ANGALIA PICHA MTOTO MWINGINE AFANYIWA UKATILI WA KUTISHA NA MAMA YAKE MKUBWA MORO
M toto Mwajuma Athuman[6] aliyeokotwa na wanajeshi kambi baada ya kukimbia mateso ukatili anaodai kufanyiwa na mama yake mkubwa Bi,Ashura Omar amefichua siri nzito mbele ya Afisa mtendaji wa kata ya Kingolwira Mwenyekiti wa Mtaa Tank la Maji ka ta ya Kingolwira Bw Mohamed Said akiwa na mtoto huyo Mtoto huyo akiwa na Makovu aliyodai yametokana na kipigo toka kwa mama yake mkubwa Mtoto huyo hawezi kutembea baada ya mguu wa kushoto uliokuwa na kidonda kuvimba,akidai kidonda hicho pia kimetokana na kichapo toka kwa mama yake huyo. Mwenyeki akimbeba mtoto huyo kueleka ofisi ya Afisa Mtendaji Mama mkubwa wa mtoto huyo baada ya kuona kamera za Mtandao huu zikimmulika alifich...