Posts

8 Certain Signs You’re With the Man You Should Marrys

Image
Hello my Dear Friends You’ve survived a long-distance relationship This is great challenge for any couple. You love each other very much and believe everything is possible. You both are ready for necessary sacrifices, knowing everything will be ok when you get back together.Are you dating the right guy? It’s hard to tell, especially when you’re stuck in relationships and don’t know what you want from your man. What are you looking for in your partner? Does he want to be with you forever and ever? Most women can’t find the right answers. But there are some tricks to tell if you’re ready to marry a certain guy. Here is a list of qualities that you should pay attention on. These signs will help you to find out if you two are bound for life.   1. He’s a good teammate Fighting for something together is always good than fighting with each other. You both can improve and inspire each other achieving your dreams. If you are a good team – be sure, he will be there for you when

ANASWA AKIIBA MAHINDI;APEWA ADHABU YA KULA YOTE MABICHI!

Image
Akilazimishwa kula mahindi hayo. Jamaa ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejikuta akionja joto ya jiwe baada ya kudaiwa kukutwa akiiba kwenye shamba la mahindi hivyo kulazimishwa kula mahindi mabichi.Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Kata ya Miembeni, Bukoba mkoani Kagera na kuibua gumzo kubwa. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, baada ya kumnasa kijana huyo akiiba mahindi aliyoyajaza kwenye gunia, wamiliki wa shamba hilo walimuamuru kukaa chini na kuyala yakiwa mabichi hadi yaishe, kitendo ambacho jamaa huyo alikubaliana nacho. Akila maindi hayo ili kuepuka kichapo. Ilielezwa kwamba, katika hali ya kushangaza, kijana huyo hakukataa wala kuonesha kutetereka kwani alianza kuyala hadi alipoamriwa kuacha na kuambiwa aondoke.Katika habari hiyo iliyoripotiwa na Mtandao wa Harakati, kijana huyo alionekana kuwa na matatizo ya kutosikia vizuri wala kuongea kwa maana ya kuwa ni ‘bubu’. Hata hivyo, kijana huyo hakujulikana alitokea wapi k

WAZIRI STEVEN WASIRA AWAFUKUZA WAKURUGENZI WATATU KWA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA YA BILLION 2.5

Image
WAZIRI wa kilimo, Chakula na Ushirika Steven Wasira amewafukuza kazi wakurugenzi watendaji watatu wa Mamlaka ya Kuendeleza Bonde la Mto Rufiji (Yaani Rufiji River Basin Development Authority – RUBADA) kutokana na matumizi mabaya ya ofisi ya Umma ambayo yameitia hasara ya Bilioni 2.5 Serikali . Akitoa agizo hilo leo mbele ya Waandishi wa Habari, Waziri Wasira amewataja Watendaji hao kuwa ni Bwana Aloyce L. Masanja – Kaimu Mkurugenzi Mkuu; Bibi Tabu Ndatulu – Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji; na Bwana Filozi John Mayayi – Mkurugenzi wa Fedha na Utawala. Wassira amesema baada ya Ofisi yake kupata malalamiko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya Rufiji pamoja na wawekezaji juu ya Urasimu wa shirika hilo, aliunda timu ya Uchunguzi kutoka wizara ya Kilimo na Hazina kwenda kuchunguza malalamiko hayo. “Baada ya kuunda tume kutoka hapa Wizarani ikishirkiana na Hazina, walienda kwenye shirika hilo kufanya ukaguzi.Tume ilibaini kwamba mfumo wa pale ulikuwa ni

MTABIRI ABAINI MAMBO MAZITO KWENYE MAISHA YA JAY DEE

Image
  Kwa Lady Jaydee, mwaka 2015 utakuwa wenye mafanikio makubwa, ndoa mpya, stress kiasi na magonjwa lukuki, kwa mujibu wa mtabiri! Mtabiri huyo alialikwa na Lady Jaydee kwenye kipindi chake, Diary ya Lady Jaydee ambapo alidai kuwa mwaka huu muimbaji huyo atapata pesa nyingi kupitia muziki wake lakini kiafya akitabiriwa homa nyingi na kukifiria kifo mara kwa mara. “Kuna vitu vitaisha mwaka huu ambavyo itabidi uache,” mtabiri huyo alimweleza Jide. “KAwanza hii ni possibility you need to avoid, kuna wakati hali ya kifo itakupa stress sana, unaweza ukasema maisha yangu yatakuaje? “Usifikirie hivyo, utakuwa unafikiria kifo, utafikiria baada ya kifo nini kinaendelea, utakuwa unafikiria siku nikifa nitaenda peponi au nitaenda motoni, kwahiyo kifo kitakuja kwako lakini usifikirie, kwamba ukiumwa tu kidogo haa nitakufa, no hufi, because ningeona kifo kwenye utabiri wako wa mwaka 2015! Mwaka huu utaumwa kidogo, utaumwa magonjwa, afya yako itakuwa weak sana, kama ungeolewa ingek

BAADA YA UNYAMA ALIOFANYIWA AFRIKA KUSINI:TAVES MASHAUZI AAMUA KUFANYA DUA NYUMBANI KWAKE

Image
Jumanne Hassan ‘Tevez’ akiweka ubani wakati wa dua hiyo. MUME wa ‘long time’ wa mwimbaji nyota wa kike wa muziki wa Taarab nchini, lsha Ramadhan ‘Mashauzi’, Jumanne Hassan ‘Tevez’ ambaye hivi karibuni alitekwa na kuteswa na watu wasiofahamika nchini Afrika Kusini, amerejea nchini na kufanya dua ya kumshukuru Mungu kwa kumnusuru kifo katika tukio hilo. Tevez aliwakusanya ndugu, jamaa na marafiki na kufanya dua hiyo, Ijumaa iliyopita nyumbani kwao Msamvu, Madawa jirani na Shule ya Msingi Msamvu ‘A’ ambapo alifanya kisomo hicho kilichoambatana na dua na chakula. “Mungu amemnusuru na balaa lile, amemkingia hivyo ameona ni vyema aandae dua ya kumshukuru,” alisikika mmoja wa waalikwa.Baadhi ya mashehe na waumini wengine wa Kiislamu waliohudhuria dua hiyo walimpongeza Tevez kwa kitendo hicho cha kumkumbuka Mungu na kumshukuru kwa kumlinda na majanga yaliyomkuta. Watu waliohudhulia dua hiyo. “Hili ni jambo jema sana alilofanya Tevez ambapo tunaelekezwa na mitume wetu kwamba

ROSE NA SHETTA WADAIWA KULALA CHUMBA KIMOJA MORO!

Image
MUSA MATEJA KIMESANUKA! Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal maarufu kama Shetta anadaiwa kulala chumba kimoja na staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka katika hoteli iitwayo Kingway iliyoko mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki iliyopita. Staa wa filamu Bongo, Rose. Chanzo makini kinachofahamu kwa undani kinachoendelea baina ya mastaa hao wawili, kimelidokeza gazeti hili kuwa tukio hilo lilijiri wakati wakielekea katika shughuli za mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge aliyezikwa kijijini kwao Mkuyuni mkoani humo, ambako watu wengi maarufu walihudhuria. “Si unajua mastaa kibao walikuwepo kwenye ule msiba, basi Rose na Shetta nao walikuwepo na wakati wa kwenda Mkuyuni, walipanda gari la Shetta hadi Morogoro mjini ambako walichukua chumba na kulala wote hadi kesho yake walipohudhuria mazishi na kurejea Dar es Salaam,” kilisema chanzo hicho. Ili kushibisha maelezo yake, mtoa habari huyo alilitumia gazeti hili video ya wawili hao wakiwa n

WEMA SEPETU BADO DIAMOND KAMKALIA MOYONI!

Image
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu pamoja na kutengena na mpenzi wake Nassib Abdul ‘Diamond’ lakini alipoamua kutaja wasanii wanaofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva mtaliki wake huyo kampa namba moja katika wasanii watano ambao yeye anaona wanafanya vizuri katika muziki.“Muziki umeshika kasi na kuna wasanii ambao wanafanya vinzuri kuliko wengine, kwangu Top 5 yangu 1 Nassib, wa pili ni Ashley, Ali kiba, Barnaba na wa tano ni mirrow hawa ni wasanii wanzuri wapo level za kimataifa,”anasema Wema. Aidha Wema amesema kwa upande wa wasanii wa kike anampenda sana mwimbaji Vanessa Mdee kwani anaimba na kucheza katika kiwango cha juu na kumfanya awe ni mpenzi wa kazi za msanii huyo, pia anataka watu wasimuelewe vibaya ni kwa mujibu wa mapenzi yake na maono yake

MCHUNGAJI GWAJIMA AONJA JOTO LA KUMTUKANA PENGO...SOMA HAPA

Image
  Kanisa lisilo rasmi la Mchungaji Josephat Gwajima lililokuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu katika viwanja vya Tanganyika Packers mtaa wa Kawe Ukwamani Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es salaam limeamuriwa kuondoka mara moja na kuacha eneo hilo wazi kwa ajili ya maendeleo ya watu wa Kawe. Kanisa hilo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiendesha shughuli zake kinyume na taratibu na kusababisha usumbufu na kero kubwa za makelele kwa wakazi wa maeneo hayo. Katika Barua ya pili iliosainiwa na Meneja wa Mkoa wa Kinondoni wa shirika la nyumba la Taifa mnamo tarehe 9/03/2015 baada ya ile ya kwanza iliyotolewa tarehe 19/02/2015 imesisitiza kwamba pamoja na kutambuliwa umuhimu wa kanisa hilo kuendesha shughuli zake lakini shirika hilo halitaweza kutoa ruhusa kwa kanisa hilo kuendelea kufanya mahubiri katika viwanja hivyo kwani shirika hilo limeshaanza kutumia Viwanja hivyo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa makazi nk. Bwn Masika alitoa siku 30 tu ambazo leo 7/04/2

How To Tell What a Man Will Be Like in Bed by the Way He Eats

Image
Good news ladies! Now you have a chance to find out a man’s sex habits before having a night of love with him. These two processes have a lot in common. You know that men love to eat and, of course, they love having sex. And they satisfy their needs in the same way. So, what do you need to pay attention to?   1. He’s eating in a rush    It’s not hard to imagine his behaviour in bed. He doesn’t have time for any meaningful prelude (foreplay), and he’s not really interested in long-term relations. Such a man just wants to satisfy HIS sexual desires fast and that’s all.   2. He isn’t a picky eater    When he’s hungry – it doesn’t matter for him what to eat and where. The same in bed- he’ll satisfy his sexual desires with the first woman he has a chance to bed. But, on the other hand, he won’t think that sex is bad and won’t tell you this, because he isn’t a picky guy.   3. Well-mannered eater    He is a gentleman, he chooses what to eat and what not

SIX MEN ALLEGED TO HAVE PARTICIPATED IN GARISSA UNIVERSITY ATTACK WERE TUESDAY ARRAIGNED IN COURT

Image
By Fred Makana NAIROBI: Six men alleged to have participated in the Garissa University attack were Tuesday arraigned in court. They appeared in court alongside 12 others also said to have been committed terrorism-related crimes. The Garissa University College attack suspects were Mohamed Surow, Osman Dakane, Mohamed Abikar, Hassan Aden, Sahal Hussein and Tanzanian national Rashid Charles Mberesero alias Rehani Dida. Mberesero was later taken to Garissa by Anti-Terrorism Police Unit (ATPU) detectives for interrogation. The six were brought to Milimani Law Courts shortly after 12pm under heavy security and spent close to an hour in the basement before they were arraigned in court where the prosecution requested that police detain them for 30 days. Milimani Resident Magistrate Benson Nzakyo remanded Surow, Dakane, Abikar, Aden and Hussein for 30 days in various police stations pending investigations into the attack in which 148 people were killed. "After

WASTARA AANDIKA HISTORIA KWA ALIKIBA!

Image
Waandishi Wetu AJABU! Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma usiku wa kuamkia Jumatatu aliandika historia ya aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar kwa kuonesha shoo ya nguvu jukwaani hivyo kuwafanya mashabiki kibao waliohudhuria ukumbini hapo kupigwa butwaa wasiamini kama ni yeye. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akicheza kwa hisia. Katika shoo hiyo ya Sikukuu ya Pasaka iliyotambulika kwa jina la Mwana Dar Live, wasanii, Msaga Sumu, Ali Kiba na Isha Mashauzi walitumbuiza, lakini Wastara alihudhuria maalum kwa ajili ya Ali Kiba. ATINGA NA TIMU KIBA Wakati jukwaani akiimba msanii wa muziki wa Vigodoro, Msaga Sumu, kundi kubwa lililojulikana kama ‘Team Kiba’ likiwa na watu zaidi ya kumi lilitinga ukumbini hapo likiongozwa na Ali Kiba mwenyewe huku Wastara akiwa miongoni mwao. AJIWEKA KARIBU NA DADA KIBA Katika hali ya kushangaza, punde baada ya kundi hilo kutinga ukumbini hapo, Ali Kiba alipanda jukwaani na kumuacha

MREMBO MAARUFU BONGO AFIA NCHINI CHINA!!

Image
Imelda Mtema Mrembo Mtanzania aliyejulikana kwa jina la Rehema Mohamed (30), anadaiwa kufia katika Mji wa Shanghai nchini China wiki mbili zilizopita baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi mauti yalipomfika huku ndugu zake wakichanganyikiwa kutokana na taarifa za kifo hicho. Mwanadada Rehema Mohamed anayedaiwa kufia China. Habari zaidi kutoka kwa aliyekuwa rafiki wa karibu wa Rehema nchini China, (jina lake linahifadhiwa) zinasema kuwa wamekuwa wakihangaika ili kupata fedha za kusafirisha mwili huo lakini imekuwa ngumu kupatikana. Chanzo hicho kilisema kuwa kimefanya mawasiliano na baadhi ya ndugu wa marehemu ambao nao wanajikusanya kwa ajili ya kupata fedha hizo ili kuurudisha mwili nyumbani Dar kwa mazishi. “Yaani huku tunapata tabu sana na tuna uchungu kwa kuwa fedha zilikuwa zikihitajika nyingi sana lakini tunashukuru taratibu zinaenda sawa karibu tutaleta mwili nyumbani,” alisema rafiki huyo. Mmoja wa ndugu wa marehemu ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini,

SHILOLE AFANYA UCHAFU STEJINI!!..SHUHUDIA MWENYEWE

Image
Mwanadada Shilole 'Shishi Baby' akionyesha mbwembwe zake stejini na mmoja wa mashabiki wake. Chande Abdallah STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Zuwena Mohamed 'Shilole' juzikati aliwatega vidume baada ya kufanya utundu wa aina yake kwa kuwaita jukwaani na kucheza nao wakati akipafomu kwenye shoo maalum ya Pasaka iliyodhaminiwa na Vodacom mwishoni mwa wiki.Tukio hilo lilinaswa sawia na paparazi wetu maeneo ya Coco Beach jijini Dar es Salaam baada ya Shilole kupandwa na ‘mzuka’ wakati akicheza na madensa wake waliovaa vibukta vifupi ambapo aliwaomba wanaume kadhaa wapande jukwaani wacheze naye kwa staili za ‘hatari’ kwani yeye alilala chini na mwanaume akaja kwa juu, hali iliyozua miguno kwa umati uliohudhuria. Shilole akizidi kupagawisha mashabiki wake. “Jamani hebu mwangalieni Shilole vitendo anavyovifanya pale jukwaani yaani dah, anajua kabisa hii shoo hata watoto wadogo wapo, hapo sijui anawafundisha nini, mimi sijapenda kabisa,” alisikika akilalamik

LULU AONGEA UKWELI KUHUSU PIGO KUBWA LILILOMPATA JUU YA KIFO CHA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Image
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa. “Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake. Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven Kanumba kwani leo tarehe 7 mwezi huu ni siku ya kumbukumbu cha kifo cha staa huyo wa Bongo Movies ambae alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Lulu. Japo kuna baadhi ya watu amabo sio wastaarabu wamekua wakimshabuliaLulu kwa maneno makali, lakini kwa maneneo hayo ya Lulu nadhani wenye busara wamekuelewa.

ZARI AFUNGUKA KUHUSU UVUMI KUWA HANA MAELEWANO NA BABA WA WATOTO WAKE

Image
Zarinah “The Boss Lady” Tlale a.k.a mama kijacho au kama anavyofahamika kwa kifupi Zari, amekanusha uvumi ulioenea kuwa yeye na mme wake wa zamani ambaye ni baba wa watoto wake watatu, Ivan Ssemwanga kwa sasa hawazungumzi kutokana na kuwa kwenye mtafaruku mkubwa. “Nina watoto watatu wa kiume wa kwanza ana miaka 12 wa pili 10 na mwingine ana miaka 8 wako poa na nina jivunia kuwa mama.” Alisema Zari kupitia E-Newz ya EATV. (Kuhusu baba wa wanaye watatu) “Hatuko pamoja lakini tuko poa kwasababu kuna vitu vingine vinaendelea kati yetu wakiwemo watoto na mambo mengine mengi kwahiyo tuko poa. Unajua jinsi watu na vyombo vya habari wanavyochukulia ni kama tuna ugomvi na hatuzungumzi lakini sisi tuko poa kabisa.” Zari pia amezungumzia kuhusu uhusiano wake na Diamond kwa kusema kuwa mapenzi yao ni ya wao wawili na sio ya watu wengine hivyo hawapendani ili kuwafurahisha wengine. “Tuko poa, tunapendana lakini hakuna info zaidi. Sitaki kutoa taarifa zaidi ambayo tunaita ‘T.M.

THE 8 MOST ROMANTIC WAYS TO SAY "I love You"

Image
We have already celebrated St. Valentine’s Day this year, but this doesn’t mean we shouldn’t bring romance to our relationships anymore. Love is an amazing feeling and there is nothing embarrassing about showing it as much as you want. Saying “I love you” is great, but sometimes words are just words and nothing more. If you really love your partner you need to show your affection not only verbally, you also need to demonstrate your feelings with your actions and behavior. Our fantasy has no boundaries, so there are a lot of creative yet simple ways to express your love. This article can help you strengthen your relationship, or even bring back that sparkle and romance between you two if needed. It’s not actually hard as you may think, what you need is just the desire to make your significant one happy. So, check the list of the most romantic ways to say “I love you” and show how much you cherish your loved one. 1. Dinner on the roof Everybody loves romantic dinners w