Posts

WAHINDI 14 WAMEKAMATWA DAR, WAMEINGIA KUFANYA BIASHARA HARAMU

Image
Askari wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu ambapo watu hao wameingia nchini kinyume na taratibu za uhamiaji. Kati ya watuhumiwa 14 watuhumiwa 12 ni wasichana ambao waliletwa nchini kwa lengo la kufanya maonyesho ya nyimbo za asili lakini wakajikuta wakingizwa katika biashara zingine ikiwemo kucheza muziki katika nyumba za burudani. Kwa upande mtu anayedaiwa kuwaleta wasichana hao amesema amewaleta kwa lengo la kufanya maonyesho ya muziki huku akipinga kuwa wasichana hao hawatumii kinyume na hivyo. Naye mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa mikoroshini msasani amewataka wakazi wa eneo hilo kujiepusha na tabia ya kukaa na wageni bila ya kutoa taarifa mamlaka husika. Akithibitisha tukio hilo mkaguzi wa uhamiaji Bw Dotto Romana amesema wanawashikilia watu hao na watachukua hatua kulingana na mahitaji ya sheria

TAARIFA KUHUSU KIFO CHA WANAFUNZI CHUO KIKUU UDSM

Image
Marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya enzi za uhai wake  familia ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo. Akizungumza na Uwazi, mwishoni mwa wiki iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baba mdogo wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Mwigune alisema, taarifa waliyopewa na daktari aliyemfanyia uchunguzi inamaliza utata na minong’ono yote inayoendelea chuoni. Alisema, kwa mujibu wa ripoti hiyo, kifo cha Sekabenga kimetokana na mzunguko wa damu katika mishipa kutokuwa sawa, jambo lililosababisha ajisikie vibaya na hatimaye kufariki dunia. Mwili wa marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya ukiwa kwenye jeneza. “Daktari amesema kwamba mishipa ya damu haikuwa ikifanya kazi vizuri hali iliyomsababishia ajisikie kuchoka kwa sababu damu haikuwa ikifika sehemu zote za mwili wa marehemu,” alisema Mwigune. Uwazi lilifunga safa

SHUKRANI ZA ZITTO KABWE BAADA YA MSIBA WA MAMA YAKE

Image
Tumempumzisha mama kwenye nyumba yake ya milele, jirani na alipopumzishwa baba yake mzazi. Nawashukuru sana nyote kwa salam zenu za pole. Nawashukuru nyote mlioweza kufika kigoma kumsitiri mama. Sina cha kuwalipa, mola atawalipa. Nawashukuru sana wakazi wa Manispaa ya Kigoma, jimbo la Kigoma Kaskazini na wana Kigoma wote.  Nawashukuru watanzania. Madaktari wote waliomhudumia mama, wahudumu wa hospitali, maafisa wa Bunge na wabunge wenzangu. Mola awazidishie katika shughuli zenu. Mama yangu alikuwa nguzo kubwa kwangu na familia yetu. Mti mkubwa umeanguka. Mola amempenda zaidi mama. Pumzika kwa Amani.

ANGALIA PICHA YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA YAKE MH. ZITTO KABWE

Image
         

HII NI SEHEMU INAYOAMSHA 'HISIA ZA MIHEMKO' ZAIDI KWA MWANAMKE KATIKA MAPENZI....

Image
Katika mwili wa mwanamke kuna sehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi , kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja  Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa juu. Sehemu  hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume. Badala yake njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo  mwanaume unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu.  Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia mwana

KIFO CHA TYSON, KUNA KITU!

Image
Tatizo! Huku macho ya waigizaji na wadau wake hayajakauka machozi kufuatia vifo vya ghafla vya mwongoza sinema, Adam Philip Kuambiana (38) na mwigizaji Sheila Leo Haule ‘Recho’ (26), tasnia imempoteza mwingine, mwigizaji, prodyuza na mwongozaji filamu mahiri, George Otieno ‘Tyson’ (41). Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiwa limehifadhiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Dar. Kufuatia kifo hicho ambacho pia ni cha ghafla, wadau mbalimbali wa filamu, wakiwemo wasanii wenyewe wamesimamia mawazo yao kwamba lazima kuna kitu! Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro. Katika ajali hiyo, mbali na marehemu walikuwemo watu wengine watatu ambao ni dereva, MC Gladness Chiduo ‘Zipompa’ na mwingine aliyejulikana kwa jina moja la Nick ambao walijeruhiwa vibaya na kupatiwa matibabu ya haraka. Msanii AY akisimamia utaratibu mzima wa kuandaa je

AFYA:MADHARA YA UVAAJI WA SURUALI NA NGUO ZA NDANI ZINAZO BANA

Image
Dk alisema siyo tu kuhusu suruali za kubana, lakini nguo zozote za kubana siyo nzuri kuwa mavazi ya kila siku.    Alieleza kuwa mwili unahitaji kupumua, hali ambayo hufanyika kupitia kutoka jasho kwenye vinyweleo kwenye ngozi na jasho linatakiwa kukauka lenyewe taratibu. Dk   alisema ikiwa mtu amevaa jinzi ya kubana au nguo ya ndani ya kubana, jasho litagandana kwenye vinyweleo vya ngozi na wakati mwingine inaweza kusababisha magonjwa ya ngozi kama vile ‘fangasi’, maumivu ya mwili na vipele katika mapaja na sehemu zingine za siri. “Wanaume ambao wanavaa suruali za kubana wana hatari ya kupunguza kiwango cha mbegu za uzazi. Na wakati mwingine zinaweza kupungua kwa kiwango kikubwa na kumfanya mwanamume ashindwe kumpa ujauzito mwanamke,” alisema Dk Kafuuza. Dk   alisema suruali za kubana zina kawaida ya kusukuma ndani sehemu zinazotunza mbegu za uzazi za mwanamume, hali inayosababisha matatizo kama vile uvimbe na ngozi kubabuka. Nguo za ndani za

ANGALIA PICHA MUME AMPIGA MKE WAKE KWA MCHI KICHWANI

Image
Mke wa mtu anayefahamika kwa jina la Pamela Said (30) anayedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex.  Mke wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Pamela Said (30) amedai kupigwa mchi kichwani na mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina moja la Alex kisa kikiwa ni simu aliyopigiwa mumewe na hawara’ke.Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Mei 23, mwaka huu nyumbani kwa wanandoa hao, Mwembe-Supu, Ulongoni maeneo ya Gongo la Mboto, Dar muda mfupi baada ya kutoka kwenye bata ndefu usiku. Habari zilidai kwamba kabla ya kugeukia masumbwi, wanandoa hao walikuwa kwenye ‘pub’ yao iitwayo Milano iliyopo maeneo hayo wakijiachia kwa raha zao. Bi. Pamela Said akiwa katika maumivu makubwa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, ilibainika kuwa siku hiyo majira ya saa 5:00 usiku, Alex, akiwa amepitiwa na usingizi simu yake iliita huku jina la Salima likionekana kwenye ‘skriini’. Ilisemekana kwamba Salima aliwahi kuwa mfanyakazi katika pub yao ambapo Pamela alim

RAIS KIKWETE NA DIAMOND USO KWA USO, MANHATTAN, NEW YORK JIONEE HAPA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete masaa machache yaliyopita alipokutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, Manhattan, katika jiji la New York.

ANGALIA PICHA DIAMOND ALIVYOWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI

Image
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani. Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.  Wapenzi wa Diamond wakipagawa na show ya Diamond iliyofanyika All Star Club Elezabeth NJ. Shabiki akidata na show ya prezidaa wa Wasafi. Shabiki mwingine akidatishwa na moja ya wimbo wa Diamond na kushindwa kujizuia kupanda jukwaani. Mashabiki wa Diamond wakipagawa huku wengine wakipata taswira za hapa na pale.  All Star Club Elizabeth New Jersey; Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.  AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey. AJ Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufungua pazia iliyofan

MWANAMUZIKI SHAA AWEKA PICHA ZA UTUPU INSTAGRAM

Image
Nashindwa kufahamu kama ni ulimbukeni au ni kulewa ustaa ama kitu gani kingine, hebu fikiria katika hali hii ambayo imetokea kwa staa wa muziki nchini Tanzania Sarah Kais maarufu kama Shaa baada ya kupiga picha za utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram, ziko hapa. Kama unam-follow kwenye instagram @Shaa_tz basi utakuwa umesha like au kuona jinsi comment na like nyingi zinazopata picha hizi

TAIFA STARS YA SONGA MBELE YATOA SARE 2-2

Image
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kuwania kucheza michuano ya kombe la mataifa huru ya Afrika linalotarajiwa kufanyika mwakani. Stars leo ilikuwa inacheza Zimbwabwe kwenye mchezo wa m arudiano baada ya kuwafunga Zimbwabwe 1- 0 uwanja wa taifa wiki moja iliyopita, kwenye mchezo huo Stars imefanikiwa kufuzu baada ya kulazimisha sare ya 2-2. Zimbwabwe walianza kufunga dakika ya 24, kabla ya Stars kusawazisha dakika kadhaa baadae kupitia Nadir Haroub 'Cannavaro' dakika ya 28.  Muda mchache baadae Thomas Ulimwengu aliongezea Tanzania bao la pili dakika ya 46, kabla ya dakika 10 baadae Zimbwabwe kusawazisha na kufanya matokeo 2-2. Mpaka refa anapuliza kipenga cha mwisho matokeo yalibaki 2-2, na sasa Tanzania wanaingia hatua ya pili ambapo watacheza na Msumbiji.

MTOTO WA PELE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 33

Image
Edinho, mtoto wa Pele amehukumiwa kifungo cha miaka 33 jela. Kwa mujibu wa BBC, Edinho mwenye umri wa miaka 43, amepewa hukumu hiyo kwa kosa la ulanguzi wa fedha kwa ajili ya kusafirisha dawa za  kulevya. Alikamatwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na kutumikia kifungo jela kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya na kujihusisha na genge la wahalifu. Aliwahi kuichezea klabu ya Santos katika miaka ya 1990, kama golikipa. Kwa sasa anafanya kazi kama kocha wa makipa wa Santos. Amekiri kuwa ni 'mteja' wa dawa za kulevya, lakini amekanusha kuhusika na uuzaji wake. Anatarajiwa kukata rufaa.

TASWIRA ZA KUWASILI KWA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI

Image
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'. Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe. Dada wa marehemu Tyson, aitwae Doreen akisubiri mwili wa kaka yake. Ni majonzi kwa kila mmoja aliyefika kuusubiri mwili wa marehemu Tyson Hospitali ya Kairuki, Mikocheni, Dar. Msanii wa filamu za Kibongo, Kelvin akihojiwa kuhusu alivyopokea taarifa za kifo cha mwongozaji filamu, George Tyson. Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live kinachoruka kwenye runinga ya EATV, Joyce Kiria akilia kwa uchungu. Mwigizaji Aunt Ezekiel naye alikuwepo kupokea mwili wa Tyson. Wema Sepetu akihojiwa na mwanahabari wakati wa kupokea mwili wa Tyson. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere akibadilishana mawazo na mmoja wa waombolezaji. Mlinzi wa mochwari katika Hospitali ya Kairuki akiusubiri mwili wa Tyson. Waombolezaji wak