HII NI SEHEMU INAYOAMSHA 'HISIA ZA MIHEMKO' ZAIDI KWA MWANAMKE KATIKA MAPENZI....



Katika mwili wa mwanamke kuna sehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa juu.Sehemu hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume.

Badala yake njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo mwanaume unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu. 

Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia mwanamke kama ana ruka kidogo kwa juu na hapo hapo utamwona akilegeza macho na lazima usikie akifanya assshhhhhhhhhhh kutokana na hisia za utamu wa aina yake anaoupata mtu huyu. 

Ahsante kwa kuwa nasi kwa leo, endelea kusoma makala zetu zaidi katika page ya mahusiano.

Comments

Popular posts from this blog