BREAKING NEWZ: AJALI MBAYA YATOKEA JANA USIKU POLISI WA TANO WAFARIKI PAPO HAPO

Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea Jana usiku  majira ya saa nane  ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya polisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango,

Gari hiyo  iliyokuwa imebeba polisi na ilikuwa inaelekea kongwa imegongana na basi ya Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake wawili na wanaume wa tatu wamefariki papo hapo Ambao wote ni Polisi.

Comments

Popular posts from this blog