umepanda kwa masomo yote kwa asilimia 19.89 ikilinganishwa na ilivyokuwa kwa mwaka uliopita. Kwamba, wakati mwaka jana wahitimu waliopata asilimia 100 walikuwa asilimia 30.72, mwaka huu wameongezeka kuwa asilimia 50.61. Pia, somo ambalo watahiniwa hao wamefaulu zaidi katika mtihani wao ni Kiswahili ambapo ufaulu ni asilimia 69.06 huku wakiwa wamefeli zaidi kwenye somo la Hisabati ambalo ufaulu upo chini kwa asilimia 28.62. Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde alisema wanafunzi 427,606 walifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2013 huku kiwango cha udanganyifu kikizidi kudhibitiwa hivyo kupungua. Alisema NECTA imefuta matokeo yote ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa watahiniwa 13, ambao walibainika kufanya udanganyifu kwenye mtihani au kurudia pasipo ruhusa ya Baraza. Watahiniwa waliofutiwa mwaka jana ni 293.

Mwizi wa kuku avuliwa nguo baada ya kukamatwa ….Wananchi wamfungia ndani ya tenga ili wamchome moto

Image
Huyu ni mkenya aliyekuwa ameiba kuku.Wananchi walipomnasa walimpa kichapo kikali na kisha kumfungia ndani ya tenga la kuku kwa ajili ya kumchoma moto…. Wangali katika maandalizi ya kutafuta petrol, polisi waliwasili eneo la tukio na kumuokoa kwa kumpeleka kituoni

Picha za nusu uchi za Msanii wa bongo movie akichezewa nyeti zake na wasanii wachanga

Image
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.

HAWA NDIO BAADHI YA MASTAR WA BONGO WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA BABA WA SUPER STAR WEMA SEPETU!!

Image
Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki jana kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu. Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa kesho kwa mazishi huko Zanzibar Mjane wa marehemu Mama yake Wema Sepetu wa katikati kabisa Wema Sepetu wa kushoto akiwa na waombolezaji wengine Tunu Sepetu Mtoto wa marehemu wakati kati kabisa Kutoka Kushoto ni Msanii ElizaBeth Michael (Lulu) akifuatiwa na mama wa Msanii Marehemu Kanumba Msanii wa Maigizo Kajala pia yupo msibani Junaithar Pemba na Director Johanna marafiki wa karibu na Wema Sepetu

DINI MPYAAAA YAIBUKA ... IFAHAMU KWA KINA HABARI ZAKE ...

Image
Dini inayoamini katika MUNGU lakini ikiruhusu yale ambayo dini zingine zinapinga imeanzishwa eneo la mji mdogo wa Makongolosi wilayani Chunya mkoani Mbeya, Dini hiyo haiamini katika kutoa sadaka bali inasema tunamtolea nani sadaka wakati Vitu vyote tulivyonavyo ni mali ya MUNGU,kwa nini tunampa MUNGU mali zake Mwnyewe.! Dini hiyo inaruhusu ulevi,uchawi na uzinzi kwa sababu vimeumbwa na MUNGU,Vile vile inaamini hakuna dhambi duniani,Dini hiyo inaitwa DIMAYO, sasa imeanza kuenezwa Mbeya ========================= Ufafanuzi ========================= By GAMBISHI DWESE Yawezekana kweli Bwana Domy umekutana nami. Mimi Ndiyo PAPA-DIMAYO 1: GAMBISHI DWESE,( nabii wa kwanza wa DIMAYO) hata hivyo pengine umeninukuu kimakosa.Kwanza kabisa Dimayo haiamini katika uwepo wa mungu muumbaji aliye hai wala aliyekufa anayedaiwa kuhusika na kila kinachoendelea ulimwenguni. Na nimeshatoa kitabu kinachoitwa HAKIKA HAKUNA MUNGU MUUMBAJI ALIYE HAI WALA ALIYEKUFA anayehusika na kila kinachoende

CHANZO CHA NDOA YA BOB JUNIOR KUVUNJIKA KISA NI HUYU MREMBO....

Image
Ashely Toto in German Hapa Bob Junior Akiwa Mombasa na Ashley Toto hivi Karibuni Hapa Bob Junior Akiwa Ujerumani na Dada Ashley Toto Wakila Raha Ujerumani Frankfurt Wakiwa Ujerumani Mall Wakifanya Shopping Ashley Toto Ni Msanii wa movies kutoka Kenya ambae makazi yake ni Ujerumani ila kwa sasa yupo Mombasi kwa mapumziko ..Mnyetishaji wa habari ametuhabarisha kuwa wawili hawa wapo mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob Junior huwa anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana kuwa baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana dada huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio Sababu mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na Bob junior.. -Mdau

Mchina aukata uume wake baada ya kutoswa na demu wake ampendaye

Image
Mwanaume mmoja wa Jiaxing, China amejikuta akichukua uamuzi mgumu wa kujikata uume wake baada ya nyota yake ya bahati katika mapenzi kushindwa kung’aa katika anga la maisha yake, kiasi cha kumfanya akate tamaa na kuamua kuchukua uamuzi huo. Baada ya kujikata kiungo hicho muhimu katika mwili wa mwanaume, mchina huyo Yang Hu mwenye miaka 26 aligundua kwamba haikuwa ndoto ni kweli ameukataa uume wake, ndipo alipochukua baiskeli yake na kukimbia hospitali kwa matarajio ya kwenda kuunganishiwa kiungo chake alichokikata mwenyewe. Sipati picha aliwezaje kunyonga ‘pedal’ za baiskeli yake mpaka hospitali ilihali maumivu makali aliyokuwa nayo, lakini mbaya zaidi kutokana na kuchanganyikiwa kwa alichokifanya, baada ya kufika hospitali ndipo ndoto zake zikazidi kufifia baada ya madakrati kumueleza kuwa amesahau kuja na kiungo hicho ili kirudishiwe sehemu yake. Hu alinyonga baiskeli yake tena kwa haraka kurudi nyumbani kuuchukua uume wake aliousahau na

BREAKINGS NEWZ"Mwanga adondoka huko Msata-Chalinze Asbh hii".

Image
mtu mmoja ambaye hajafamika kwa jina lake haraka leo asubuhi ameanguka kwenye bati uko maeneo ya msata -chalinze, ambaye alionekana na vitu kama pembe yenye hirizi na kujulikana ni mwanga, tutakuletea habari zaidi juu ya hili baadae, KWA HABARI ZAIDI USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER

Saini zaanza kukusanywa ili kumng'oa Spika Anne Makinda kwa madai kwamba amekuwa akikiuka kanuni za bunge

Image
Mbunge wa Nzega, Dk Khamis Kigwangalla, (CCM), leo anatarajiwa kuanza kukusanya saini za wabunge akitafuta kuungwa mkono katika hoja ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa madai kwamba amekuwa akikiuka kanuni za Bunge. Dk Kigwangalla aliibua hoja ya kutokuwa na imani na Spika katika kikao cha wabunge wote cha kuelezea shughuli zitakazofanywa na Bunge katika mkutano wa 13, kilichofanyika juzi jioni kwenye ukumbi wa Pius Msekwa. Mbunge huyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, jana alithibitisha kuwapo kwa mjadala huo katika kikao cha wabunge, lakini hakuwa tayari kueleza kwa undani na badala yake alisema kwamba leo ataanza kukusanya saini za wabunge kwa ajili ya kukamilisha hoja ya kutokuwa na imani na Spika Makinda. Chanzo chetu kutoka katika kikao hicho cha wabunge kilibainisha kuwa Kigwangalla alihoji kuhusiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge (CCM-Bar

Mama Yangu!! Uvumilivu wamshinda Irene Uwoya! Alichokiandika hapa watoto chini ya miaka 18 msisome!

Image
“...Wale ma- (Tusi linalohusisha kiungo cha mwili) wanao post (Tusi kama la hapo mwanzo) humu...waaandike watakavyo...sio (Tusi- vitendo vibaya kwenye jamii) tuuu yan na vza yakuzunguka dunia nzima....siitaj watu ma- (Tusi kali sana) ...kama na kuboa kafe mbele....eti range nimehongwa mtasubiri sanaaaa....sina mdaa huo sinaaa...wakukaa pemben na kumsmanga mtuuuu...wote mnao ni disss ma- (Tusi la kumalizia sentensi)... ” Hayo ni maneno ya mwadada Irene Uwoya aliyoaandika usiku wa leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii. Tulipoyasoma tuu, tulishtushwa sana kwani si kawaida kwa mwanadada huyu kuandika maneno mzito kama haya na ndipo tulipoamua kufanya utafiti yakinifu ili tujue why??? Na haya ndo majibu ya uchunguzi wetu huu… Tujikumbushe Historia fupi Hivi majuzi mwadada Irene Uwoya alipost kwenye mtandao picha za gari yake mpya aina ya Range Rover na ndipo watu wengi walianza ku-comment na “kumponda” mwanadada huyu kuwa sio yake bali kahongwa na wanaume “

Rushwa ya ngono kwa boss wake yamponza Baby Madaha baada ya wanakundi kuanza kumtenga

Image
Mwanamuziki na mwigizaji Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’, amemshukia mwanamuziki memba mwenzake wa Candy n’ Candy, Top C na kumtaka asimuingilie katika maisha yake. Kupitia kipindi cha redio hivi karibuni, Top C alisema tangu Baby Madaha asajiliwe katika kampuni hiyo ya muziki iliyopo nchini Kenya, memba wengine wamekuwa wakipuuzwa na bosi wao, Joe Kairuki kiasi kwamba hawasikiki kabisa na kuainisha kuwa Baby anatamba kwa sababu amekuwa ‘kiburudisho’ cha bosi huyo. Alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo, Baby alikanusha: “Top C na wenzake ni wazushi, sina uhusiano na Joe. Mimi nina kipaji kikubwa na nina nidhamu ya kazi kuliko wao ndiyo maana ninapewa nafasi. Wanaendekeza uzushi kwa nini wasipigwe chini?” JE, UNA MAONI GANI KATIKA HILI? KWA KUPATA HABARI ZAIDI LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER

Ray C na Nora watwangana ngumi studio wakimgombania producer

Image
KATIKA hali ya kushangaza, siku chache baada ya kuripotiwa kupona na kuacha matumizi ya madawa ya kulevya, mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’ anadaiwa kugeuka mwanamasumbwi na kumpa kipigo mwigizaji Nuru Nassoro ‘Nora’.. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo lilijiri wiki iliyopita ndani ya studio moja ya kurekodia muziki iliyopo Kinondoni, Dar ambapo wawili hao walikutana walipokwenda kurekodi ngoma zao. Ilidaiwa kuwa akiwa studio hapo, Nora alikutana na Ray C ambaye pia alizama mahali hapo bila mawasiliano na prodyuza anayemtengenezea ngoma mpya. Chanzo hicho kilipasha kuwa baada ya Ray C kuingia studio hapo alimkuta prodyuza huyo akiandaa ngoma ya Nora ambapo alihoji kilichompeleka mwigizaji huyo mahali hapo. Ilidaiwa kuwa prodyuza huyo ambaye jina halikupatikana alimwambia Ray C kuwa Nora alifika kurekodi wimbo wake. Ilisemekana kuwa Ray C hakuridhishwa na majibu hayo, akaomba asikilizishwe ngoma hiyo ya Nora lakini baada ya kusikiliza ilidaiwa k

DIAMOND PLATNUMZ NAYE AHUDHULIA MAZISHI YA BABA YAKE NA WEMA SEPETU HUKO ZANZIBAR

Image
Ujumbe huo hapo chini unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya...... Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi. TUPE MAONI YAKO, NA USISAHAU KULIKE WETU WA FACEBOOK

Kapten Komba ajitoa mhanga:...Adai kuwa Lowassa ndo Rais mteule wa watanzania- 2015 baada ya Kikwete

Image
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kapteni Mstaafu, John Komba amevunja ukimya na kutamka wazi kuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ndiye chaguo lake na atakuwa Rais ajaye uchaguzi wa 2015. Komba anakuwa mtu wa pili kumtaja Lowassa hadharani kuwa anafaa kuwa rais 2015. Itakumbukwa Mbunge wa Viti Maalumu, Beatrice Shelukindo (CCM) naye alivunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Lowassa kumrithi Rais Kikwete. Shelukindo alitoa kauli hiyo wakati akiwasalimia wakazi wa Monduli baada ya kukaribishwa kuchangia ujenzi wa Hosteli ya KKKT, kwenye sherehe za kukaribisha Mwaka Mpya zilizofanyika nyumbani kwa Lowassa na kuhudhuriwa na makada kadhaa wa CCM. Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano maalumu jana, Komba ambaye ni Kiongozi wa Kundi la Uhamasishaji cha CCM Tanzania One Theatre (TOT Plus), alisema mtazamo wake kwa mtu anayefaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete ni Lowassa. Komba aliyeingia kwenye siasa kutokana na msukumo