MANENO YA ZITTO BAADA YA KUPATA MTOTO WA KIKE



July 14, 2016 Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe aliingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake. Good news leo December 27 2016 Zitto Kabwe na mkewe wamepata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Josina – Umm Kulthum.


Zitto Kabwe amezitoa taarifa hizo kwenye mitandao ya kijamii na amesema kuwa wamempa jina hilo kwa heshima ya mwanamama mpigania uhuru wa Kusini mwa Afrika, Josina Muthembi Machel wa FRELIMO, aidha amesema Umm Kulthum kwa heshima ya mama yake mdogo na pia jina la binti wa Mtume Muhammad (SAW).


Comments

Popular posts from this blog