Posts

http://www.phars.blogspot.com: Mazoezi ya kuondoa kitambi.

http://www.phars.blogspot.com: Mazoezi ya kuondoa kitambi. : Kutokuwa na kitambi ndio ndoto ya watu wengi kwa sasa wanaojali afya zao. Kutokana na kufumka kwa maradhi mbalimbali baadhi ya watu wame...

Mazoezi ya kuondoa kitambi.

Image
Kutokuwa na kitambi ndio ndoto ya watu wengi kwa sasa wanaojali afya zao. Kutokana na kufumka kwa maradhi mbalimbali baadhi ya watu wamekuwa wakihangaika kutafuta njia rahisi za kupunguza ama kuondoa vitambi hivyo na uzito uliopitiliza. Wapo waliamua kukaa na njaa na wengine kutumia dawa kali wakilenga kufikia malengo yao ambayo ni kupunguza uzito. Lakini kuwa na kitambi ama ongezeko la uzito linaweza kuondolewa kwa njia rahisi sana tofauti na unavyodhani. Tena njia isiyohusisha hata chembe ya dawa itakayoweza kukuletea madhara baadaye. Licha ya wataalamu wengi kusisitiza kuwa kitambi au ongezeko la uzito ni matokeo ya ulaji mbovu, lakini ukweli utabaki kuwa mazoezi kwa sehemu kubwa yana nafasi kubwa ya kupunguza uzito na kuondoa kitambi. Profesa Christine Rosenbloom, mtaalamu wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Georgia, Marekani anasema kupunguza mafuta mwilini kunaendana na ulaji wa chakula bora pamoja na mazoezi ya kila siku. “Unatakiwa kufanya mazoezi kwa mud

USHAMUONA CRISTIANO RONALDO UWANJANI….HAYA NI MAISHA YAKE NJE YA UWANJA

Image
Cristiano Ronaldo akiwa Dubai Cristiano Ronaldo baada ya kazi yake ya uwanjani na kazi nyingine, huwa anapenda sana kujiachia na mwanae au na familia kwa ujumla. Picha nyingi anaonekana yupo na mwanae au yupo na mpenzi wake (wa zamani). Kama mastaa wengine ambao hupenda kuweka uhusiano na mastaa wenzao, Cristiano ana urafiki na Floyd Mayweather na pia huwa ana hudhuria matamasha ya muziki ya wasanii wakubwa kama Rihanna. Enjoy kuangalia picha za maisha ya CR7 kwa upande mwingine zaidi ya uwanjani.

MAMA KANUMBA, MAMA LULU KIMENUKA!

Image
Mwandishi wetu Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa na mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila, sasa kimenuka! Mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. DALILI KUWA PAKA NA CHUI Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, dalili za wawili hao kuelekea kugeuka kuwa paka na chui zilianza muda mrefu lakini hali ikazidi kuwa mbaya… Mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. DALILI KUWA PAKA NA CHUI Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, dalili za wawili hao kuelekea kugeuka kuwa paka na chui zilianza muda mrefu lakini hali ikazidi kuwa mbaya Siku ya Kumbukumbu ya Kifo cha Kanumba, Aprili 7, mwaka huu alipokuwa akitimiza miaka mitatu kaburini. CHANZO NI LULU Ubuyu ulidai kwamba, siku ya kumbukumbu ya kifo cha Kunumba

LULU MICHAEL ARUDITENA INSTAGRAM BAADA YA KUJITOA SIKU YA KIFO CHA SEKI.

Image
Siku ya Jana Accounts Mbali mbali Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael Baada ya Kujitoa siku Secky alipofariki Dunia Baada ya watu kuanza kumuhusisha lulu na Kifo Hicho kitu ambacho hakikuwa Kweli .... Baadhi ya Meseji huku instagram kuhusu kurudi kwa lulu Insta hizi Hapa: lulunation_ Lulu amerudi instagram asante Mungu kwa yote account yake org ni @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael follow 13h sephoramwakalinga Karibu swthrt..saiz kua na moyo km wa jambaz @lizymichael hao shain wasikupe shida coz hakuna jipya chini ya jua, ishi utakavyo...hao machokoraa wanaojiropokea acha waendelee kujifurahisha coz hawawez kua wewe. 11h proudoflulumichael Mungu amekuchaguwa wewe ili uwakomboee na wengine @lizymichael @lizymichael ... proudoflulumichael She is Back again my Queen Lizy now you can follow her .Her new account is @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael ..Wellcome baq

KAMANDA MKUU WA BOKO HARAMU{ ABOU MOJAHID} AUAWA KIKATILI,

Image
Askari wa jeshi la Nigeria Msemaji wa jeshi la Nigeria Meja Jenerali Chris Olukolade amesema kuwa, vikosi vya nchi hiyo vimemuua kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la Boko Haram Abu Mojahid ambaye ameuawa katika mapigano kati ya jeshi la Nigeria na wapiganaji wa kundi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Olukolade ameongeza kuwa, wapiganaji kadhaa wa Boko Haram nao wameuawa katika mapigano hayo. Wakati huo taarifa kutoka Nigeria zinasema kuwa, jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuukomboa msitu wa Sambisa ambao ulikuwa ngome ya mwisho ya kundi la kigaidi la Boko Haram. Msitu wa Sambisa huko kaskazini mashariki mwa Nigeria. Hayo yanajiri ikiwa Operesheni ya pamoja ya vikosi vya Nigeria, Chad, Cameroon na Niger dhidi ya Boko Haram ikizidi kuendelea huku kukiwa na taarifa kwamba, imekuwa na mafanikio.

HABARI NJEMA KWA WANABLOG, FORUMS WATANZANIANIA JUU UANDIKISHAJI WANACHAMA TBN

Image
Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi. Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka kujiunga fomu hizo zinapatikana kwenye Ofisi za Muda za Tanzania Bloggers Network (TBN) kwenye Jengo la Dar Free Market lililopo mkabala na Barabara ya Ally Hassan Mwinyi. Mwanachama muitaji wa kujiunga kabla ya fomu atatakiwa kutoa shs 25,000/- ikiwa ni Kiingilio cha mwanachama, shs 15,000/- yakiwa ni malipo ya ada ya miezi mitatu kwa mwanachama na shs 10,000/- ikiwa ni malipo ya kadi ya TBN kwa mwanachama (utambulisho). Jumla kuu kila mwanachama anatakiwa kulipa shs 50,0

WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI

Image
Rais wa serikali ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya bunge kupitisha mswaada inaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji wa Ikulu ya Rais Manoah Esipisu, tume ya maadili na kupambana na ufisadi, itaendelea na kazi yake licha ya kusimamishwa kwa wakuu hao wawili. Wakuu hao ambao ni Mwenyekiti, Mumo Matemu na naibu wake Bi. Irene Keino wamesimamishwa huku uchungunzi ukianzishwa dhidi yao kuhusiana na tuhuma za uzembe wa kazi na kutumia vibaya madaraka yao ikiwemo kujihusisha na ufisadi. Tangazo hilo limetolewa mwezi mmoja baada ya ripoti kutoka ya tume hiyo kuwasilishwa kwa Rais Kenyatta, ripoti iliyosababisha kusimamishwa kazi kwa Mawaziri wanne wa serikali ya Uhuru Kenyatta na Maafisa wengine 12 na Wakuu serikalini ili kupisha uchunguzi ufanyike dhidi yao

KIJANA AMCHINJA MAMA YAKE MZAZI NA KUTOA TAARIFA UONGOZI WA KIJIJI!!-SINGIDA,SHUHUDIA HAPA

Image
Jeshi la Polisi mkoani Singida, linamshikilia Jumanne Yusuph (33), Mkazi wa Kijiji cha Mtamaa ‘A’ Manispaa ya Singida kwa kumuua mama yake mzazi, Tausi Abdalah (56) kwa kumchinja na kisu shingoni, juzi alfajiri katika kijiji hicho. Baada ya kumchinja mama yake, kijana huyu alikwenda kwa mama yake mkubwa kutoa tarifa, kisha tena akaenda kwa mwenyekiti wa kijiji kumjulisha kuwa amefanya mauaji ya mama yake. Kabla ya mauaji hayo, mtuhumiwa huyo aliwaua ng’ombe watatu wa mama yake kwa kuwacharanga na mapanga. Pia inadaiwa kuwa aprili 16 mwaka huu, mtuhumiwa huyo alifika kwa mama yake na kubomoa sehemu ya nyumba yake kisha akatokomea kusikojulikana.Kabwe Zuberi Zitto (born 24 September 1976), popularly known as Zitto Kabwe, is a Tanzanian politician.He was a member of the opposition party, Chadema, from 1992 until his expulsion in March 2015. He served as a Member of Parliament for the Kigoma North constituency from 2005 to 2015.On 20 March 2015, he officially joined the Al

The Best Yoga Poses for Pregnant Women

Image
Who said that pregnant women should forget about exercising? It is actually a myth! Instead, prenatal yoga can help you cope with all those body changes you must experience during pregnancy. It is a perfect way to find a balance between mind and body. No other technique can help women to stay fit and healthy and keep their mind calm and relaxed as much as yoga does. That does not mean that all yoga poses are good for you, some of them may actually hurt you, or your baby. That’s why you should be very attentive when working out during pregnancy, even when it comes to yoga. Just remember you should feel comfortable and not experience pain! Don’t forget to consult your doctor before exercising. So, we’ve gathered the safest yoga poses for those who are expecting. 1. The Easy Pose This pose is the best way to start a session. It helps to relax, reduces tension in your neck and shoulders, and opens your chest. You don’t have to be super flexible to do it. The hardest th