Msanii wa Diamond Atuhumiwa Kumbaka Mrembo Jack Wolper....Jack Wolper Afunguka Makubwa


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Sani la leo jumamosi limemsononesha mrembo Jack Wolper kwa tuhuma za uongo kuwa amebakwa na Msanii wa Diamond...

Mwenye Kayaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram:

@wolperstylish - I am so sad kwakweli
Hii sio kuniabisha mimi tu, ni kuaibisha na wanawake wenzangu, sijui kwanini magazeti ya kibongo yanatumia Nguvu nyingi kushusha hadhi ya wasanii wa kike haswa.. Nyie SANI no wonder mmepotea katika soko.. Hivi mlivyokua mnachapa mmefkiria kuna wadogo zangu wanasoma?? Au mama angu na baba angu!
Naandika kwa uchungu kwakua najua ni limtu limekosa kazi ya kutumia kipaji chake na karama yake vyema linaishia kutumia kwa kuniharibia maisha yangu... Tena front page? Tunafany mangapi mazuri hatuingii page ya kwanza hata siku moja,?! Kesho kutwa nafungua biashara mtaona kama wataandika kitu
Ila kwenye ujinga wa kutunga ndo wakwaza
Mnaniuzi na nawahakikishia kama Mungu aishivyo mtaona kwa wanenu pia
Si mmeamua kuniandika mimi hivi!??!
Na kila siku mnafanya hivi
My loves embu nisaidieni niwaambie nini cha zaidi wauaji kama hawa
Kuna uuaji wa aina nyingi... Hata maneno huua jamani, sisi pia tu a mioyo
Dah!
BIG SHAME ON YOU GUYS
Kuanzia alietunga stori, alieidhinisha ichapishwe na mwenye gazeti
Kwanini Mh @paulmakonda hawa wasiwe wanapigwa faini au hata kupelekwa mahakamani?? Manake msamaha hautoshi
Wanaharibu kabisa maana ya vyombo vya habari
Petty and sad
Stupid ...😡😡

Comments

Popular posts from this blog