HAWA NDIO BAADHI YA MASTAR WA BONGO WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA BABA WA SUPER STAR WEMA SEPETU!!





wpid-IMG-20131028-WA0002.jpg





Mastaa na marafiki wa karibu na Muigizaji Wema Sepetu wamejitokeza kwa wingi katika hali ya Kumfariji kutokana na kufiwa na baba yake mzazi Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU aliyefariki jana kwa maradhi ya Kupooza aliyougua kwa Muda Mrefu.
Msiba upo sinza Mori Nyumbani Kwa Familia Ya Marehemu na marehemu anatarajia kusafirishwa kesho kwa mazishi huko Zanzibar

wpid-IMG-20131028-WA0003.jpg
Mjane wa marehemu Mama yake Wema Sepetu wa katikati kabisa


wpid-IMG-20131028-WA0002.jpg
Wema Sepetu wa kushoto akiwa na waombolezaji wengine


wpid-IMG-20131028-WA0000.jpg
Tunu Sepetu Mtoto wa marehemu wakati kati kabisa


wpid-IMG-20131028-WA0005.jpg
Kutoka Kushoto ni Msanii ElizaBeth Michael (Lulu) akifuatiwa na mama wa Msanii Marehemu Kanumba


wpid-IMG-20131028-WA0008.jpg
Msanii wa Maigizo Kajala pia yupo msibani


wpid-IMG-20131028-WA0009.jpg
Junaithar Pemba na Director Johanna marafiki wa karibu na Wema Sepetu

Comments

Popular posts from this blog