Posts

HUYU NDIYE MDINGI ANAYETEMBEA HEWANI, TAZAMA ALIVYOKUWA KIVUTIO KWA RAIA :

Image
  Pichani ni msanii Johan Lorbeer wa Ujerumani ambaye anajiita "Tarzan" kwa sababu ya kuning'inia kwenye ukuta bila ya kizuizi chochote. Bwana Johan Lorbeer hupendelea kujitokeza kufanya usanii wake sehemu za pirika pirika za watu hasa wakati wa mchana wakati watu wakiwa mbioni na harakati za maisha. Usanii wake mkubwa wa kuwashangaza watu ni kunasia sehemu ambazo haziwezekani na kushindana na nguvu za mvutano (Gravity Force)

MAMA YAKE JOHARI AMFUMUA STAR WA FILAM VINCENT KIGOSI ''RAY'' Kwa

Image
mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa filamu ‘mbia’ wa mwanaye, Vincent Kigosi ‘Ray’, Risasi Jumamosi lina cha kushika. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mapaparazi wetu katika mahojiano maalum nyumbani kwake, Ubungo External, Dar, wiki hii, mama Johari alifunguka kuwa hamjui wala hajawahi kumuona Ray ambaye ni mkurugenzi mwenza wa Johari. Ndiyo wamiliki wa kampuni ya kufyatua filamu ya RJ Productions. Mama Johari ambaye pia ana makazi yake mkoani Shinyanga alisema alitua jijini Dar kwa matibabu ya presha. Vincent Kigosi ‘Ray’. Baada ya kumjulia hali, mapaparazi wetu walitaka kujua mama huyo anamzungumziaje Ray ambaye amekuwa akifanya kazi kwa karibu na bintiye na kwamba ilishasemekana ni wapenzi. Ndipo mama huyo alipokuja juu akisema huyo Ray mwenyewe hamjui na hajawahi kumtia machoni zaidi ya kumsikisikia ...

HUYU NDIYE BINTI ANAYEPENDA KUFANYA MAPENZI INGAWA HANA HAMU KABISA YA KUFANYA TENDO:

Image
Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa napenda kufanya mapenzi japokuwa hamu haipo kabisa na hivyo huwa naumia kwani kufanya mapenzi bila ya kuridhika na wala kusikia raha ni kazi. Wakati mwingine huwa najutia kitendo nilichokifanya yaani najuta kufanya mpenzi, Nifanyeje ili na mimi niweze kufika kileleni kwani wasichana wengine wanasema wanasikia raha sana...Naomba mawazo

Berbatov Ajiunga na Monaco kwa Mkopo

Image
+6 French fancy: Dimitar Berbatov has swapped relegation-threatened Fulham for Ligue 1 title challengers Monaco  Dimitar Berbatov has joined French side Monaco on loan from Fulham until the end of the season. The 33-year-old striker opted to join the Ligue 1 side rather than rejoin Tottenham, as revealed by Sportsmail on Friday morning.Big-spending Monaco moved for Berbatov as they are lacking cover for injured star Radamel Falcao, who underwent successful surgery on a knee injury last week. 'I'm happy, excited and a little bit nervous to be honest,' Berbatov told Monaco's official website, www.asm-fc.com. 'I look forward to starting training with my new team-mates and open a new chapter in my career.' +6 No return: Dimitar Berbatov has left Fulham but decided to join Monaco rather than return to Spurs Read more:  http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2549332/Dimitar-Berbatov-set-deadline-day-exit-B...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe ahutubia Mkutano kuhusu Amani DRC na Nchi za Maziwa Makuu

Image
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akiwa katika moja ya Mikutano ya Umoja wa Afrika inayoendelea mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mhe. Membe alihutubia Mkutano wa Tatu wa Ngazi ya Juu kuhusu Utaratibu wa Usimamizi wa masuala ya Amani, Usalama na Ushirikiano  katika  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Nchi za Kanda ya Maziwa Makuu uliofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia tarehe 31 Januari, 2014 pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaoendelea mjini hapa.   Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jan Eliason akizungumza wakati wa Mkutano kuhusu DRC na Nchi za Kanda ya Maziwa Makuu (ICGLR) uliofanyika Addis Ababa.   Mjumbe wa Sudan akisaini Mkataba wa Kujiunga na Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano ulio chini ya ICGLR   Wajumbe wengine kutoka nchi wanachama wa ICGLR wakifuatilia mkutano.   Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoj...

HUYU NDIYE NYOKA ALIYEWEKA REKODI DUNIANI NI BAADA YA KUJIMEZA MWENYEWE:

Image
  Haya ni maajabu mengine ya dunia. Hii jamii ya nyoka maarufu kama rat snake kwa kimombo ikikosa msosi hujimeza. Mmoja wao alionekana akijaribu kujimeza mara ya kwanza, mara ya pili alivyojaribu alikufa.

CHUCHU HANS AIBIKA LIVE, WAMASAI WAHUSISHWA

Image
STAA wa sinema za Kibongo, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufundishwa mila za kimasai na kusema ameelewa, muda mchache baadaye akachemka. Chuchu Hans (kushoto)katika pozi. Tukio hilo lililogeuka kituko, lilitokea hivi karibuni ambapo Chuchu akiwa na wasanii wenzake walifika katika Kijiji cha Misherani kilichopo mkoani Arusha kwenda kurekodi sinema lakini alivutiwa na mavazi ya kimasai ndipo alipoomba kujifunza mila za kabila hilo. Akizungumza paparazi wetu, Chuchu alisema alipewa mtoto mdogo amfundishe namna ya kuvaa mavazi hayo ya Kimasai, akadai ameweza lakini alipopewa mara ya pili avae mwenyewe, alichemka. “Daah! Niliabika maana mbaya zaidi nilielekezwa na binti mdogo nikamwambia tayari nimeweza lakini nilipokwenda kuvaa, nikavaa ndivyo sivyo, acha nichekwe,” alisema Chuchu. Chuchu Hans (wa poli kutoka kulia) na watoto wa Kimasai. Hata hivyo, baada ya kukosea huko, Chuchu alisema alijifunza upya na kuhakikisha kuwa a...

BREAKING NEWZ: AJALI MBAYA YATOKEA JANA USIKU POLISI WA TANO WAFARIKI PAPO HAPO

Image
Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku  majira ya saa nane  ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya polisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango, Gari hiyo  iliyokuwa imebeba polisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake wawili na wanaume wa tatu wamefariki papo hapo Ambao wote ni Polisi.

ANGALIA PICHA ZA BIBI ANAYESADIKIKA KUWA NI MCHAWI AMEKUTWA CHUMBANI KWA MTU MJINI BUKOBA

Image
  Bi. Kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa urahisi  amenusurika kifo baada ya polisi kumnusuru kwa kudaiwa kukutwa akiwa uchi chumbani kwa mtu  akifanya mambo yasiyoeleweka alfajiri ya leo  Ijumaa Januari 31,2014   Bi. Kizee akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuokolewa na polisi kutoka kwa wananchi wenye asila kali mara tu ya kukutwa kwenye chumba. Mashuhuda wa mwanzo wanasema Bibi huyo amekutwa akitapatapa bila kujua la kufanya huku mwili wake ukiwa Uchi na nguo zake  zikiwa pembeni kitendo kinachopelekea kusadikiwa kwamba Bibi huyu ni  mchawi wakati wengine wakisema wasubili taarifa ya Polisi.    Polisi wakiondoka eneo la tukio wakiwa na  Shuhuda mmoja aliyedai alikuwa miongoni mwa watu waliomkurupusha bibi huyo chumbani.  Wakielekea kituo cha cha polisi cha Bukoba Mjini leo asubuhi.  Bibi huyo akiwa kwenye ulinzi...

Washindi wa Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ warejea kutoka Old Trafford

Image
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (katikati) akifurahia jambo pamoja na washindi wa tiketi wa promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam baada ya safari yao iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda Old Trafford kuangalia mechi moja kwa moja kati ya Manchester United na Cardiff City iliyochezwa Jumanne usiku. Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na washindi wa tiketi wa promosheni ya Airtel ya Mimi ni Bingwa walioondoka nchini Jumapili wiki hii kwa safari iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda Old Trafford kuangalia mechi moja kwa moja kati ya Manchester United na Cardiff City iliyochezwa Jumanne usiku. Baadhi ya washindi wa tiketi kupitia promosheni ya Mimi ni Bingwa inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel wakishuhudia mechi kati ya Manch...

STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR JOBS FEB 2014

THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR(SUZA) JOB OPPORTUNITIES The State University of Zanzibar (SUZA) is the only public university in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999. Since its inception in 2002 it has been expanding in academic programmes as well as student enrolment. Its vision is to be the most preferred University in the Eastern Africa. SUZA invites applications from suitably qualified and competent Tanzanians to be considered to fill the following vacant posts: 1. Assistant Lecturer of Social work (one post) 2. Assistant Lecturer of Archaeology and Heritage (one post) 3. Assistant Lecturer of Tourism (one post) 4. Assistant Lecturer of Portuguese (one post) 5. Assistant Dean of Students (one post) 6. Office Superintendent (one post) 7. Loan Desk Officer (one post) 8. Office Management Secretary (one post) Re-advertised 9. Security Guard (Seven posts) 10. Office Attendant III (one post) 1. Assistant Lecturers for Social Wor...

WAZIRI MKUU WA FINLAND ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR (SUZA) KEMPASI YA VUGA.

Image
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Professa Idrss Ahmad Raia akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen alipotembelea chuo hicho Kempasi ya Vuga alipokuwa na ziara ya siku  Zanzibar. Waziri mkuu wa Finland Jyrki Katainen akizungumza na uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) alipotembelea chuo hicho katika ziara yake ya siku moja Zanzibar (wa kwanza kulia) ni Waziri wa Miundombinu na Mwasiliano Rashid Seif Suleiman na (kati kati) ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Professa Idriss Ahmad Rai. Baadhi ya wahadhiri na viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen wakati akiwahutubia katika Kempasi ya Vuga wakati wa ziara yake ya siku moja Zanzibar. Picha ya pamoja ya Waziri Mkuu wa Finland na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar na viongozi aliofutana nao kutoka Tanzania Bara. (wa kwanza kushoto) ni Balozi wa Finland nchini Tanzania Sinikka Antila.(Picha na Makame Msh...

ANGALIA NAFASI ZA KAZI HAPA

Image
  MUHIMBILI SENIOR SYSTEM ANALYST GRADE I Qualifications: Holder of Master’s of Science in Computer Sciences or Information Systems or Telecommunications or Electronic Engineering or relevant discipline Apply:  The Deputy Vice Chancellor,Planning Finance and Administration Muhimbili University of Health and Allied Sciences Box 65001, Dar es Salaam Details: Daily News 22 January, 2014 Deadline: 4 February, 2014 HUMAN  RESOURCES  AND ADMINISTRATIVE OFFICER  I - 2 POSITIONS Qualifications: Holder of Bachelor degree in Public/Business Administration,Human Resources,or Industrial Relations from a recognised university/Institution Apply: Rector Institute of Accountancy Arusha Box 2798, Arusha Details:Daily News 23 Jan, 2014 Deadline: 7 February, 2014 PUBLIC RELATIONS OFFICER I Qualifications: Holder of Bachelor degree in Business Administration,Marketing Mass Communication,Public Relations or its equivalent from a recognised university/...