Posts

HAWAENDANI LAKINI NDO HIVYO TENA,SOMA HAPA

Image
  Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. NImtazamo wa wengi kuwa baadhi ya mastaa ambao wapo kwenye uhusiano hawaendani kabisa kutokana na muonekano wao, tabia zao na hata fani zao kuwa tofauti. Kuna mastaa wa Bongo na wa Mamtoni ambao mapenzi yao yalivyoanza yaliwashtua watu mbalimbali na wengine kudai hayafiki mbali huku wale wanaotazamiwa kuendana kwa kila kitu wakimwagana vibaya mfano, Diamond Platnumz na Wema Sepetu, Rihanna na Chris Brown na wengineo wengi. AUNT EZEKIEL NA MOSE IYOBO Aunt Ezekiel ambaye ni staa wa Bongo Muvi alidai ‘kudate’ na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, hiyo ilijulikana mwishoni mwa mwaka jana baada ya Aunt Ezekiel kudai kuwa mimba hiyo ni ya dansa huyo. Uhusiano huo uliwashtua mashabiki wengi wa staa huyo ambapo mpaka sasa hawakubaliani na uhusiano huo wakidai kuwa kuna mtu nyuma ya Mose ambaye ndiye muhusika wa mimba ya Aunt kwa kigezo kuwa Mose hana jeuri ya pesa ya kuweza kumuweka Aunt mjini. .NAY WA MITEGO NA SHAMSA FORD Huu ni moja tu ya mfano wa...

SAKATA LA MTOTO WA NAY:MAJIBU DNA YATOKA!!,SOMA NDANI KUHUSU HATIMA YA NAY WA MITEGO

Image
  Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba (DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni damu halisi ya msanii huyo. Hivi karibuni, Nay na Siwema ambao walikuwa wapenzi kisha kumwagana, waligombana na kila mmoja kuzungumza lake juu ya mtoto wao huyo ambapo Siwema alidai si damu ya Nay wakati msanii huyo alisema ni damu yake. Licha ya kupokea majibu hayo mazuri kwake, Nay aliyachukua majibu hayo kwa kuangua kilio cha furaha huku akieleza ya moyoni kuhusiana na sakata hilo. “Hili ni swala ambalo lilikuwa linaniumiza kichwa kila kukicha. Unajua kama mwanaume, mtu akwambie mtoto si wako unadhani ni maumivu kiasi gani utayapata? Inauma sana, mtu umelea kuanzia mimba hadi mtoto amezaliwa, si kitu kidogo. “Namshukuru Mungu kwa majibu kwamba ni damu yangu. Mashabiki wangu watambue tu kwamba, Curtis ni mwanangu as...

WATU 10 WAKAMATWA MSIKITINI MOROGORO WAKIJIANDAA NA SHAMBULIZI LA UGAIDI

Image
Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia. Katika tukio hilo, mmoja anayesadikiwa kuhusiana na watu hao waliokamatwa aliuawa na wananchi wenye hasira baada ya kumjeruhi kwa panga askari polisi aliyekuwa akipambana naye. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo limetokea jana (Aprili 14 mwaka huu) majira ya saa 3.30 usiku katika kitongoji cha Nyandero, tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero. Kamanda Paul alimtaja mtu aliyefariki kuwa ni Hamad Makwendo ambaye umri wake haujafahamika ambaye ni mkazi Manyasini Ruaha wilayani Kilombero. Aidha alisema siku ya tukio polisi walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu watu hao na kwamba walitaarifiwa kuwa wanajihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu na polisi waliamua kufatilia nyendo zao. Akisimulia ...

SHUHUDIA ANACHOKIFANYA ZITTO HAPA

Image

MASHINE ZA BVR AWAMU YA PILI KUPELEKWA MIKOA SABA

Image
 Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini Tanzania itaanza kusambaza mashine za BVR 248 katika mikoa saba nchni Tanzania Kuanzia katikati mwa wiki ijayo. Mikoa iliyopangwa kuanza kupokea mashine hizi ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, Wakati zozi likianza mikoa hiyo nyingine zitakuwa zinapelekwa katika mikoa ya Katavi, Mbeya na Dodoma. Mikoa mimgine ni Singida Tabora Geita na Kigoma. Mkuu wa kitengo cha Ufundi wa idara ya Daftrari/ICT wa NEC Dr Sisit Cariah, Akizungumza na mwandishi wetu amesema kwamba mpaka sasa wanachi wa mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvumna na Iringa wakae tayari kwani muda wowote watatangaziwa vituo vya kujiandikisha.  Pamoja na mshine hizo 248 Tume ya taifa ya uchaguzi imewaandaa wataalamu 248 ambao watakuwa na jukumu la kutoa elimu kwa wataalamu wengine 50 kwa kila mmoja nchi nzima kwa ajili ya kuharakisha uandikishaji kwa mfumo wa BVR. Dr Sisit Ameeleza kwamba wamefanikiwa kufanya maboresho makubwa katika mashine hizi ikiwa ni pamoja ...

WATU 9 WAKAMATWA MORO WAKIWA NA MILIPUKO MIKUBWA PAMOJA NA SILAHA NZITO KATIKA MSIKITI

Image

8 Certain Signs You’re With the Man You Should Marrys

Image
Hello my Dear Friends You’ve survived a long-distance relationship This is great challenge for any couple. You love each other very much and believe everything is possible. You both are ready for necessary sacrifices, knowing everything will be ok when you get back together.Are you dating the right guy? It’s hard to tell, especially when you’re stuck in relationships and don’t know what you want from your man. What are you looking for in your partner? Does he want to be with you forever and ever? Most women can’t find the right answers. But there are some tricks to tell if you’re ready to marry a certain guy. Here is a list of qualities that you should pay attention on. These signs will help you to find out if you two are bound for life.   1. He’s a good teammate Fighting for something together is always good than fighting with each other. You both can improve and inspire each other achieving your dreams. If you are a good team – be sure, he will be there for you ...

ANASWA AKIIBA MAHINDI;APEWA ADHABU YA KULA YOTE MABICHI!

Image
Akilazimishwa kula mahindi hayo. Jamaa ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejikuta akionja joto ya jiwe baada ya kudaiwa kukutwa akiiba kwenye shamba la mahindi hivyo kulazimishwa kula mahindi mabichi.Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Kata ya Miembeni, Bukoba mkoani Kagera na kuibua gumzo kubwa. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, baada ya kumnasa kijana huyo akiiba mahindi aliyoyajaza kwenye gunia, wamiliki wa shamba hilo walimuamuru kukaa chini na kuyala yakiwa mabichi hadi yaishe, kitendo ambacho jamaa huyo alikubaliana nacho. Akila maindi hayo ili kuepuka kichapo. Ilielezwa kwamba, katika hali ya kushangaza, kijana huyo hakukataa wala kuonesha kutetereka kwani alianza kuyala hadi alipoamriwa kuacha na kuambiwa aondoke.Katika habari hiyo iliyoripotiwa na Mtandao wa Harakati, kijana huyo alionekana kuwa na matatizo ya kutosikia vizuri wala kuongea kwa maana ya kuwa ni ‘bubu’. Hata hivyo, kijana huyo hakujulikana alitokea wapi k...

WAZIRI STEVEN WASIRA AWAFUKUZA WAKURUGENZI WATATU KWA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA YA BILLION 2.5

Image
WAZIRI wa kilimo, Chakula na Ushirika Steven Wasira amewafukuza kazi wakurugenzi watendaji watatu wa Mamlaka ya Kuendeleza Bonde la Mto Rufiji (Yaani Rufiji River Basin Development Authority – RUBADA) kutokana na matumizi mabaya ya ofisi ya Umma ambayo yameitia hasara ya Bilioni 2.5 Serikali . Akitoa agizo hilo leo mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri Wasira amewataja Watendaji hao kuwa ni Bwana Aloyce L. Masanja – Kaimu Mkurugenzi Mkuu; Bibi Tabu Ndatulu – Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji; na Bwana Filozi John Mayayi – Mkurugenzi wa Fedha na Utawala. Wassira amesema baada ya Ofisi yake kupata malalamiko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya Rufiji pamoja na wawekezaji juu ya Urasimu wa shirika hilo, aliunda timu ya Uchunguzi kutoka wizara ya Kilimo na Hazina kwenda kuchunguza malalamiko hayo. “Baada ya kuunda tume kutoka hapa Wizarani ikishirkiana na Hazina, walienda kwenye shirika hilo kufanya ukaguzi.Tume ilibaini kwamba mfumo wa pale ulikuwa ni ...

MTABIRI ABAINI MAMBO MAZITO KWENYE MAISHA YA JAY DEE

Image
  Kwa Lady Jaydee, mwaka 2015 utakuwa wenye mafanikio makubwa, ndoa mpya, stress kiasi na magonjwa lukuki, kwa mujibu wa mtabiri! Mtabiri huyo alialikwa na Lady Jaydee kwenye kipindi chake, Diary ya Lady Jaydee ambapo alidai kuwa mwaka huu muimbaji huyo atapata pesa nyingi kupitia muziki wake lakini kiafya akitabiriwa homa nyingi na kukifiria kifo mara kwa mara. “Kuna vitu vitaisha mwaka huu ambavyo itabidi uache,” mtabiri huyo alimweleza Jide. “KAwanza hii ni possibility you need to avoid, kuna wakati hali ya kifo itakupa stress sana, unaweza ukasema maisha yangu yatakuaje? “Usifikirie hivyo, utakuwa unafikiria kifo, utafikiria baada ya kifo nini kinaendelea, utakuwa unafikiria siku nikifa nitaenda peponi au nitaenda motoni, kwahiyo kifo kitakuja kwako lakini usifikirie, kwamba ukiumwa tu kidogo haa nitakufa, no hufi, because ningeona kifo kwenye utabiri wako wa mwaka 2015! Mwaka huu utaumwa kidogo, utaumwa magonjwa, afya yako itakuwa weak sana, kama ungeolewa i...

BAADA YA UNYAMA ALIOFANYIWA AFRIKA KUSINI:TAVES MASHAUZI AAMUA KUFANYA DUA NYUMBANI KWAKE

Image
Jumanne Hassan ‘Tevez’ akiweka ubani wakati wa dua hiyo. MUME wa ‘long time’ wa mwimbaji nyota wa kike wa muziki wa Taarab nchini, lsha Ramadhan ‘Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’ ambaye hivi karibuni alitekwa na kuteswa na watu wasiofahamika nchini Afrika Kusini, amerejea nchini na kufanya dua ya kumshukuru Mungu kwa kumnusuru kifo katika tukio hilo. Tevez aliwakusanya ndugu, jamaa na marafiki na kufanya dua hiyo, Ijumaa iliyopita nyumbani kwao Msamvu, Madawa jirani na Shule ya Msingi Msamvu ‘A’ ambapo alifanya kisomo hicho kilichoambatana na dua na chakula. “Mungu amemnusuru na balaa lile, amemkingia hivyo ameona ni vyema aandae dua ya kumshukuru,” alisikika mmoja wa waalikwa.Baadhi ya mashehe na waumini wengine wa Kiislamu waliohudhuria dua hiyo walimpongeza Tevez kwa kitendo hicho cha kumkumbuka Mungu na kumshukuru kwa kumlinda na majanga yaliyomkuta. Watu waliohudhulia dua hiyo. “Hili ni jambo jema sana alilofanya Tevez ambapo tunaelekezwa na mitume wetu kwamba...

ROSE NA SHETTA WADAIWA KULALA CHUMBA KIMOJA MORO!

Image
MUSA MATEJA KIMESANUKA! Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal maarufu kama Shetta anadaiwa kulala chumba kimoja na staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka katika hoteli iitwayo Kingway iliyoko mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita. Staa wa filamu Bongo, Rose. Chanzo makini kinachofahamu kwa undani kinachoendelea baina ya mastaa hao wawili, kimelidokeza gazeti hili kuwa tukio hilo lilijiri wakati wakielekea katika shughuli za mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge aliyezikwa kijijini kwao Mkuyuni mkoani humo, ambako watu wengi maarufu walihudhuria. “Si unajua mastaa kibao walikuwepo kwenye ule msiba, basi Rose na Shetta nao walikuwepo na wakati wa kwenda Mkuyuni, walipanda gari la Shetta hadi Morogoro mjini ambako walichukua chumba na kulala wote hadi kesho yake walipohudhuria mazishi na kurejea Dar es Salaam,” kilisema chanzo hicho. Ili kushibisha maelezo yake, mtoa habari huyo alilitumia gazeti hili video ya wawili hao wakiwa n...

WEMA SEPETU BADO DIAMOND KAMKALIA MOYONI!

Image
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu pamoja na kutengena na mpenzi wake Nassib Abdul ‘Diamond’ lakini alipoamua kutaja wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva mtaliki wake huyo kampa namba moja katika wasanii watano ambao yeye anaona wanafanya vizuri katika muziki.“Muziki umeshika kasi na kuna wasanii ambao wanafanya vinzuri kuliko wengine, kwangu Top 5 yangu 1 Nassib, wa pili ni Ashley, Ali kiba, Barnaba na wa tano ni mirrow hawa ni wasanii wanzuri wapo level za kimataifa,”anasema Wema. Aidha Wema amesema kwa upande wa wasanii wa kike anampenda sana mwimbaji Vanessa Mdee kwani anaimba na kucheza katika kiwango cha juu na kumfanya awe ni mpenzi wa kazi za msanii huyo, pia anataka watu wasimuelewe vibaya ni kwa mujibu wa mapenzi yake na maono yake

MCHUNGAJI GWAJIMA AONJA JOTO LA KUMTUKANA PENGO...SOMA HAPA

Image
  Kanisa lisilo rasmi la Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers mtaa wa Kawe Ukwamani Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es salaam limeamuriwa kuondoka mara moja na kuacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa Kawe. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua ya pili iliosainiwa na Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa shirika la nyumba la Taifa mnamo tarehe 9/03/2015 baada ya ile ya kwanza iliyotolewa tarehe 19/02/2015 imesisitiza kwamba pamoja na kutambuliwa umuhimu wa kanisa hilo kuendesha shughuli zake lakini shirika hilo halitaweza kutoa ruhusa kwa kanisa hilo kuendelea kufanya mahubiri katika viwanja hivyo kwani shirika hilo limeshaanza kutumia Viwanja hivyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa makazi nk. Bwn Masika alitoa siku 30 tu ambazo leo 7/...

How To Tell What a Man Will Be Like in Bed by the Way He Eats

Image
Good news ladies! Now you have a chance to find out a man’s sex habits before having a night of love with him. These two processes have a lot in common. You know that men love to eat and, of course, they love having sex. And they satisfy their needs in the same way. So, what do you need to pay attention to?   1. He’s eating in a rush    It’s not hard to imagine his behaviour in bed. He doesn’t have time for any meaningful prelude (foreplay), and he’s not really interested in long-term relations. Such a man just wants to satisfy HIS sexual desires fast and that’s all.   2. He isn’t a picky eater    When he’s hungry – it doesn’t matter for him what to eat and where. The same in bed- he’ll satisfy his sexual desires with the first woman he has a chance to bed. But, on the other hand, he won’t think that sex is bad and won’t tell you this, because he isn’t a picky guy.   3. Well-mannered eater    He is a gen...

SIX MEN ALLEGED TO HAVE PARTICIPATED IN GARISSA UNIVERSITY ATTACK WERE TUESDAY ARRAIGNED IN COURT

Image
By Fred Makana NAIROBI: Six men alleged to have participated in the Garissa University attack were Tuesday arraigned in court. They appeared in court alongside 12 others also said to have been committed terrorism-related crimes. The Garissa University College attack suspects were Mohamed Surow, Osman Dakane, Mohamed Abikar, Hassan Aden, Sahal Hussein and Tanzanian national Rashid Charles Mberesero alias Rehani Dida. Mberesero was later taken to Garissa by Anti-Terrorism Police Unit (ATPU) detectives for interrogation. The six were brought to Milimani Law Courts shortly after 12pm under heavy security and spent close to an hour in the basement before they were arraigned in court where the prosecution requested that police detain them for 30 days. Milimani Resident Magistrate Benson Nzakyo remanded Surow, Dakane, Abikar, Aden and Hussein for 30 days in various police stations pending investigations into the attack in which 148 people were killed. "After ...

WASTARA AANDIKA HISTORIA KWA ALIKIBA!

Image
Waandishi Wetu AJABU! Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma usiku wa kuamkia Jumatatu aliandika historia ya aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar kwa kuonesha shoo ya nguvu jukwaani hivyo kuwafanya mashabiki kibao waliohudhuria ukumbini hapo kupigwa butwaa wasiamini kama ni yeye. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akicheza kwa hisia. Katika shoo hiyo ya Sikukuu ya Pasaka iliyotambulika kwa jina la Mwana Dar Live, wasanii, Msaga Sumu, Ali Kiba na Isha Mashauzi walitumbuiza, lakini Wastara alihudhuria maalum kwa ajili ya Ali Kiba. ATINGA NA TIMU KIBA Wakati jukwaani akiimba msanii wa muziki wa Vigodoro, Msaga Sumu, kundi kubwa lililojulikana kama ‘Team Kiba’ likiwa na watu zaidi ya kumi lilitinga ukumbini hapo likiongozwa na Ali Kiba mwenyewe huku Wastara akiwa miongoni mwao. AJIWEKA KARIBU NA DADA KIBA Katika hali ya kushangaza, punde baada ya kundi hilo kutinga ukumbini hapo, Ali Kiba alipanda jukwaani na kumuacha...