BREAKINGS NEWZ"Mwanga adondoka huko Msata-Chalinze Asbh hii".

Mwanga adondoka huko Msata-Chalinze Asbh hii.
mtu mmoja ambaye hajafamika kwa jina lake haraka leo asubuhi ameanguka kwenye bati uko maeneo ya msata -chalinze, ambaye alionekana na vitu kama pembe yenye hirizi na kujulikana ni mwanga,
tutakuletea habari zaidi juu ya hili baadae,
KWA HABARI ZAIDI USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER

Comments

Popular posts from this blog