Waziri Mkuu aongoza Swala ya Eid El Fitr jijini Dar
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akitoa mawaidha mbele ya waumini wa kiislamu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa akiendelea kutoa mawaidha yake kwa waumini hao ambao hawapo pichani. Mufti Mkuu wa Tanzania, Shekh Abubakar Zubery akitoa mawaidha yake mbele ya waumini wa kiislamu. Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa akiongea na waumini wa dini hiyo na kuwatakia sikukuu njema waislamu wote nchini. Kutoka kushoto mbele ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi, Rais Mstaafu, Ally Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa. Waumini wakiomba dua. Alhadi Mussa akihutubia waumini wa dini ya kiislamu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja. Taswira ya baadhi ya waumini waliojitokeza katika Viwanja vya Mnazi Mmoja inavyoonekana. Sehemu ya waumini akinamama walijitokeza katika swala hiyo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja. WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa mapema leo Jumatano, ameongoza