DIAMOND, ALIKIBA, NAVY KENZO NA HARMONIZE WASHINDA WATSUPTV AFRICAN AWARDS 2016.
Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa wakilishi wetu kujinyakulia tuzo huko Ghana.Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana , washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016. Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV , zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora. Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV , zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora. Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016, kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katik