Posts

PRESIDENT JAKAYA KIKWETE RE-SHUFFLES CABINET

Image
     H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete announced his new cabinet yesterday, it was highly anticipated that President Kikwete would reshuffle the cabinet after appointing the former United Nations Deputy Secretary general Dr Asha Rose Migiro as a member of Parliament in the Month of December 2013. President Jakaya Kikwete on Tuesday, this week, nominated former United Nations Deputy Secretary General, Dr Asha-Rose Migiro, Member of Parliament. And a section of the Tanzanian media, led by an authoritative Kiswahili weekly, Raia Mwema, was spot-on in linking the president’s move with his plans to reshuffle the cabinet. Dr Migiro was the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation when her name was given by President Kikwete to the then newly elected United Nations Secretary General, Ban Kin Moon after the latter had requested for the name (preferably that of a woman) for appointing to the newly introduced UN post as a way of ap...

MOVIE BADO LINAENDELEA NA HII NDIO STORY KAMILI KUHUSU UJAUZITO WA WEMA NA ALIYEMPA MIMBA HIYO..!!

Image
MSANII maarufu wa Bongo Movie, mrembo na mwenye pesa pengine kuwazidi wengi na ambaye hivi karibuni amezua mijadala mikubwa baada ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Diamond, ambaye pia ni maarufu katika muziki wa kizazi kipya nchini na mwenye kuongoza kwa mapato nchini, imegundulika kuwa ana ujauzito wa miezi kadhaa. Wema ambaye alishindwa kuficha hisia zake na hatimae kuweka kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa instagram,” …mmmmmh jamani hichi kitumbo… hakifichiki now…” kuashiria kuwa mabadiliko ya mwili yameshaanza kuonekana (Picha chini inaonesha ujumbe huo kamili). Mtandao wa huu ulianza kuhisi taarifa hizo na kuamua kuzifuatilia kwa karibu ili kujua nini haswa kinaendelea au ni hisia tu. Ndipo mwandishi alipochukua jukumu la kumtafuta mlimbwende huyo Wema Sepetu na kugonga mwamba. Hata hivyo jitihada hizo hazikuishia hapo ndipo kilipopatikana chanzo cha karibu na Wema na kudai kuwa “ amekuwa akilalamika mabadiliko hayo na hata kusikika akisema ana...

NATAKA KUMSALITI MUME WANGU KWA AJILI YA TABIA ZAKE ZA UFATAKI

Image
  Habari za humu jamani mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote! tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU MPENZI WAKO, RIDHIKA!!

Image
HAPA kwenye Love & Life ni mahali sahihi kabisa pa kupanuana mawazo kuhusu maisha na mapenzi. . Si rahisi akakupa kila kitu, ridhika naye kwa kuwa moyoni umewekeza upendo wako. Vipengele vifuatavyo, vinafafanua zaidi. HAKUNA RUFAA Kwanza kabisa unatakiwa kufahamu kwamba, hakuna rufaa katika ndoa. Ukishaingia umeingia. Ni vizuri kuwa mtulivu na kuangalia zaidi mambo ya msingi. Achana na fikra mbaya kwa mwenzako, wekeza upendo wako kwake. Mwamini na ishi naye kwa akili huku ukijaribu kumshauri mambo mbalimbali ya maisha yenu. FURAHA YA NDOA Yapo mambo mengi ya muhimu kwenye ndoa, lakini jambo kubwa na la msingi zaidi ni pamoja na tendo la ndoa. Lazima wanandoa wawe na uhakika wa kupata tendo la ndoa. Tendo lenyewe linatakiwa kufanyika vizuri na kwa usahihi. Siyo harakaharaka bila ubunifu. Kufanya hivyo ni kuacha mianya ya mmoja wenu kufikiria kutoka nje ya ndoa. FAMILIA Majukumu ya familia ni kati ya mambo y...

MTOTO WA BABA ASKOFU APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZICHUCHIKA MTANDAONI, ASINGIZIA NI MWANAFUNZI CHUO KUMBE SIO, BABAAKE AZIMIA BAADA YA KUONA PICHA HIZO..! ZIONE HAPA LIVE

Image
 Mtoto wa Askofu maarufu Mkoani Dodoma apiga picha za utupu na kuzisambaza makusudi ili kutafuta mapedeshee wa kumnanihiii.. Hapa akiwana grace ya pombe kali Na Mwandishi wa XDEEJAYZ DODOMA. Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mtoto wa Baba Askofu mmoja wa Kanisa" Jina linahidhawa" kupiga picha chafu na kuzirusha kwenye mtandai kwa lengo la kutafuta wanaume wenye pesa. Habari za uhakika toka makao makuu yaa nchi yetu yani Dodoma "Agwe za uswelo" zilisema kuwa msichana huyo ambae amekuwa akitumia majina mengi ili kuwapoteza watu ili wasimjue kuwa yeye ni mtoto wa kiongozi huyo wa roho anaeheshimika sana mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla. Hata hivyo chanzo chetu kilisema kuwa jina lake halisi ni Ruthu lakini amekuwa na majina zaidi ya matano mara hujiita, Zaituni, au Jasmiin, Happynes, Yusra na Jackline yote hayo ni njia ya kuwapoteza maboya watu wanaomfahamu vyema. Mtoto huyo amekuwa kamaha ali...

SHUHUDIA PICHA 5 ZA KIHASARA ZA MREMBO HAMISA MOBETO.... KHA JAMANI MTOTO KAUMBIKA KINOMA..

Image
  - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/01/shuhudia-picha-5-za-kihasara-za-mrembo.html#sthash.iVpedFpp.dpuf

NILIMFUMA MKE WANGU AKINYATIA KUINGIA KWENYE CHUMBA CHA MDOGO WANGU WA KIUME AKIWA NA KA CH**P

Image
  Kumbe ilikuwa ni tabia yake kwenda kwa mdogo wangu huyo wa kiume ambaye ni mtoto wa shangazi yangu, na kula uroda wakati mimi sipo, nilipata tetesi hizo kutoka kwa housegirl wetu lakini sikuweza kuamini. siku hiyo nilirudi kimya kimya na kujifungia chumba kimoja ambacho kilikuwa hakitumiki, na wote hawakujua kama nilikuwa nipo. Mara ilipofika ,majira ya saa nne hivi usiku, nilimuona mke wangu ananyata huku akiwa amevaa nguo za ajabu sana, alipita chumba cha house girl na kisha kuzama kwenye chumba cha ndugu yangu huyo wa kiume. nilitoa simu yangu niliyokuwa nayo na kumpiga picha kwa ushahidi zaidi, alipoingia tu na mimi nikaingia alishindwa kuamini na gafla alianza kuomba msamaha, nilimuuliza mke wangu kwani umefanya nini alishindwa kunijibu huku akiendelea kulia na kuomba msamha, nilitoka na kwenda chumbani kwangu kulala, yule mdogo wangu wa kiume alifungasha usiku ule ule na kuondoka na mke wangu hakuweza kulala, iliniuma sana sikuweza kuamini kwani ...

AJALI YA BASI LA NA LORI HUKO SINGIDA

Image
Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki kwenye barabara kuu kutoka Singida kwenda Dodoma.Taarifa zimethibitishwa na mkuu wa Wilaya ya Singida na kwamba dereva wa basi alikimbia baada ya ajali kutokea saa sita na dakika 50 mchana.

Cristiano Ronaldo Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Dunia

Image
Na mshindi ni …. Cristiano Ronaldo. Usiku wa leo jijini Zurich, FIFA itamtangaza nyota huyo raia wa Ureno kuwa mwanasoka bora wa dunia kwa mwaka 2013 ambayo itakuwa tuzo yake ya pili. Cristiano Ronaldo amepata kura nyingi zaidi ya wapinzani wake Franck Ribéry na Leo Messi, kwa kushinda tuzo hiyo Ronaldo atakuwa ameusitisha ufalme wa Messi aliyekuwa ameishinda tuzo hiyo kwa miaka 4 mfululizo. Chachu ya ushindi huo wa Ronaldo ni mabao 69 aliyofunga mwaka 2013, ikiwa ni pamoja na kuumaliza mwaka vizuri. Ronaldo mwenyewe anajua kuwa ni mshindi tangu juma lililopita baada ya kudhibitisha kushiriki kwenye sherehe za tuzo hizo, pamoja na kushiriki Ronaldo amewapa mialika ndugu na rafiki zake wa karibu,mpenzi wake mwanamitindo Irina Shayak wakala wake Jorge Mendes. Pia wapo viongozi mbali mbali wa Real Madrid akiwepo raisi Florentino Pérez, Emilio Butragueño, Zinedine Zidane na Sergio Ramos, ambaye atatangazwa kuwa beki bora wa kati sambamba na Mbrazil Thiago Silva.

UBALOZI WAMTAPIKA JACKIE CLIEFF

Image
HABARI mpya zinadai kuwa ubalozi wa Tanzania nchini China umegeuka ghafla na ‘kumtapika’ mwanamitindo Jacqueline Cliff Fitzpatrick aliyekamatwa nchini humo akiwa amebeba madawa ya kulevya aina ya Heroin kilo 1.1 Desemba 19, mwaka jana, tofauti na awali. Mwanamitindo Jacqueline Cliff Fitzpatrick. Kwa mujibu wa rafiki wa Jack ambaye huwa anampokea nchini humo aliyejitambulisha kwa jina moja la Chifu, mwanamitindo huyo alipokamatwa huko Macau, Hong Kong nchini humo, aliwasiliana na ubalozi huo ambao ulikiri kukamatwa kwa ‘video queen’ huyo wa video ya Nataka Kulewa. “Nimeshangaa kusikia eti ubalozi hauna taarifa kuwa Jack alikamatwa. Mimi ndiye nilipiga simu ubalozini na kuuliza juu ya taarifa hizo ambapo walikiri kuwa na taarifa. Jack baada ya kunaswa na dawa za kulevya nchini China. “Labda waseme hawajapelekewa taarifa rasmi na Serikali ya China lakini ubalozi wetu Hong Kong unajua kila kitu,” alisema Chifu. Akizungumza na redio moja Bongo, mtu aliyejitambulish...

JE, WAJUA WAPENZI WANATAKIWA WAKUTANE KIMWILI MARA NGAPI KWA WIKI, ILI KURIDHISHA NAFSI ZAO?

Image
Kwa wiki nzima nimekuwa nakusanya mawazo, kutoka kwa wapenzi mbali mbali ambao walikuwa wananisaidia uchunguzi wangu juu ya namna wanavyoshiriki tendo la ndoa na kulidhika. Wengi kati ya hao kwa kiwango tofauti cha kuanzia mara tatu na kuendelea waliniambia kuwa hawatosheki na viwango hivyo na kuliacha swali kubaki kuwa wapenzi wakutane mara ngapi kwa wiki ili watosheke?  Jibu la swali hili linapatikana baada ya kutambua kitu kimoja muhimu, nacho ni chanzo cha kutosheka hasa nini? Katika hali ya kawaida kutosheka kupo zaidi akilini na wala si mwilini, hii ina maana kwamba watu wanaodhani kuupa mwili mahitaji zaidi kadiri unavyodai ni njia ya kuutosheleza wanajidanganya, kwa sababu tamaa ya mwili haitoki mwilini bali kwenye akili ya mtu.  Kwa msingi huo mtu akitaka kutosheka na penzi la mpenzi wake, ni lazima kwanza aitosheleze akili yake na kile anachopata, zoezi ambalo atalifikia kwa kutathimini uwezo wake wa kufanya mapenzi...

LAANA HII!!! PICHA 10 ZA UTUPU ZA BINTI ZANASWA KWENYE SIMU YA MUME WA MTU...AIBU TUPU NI DENTI WA UDSM...TAZAMA HAPA

Image
zulekha nassir katika posi akiwa saluni kijitochama Hili ni tukio la aina yake la huyu dada jina kamili anaitwa ZULEKHA NASSIR Lakini facebook anatumia jina la khayrat baibe (KUPITIA FACEBOOK)   Aayeishi DAR kwa sasa lakini ni mtu wa asili kutoka TANGA  Ni msomi ambaye alisoma korogwe girls high school na chuo amesoma UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM biashara!!!   Dada huyu ZULEKHA NASSIR ana tabia chafu, mbaya ya kuulaaniwa ya kuchukua waume za watu na kuwatumia picha za utupu kupitia simu ya mkononi....(mtumizi mabaya ya mtandao haya) Hii ni tabia chafu ambayo haivumiliki.... na Mtandao huu wa paparazi umeamua kuvujisha picha hizo hadharani ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hii ya ZULEKHA NASSIR na wakome wakomae.... Kwa ushahidi zaidi ingia kwenye account yake ya facebook hapa chini ambayo anatumia nick name ya khayrat baibe ... kwa kubofya hapo chini   >>> BOFYA  HAPA <<< au ingia link hii ...

HUYU MREMBO ANANISUMBUA KILA SIKU, NIFANYE KWELI? NAOMBENI USHAURI

Image
  NAOMBA USHAURI WAKO NDUGU MDAU WETU

IFAHAMU SAIZI YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA MADEMU WENGI....SOMA ZAIDI HAPA.....!!!

Image
  JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU JAMVINI WATU KUTAKA DAWA ZA KUONGEZA UUME INGAWA MIMI NAHISI KINACHO WATOA KUJIAMINI NI PAMOJA NA....   1.KUANGALIA PICHA ZA NGONO HASA ZA USA 2.KUJIFANANISHA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI 3.KUJITATHMINI HASA UUME UKIWA UMELALA 4.KUSHINDWA KUTUMIA BAADHI YA STYLES ZA MAPENZI HAYO NI BAADHI INGAWA NAHISI KUNA WATAALAMU WATALETA MENGI ZAIDI  TUKIANZA NA LA KWANZA WATU WENGI HASA VIJANA WAMEKUWA NA TABIA YA KUPENDA KUTIZAMA VIDEO ZA NGONO KITU AMBACHO KINAWAFANYA KUJIONA WANA SIZE NDOGO KWA KUJILINGANISHA NA WACHEZAJI WA VIDEO HIZO HILO LA PILI WATU WENGI HASA VIJANA LADBA AKIMUONA KIJANA MWENZIE ANA UUME MKUBWA ,,TAYARI YEYE ANAANZA KUJIHISI ANA UUME MDOGO NA ANASAHAU KUWA HATA HUYO ALIYE MUONA ANAWEZA KUWA NA UUME MKUBWA KUTOKANA NA MAUMBLE YAKE HILO LA TATU WENGI HUINGIA WASIWASI HASA WAKIJILINGANISHA NA WENZAO LABDA WAKIWA BAFUNI HASA KWA WANAO ...

HIVI NDIVYO VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA.

Image
  CHAZA NA PWEZA Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa. POMEGRANATE Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa. Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume na kuacha idadi ya wanawake wanaokabiliwa na tatizo hilo kwa mujibu wa uchunguzi kubaki na asilimia 13. Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo...