DIAMOND, ALIKIBA, NAVY KENZO NA HARMONIZE WASHINDA WATSUPTV AFRICAN AWARDS 2016.


Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa  wakilishi wetu kujinyakulia tuzo huko Ghana.Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.
c0yqzpcxaaacrlt
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.
screen-shot-2016-12-29-at-4-37-16-am
Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016,  kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana.
Hii ni Orodha kamili ya washindi waliotangazwa
Best Newcomer Video of the Year

Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo)
Best African Reggae Dancehall Video

Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana
Best Afro Pop Video

Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria

Best African Hip Pop Video

Iba One (Dokera) Mali

Best African RnB Video

Alikiba (Aje) Tanzania

Best African Traditional Video

Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi

Best African Dance Video

Oudy 1ER (Lokolo) Guinea

Best African Collabo Video

Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania

Best African group Video

Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania

Best African Male Video

Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania

Best African Female Video

Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal

Best African Performance

DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire

Best International Video

Beyonce – Formation (USA)

Best East African Video

Alikiba (Aje) Tanzania

Best Central African Video

Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo

Best North Africa

Ibtissam Tiskat

Best South African Video

Casper Nyvorvest (War Ready)

West Africa Video

DJ Arafat

Best African Video Director

Godfather Kidogo (Nigeria)

Best African Music of the Year

Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania

Special Recognition Award Music Video Africa

Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria

Viewer’s Choice Awards

Designer Panda (USA)

Comments

Popular posts from this blog