Kutana na mtaalamu Rob Ferrel kutoka Rob the Original Barbershop San Antonio ambaye hunyoa wateja kwa taswira za wachezaji wawapendao

Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yakishika kasi nchini Brazil, kimetokea kituko cha aina yake hasa kwa mashabiki wa soka nchini Marekani ambapo Salon moja mjini San Antonio inatoa ofa ya kunyoa nywele kwa michoro ya wachezaji mbalimbali nyota wanaotamba katika fainali hizo. 



Katika wiki za hivi karibuni Rob Ferrel, mmilikiwa wa Rob the Original Barbershop, aliwanya watu kwa picha ya sura za nyota wa Ureno Cristiano Ronaldo, mlinda mlango wa Marekani Tim Howard na Guillermo Ochoa kama sehemu ya ubunifu wake wa kunyoa. Licha ya timu ya Ronaldo kuondolewa kwenye hatua ya makundi, walinda mlango wa Marekani Howard na Mexico Ochoa watakuwepo kwenye hatua ya mtoano.

How about that? Rob Ferrel styles USA goalkeeper Tim Howard's face into someone's hair
Vipi kuhusu hii? Rob Ferrel akimnyoa mteja kwa sura ya mlinda mlango wa Marekani Tim Howard

Close up: Tim Howard and an American flag incorporated into a short, back and sides haircut
Amemaliza: Tim Howard na bendera ya Marekani
World Cup fever: Ferrel posts a collage of his football-themed cuts
Miaka minane iliyopita Ferrel alikuwa anafanya kazi kwenye barbershop moja mjini Texas wakati ambapo kijana huyo alipoanza kuwauliza wateja namna ya kunyoa kwa mitindo mbalimbali.
‘Awali ilikuwa kazi rahisi na ubunifu, lakini sasa kama wataniletea taswira yoyote naweza kuiweka kwenye nywele,’ amesema kwenye website yake.
Ferrel ni mweledi wa mitindo ya nywele mjini San Antonio, ingawa anaendelea kutoa huduma hiyo kulingana na matakwa ya watu. 
Wakati timu yake ya mpira wa kikapu ya San Antonio Spurs ilipocheza na Miami Heat kwenye mchezo wa fainaliya NBA mapema mwezi huu, mashabiki wa timu zote mbili waliomba kunyolewa kwa sura za wachezaji wa timu zao.
Real deal: Another of Ferrel's designs, this time of Portugal captain Cristiano Ronaldo
Dili la ukweli: Ubunifu mwingine wa Ferrel, wakati huu ni nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo






Shotstopper: Ferrel has also done a style based on the portrait of Mexico's star goalkeeper Guillermo Ochoa
Y

Comments

Popular posts from this blog