Posts

MH. EDWARD LOWASA KUONGOZA TAMASHA LA BODA BODA DAY JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Tamasha la Bodaboda(Boda boda Day) linatarajia kufanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders,Kinondoni. Mgeni Rasmi atakuwa Mh.Edward Lowasa,ambapo kuanzia saa moja asubuhi wale madereva wa Wilaya ya Temeke wataanzia uwanja wa Taifa,Ilala wataanzia nyuma ya TBC,Tazara,Kinondoni wataanzia katika viwanja vya biafra,maandamano yataelekea katika viwanja vya Leaders ambapo yatapokelewa na mgeni Ra smi mh.Lowasa. Maandamano yataongozwa na askari wa uasalama barabarani na ukifika utakabidhiwa t-sheti yako. Lengo la tamasha hilo ni kuzindua saccos ya bodaboda na chama cha waendesha bodaboda Jijini Dar,na kujiunga na mfuko wa bima ya afya. Wasanii mbalimbali watakuwepo kwa ajili ya kutoa burudani ambao ni Linex,Amin,Barnaba,Makoman doo,Walter,Aslay n a N

ALICHOSEMA MISS TANZANIA 2012 BAADA YA KUAMBIWA ETI HAJUI KUONGEA KISWAHILI

Image
Miss Tanzania 2012 -2013 “Brigitte Alfred alijaribu kujitetea baada ya kulalamikiwa na mbunge Bi. Rukia kwa madai eti hafai kutuwakilisha Watanzania kisa Miss huyo kuongea kiswahili hawezi. Maneno hayo hayakumfurahisha Miss Brigitte Alfred na kuamua kwenda kwenye mtandao wake wa  Instagram  na kusema  “Meanwhile as our county suffers from 3rd world problems this is what is being discussed bungeni  Brigitte -babukubwa 

WEMA SEPETU KWISHA HABARI YAKE

Image
  Wema Isaac Sepetu. NI kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha? Kama ni kweli, basi ile jeuri ya fedha ya Miss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia hufanya vyema kwenye gemu la sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu inadaiwa imefikia nchani, Risasi Mchanganyiko limepashwa ‘ei tu zedi’.… Baadhi ya magari anayomiliki Wema. Kwa mujibu wa chanzo makini, hali ya kifedha ya staa huyo si nzuri kiasi kwamba kwa sasa amekuwa mtu wa kushinda ndani kwa kuwa hana mpunga unaomuwezesha kwenda kujirusha kama zamani. SABABU NI NINI HASA? Chanzo kilidai kwamba, binadamu aliyekuwa akimmwagia manoti staa huyo aliyetajwa kwa jina moja la Clement ambaye ni mwajiriwa wa Ikulu jijini Dar, yu hoi kwa kipato baada ya kunyofolewa kwenye kitengo kilichokuwa na uwezeshaji mwingi wa fedha. Wema akiwa ofisini kwake. Inadaiwa kuwa, baada ya Clement ambaye ni mume wa mtu, kuondolewa kwenye kitengo hicho amepelekwa sehemu nyingine ambayo mchana k

TAZAMA PICHA HATARI SANA ZA KIBAO KATA KWENYE BIRTHDAY YA HALIMA KIMWAN, MAUNO YA KUFA MTU, MAPAJA NJE NJE....!

Image
Hatarii..!!!

mkutano wa Dk. Slaa ulivyokua Mkoani Tabora hapo Jana.

Image
                             (Picha na Joseph Senga).  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Tabora leo tarehe 16/12/2013, katika mkutano  wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui jana, ikiwa ni mfululizo wa ziara yake ya kujenga chama katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Singida.   Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akivishwa shada la maua na mmoja wa watoto wa kijiji cha Kakola katika jimbo la Tabora mjini, alipokwenda kufungua tawi la chama hicho, akiwa katika ziara yake ya kujenga chama jana.

Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika

Image
  Hatimaye Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba imekamilisha kazi ya kuboresha rasimu ya kwanza na kupata rasimu ya pili ya Katiba Mpya tayari kwa hatua nyingine. Taarifa zilizotufikia jana zilieleza kuwa Makamishna na Wajumbe wa Sekretarieti wa tume hiyo, walianza kurejea ofisini juzi na jana, wakitokea Hoteli ya White Sands walikojichimbia tangu Desemba Mosi mwaka huu kukamilisha rasimu hiyo. Awali, Rais Jakaya Kikwete aliiongezea tume hiyo siku 14 zaidi kukamilisha kazi zake. Siku hizo zitakamilika siku 11 kuanzia leo. Jaji Warioba, Makamu wake Jaji Augustino Ramadhan na Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashid hawakupatikana kutokana na kilichoelezwa kuwa walikuwa kwenye kikao. Gazeti hili lililazimika kumtafuta Naibu Katibu, Casmil Kyuki ambaye naye alithibitisha taarifa hizo. “Ni kweli sisi (Wajumbe wa Sekretarieti) tumerejea ofsini jana na

MBUNGE AMPONDA MISS TANZANIA KWA KUTOKUJUA KUONGEA KISWAHILI

Image
Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred hajui Kiswahili? Well, tuliowahi kukaa naye kidogo tunaweza kumtetea kuwa anakijua haswaa, sema hupendelea zaidi kuongea kimombo. Pengine ndio maana mbunge wa viti maalum kutoka Zanzibar, Rukia Ahmed anahisi mrembo huyo haijui lugha yake ya taifa. Akiongea bungeni leo, Bi. Rukia amesema Brigitte Alfred hafai kuiwakilisha Tanzania kwakuwa hawezi kuzungumza Kiswahili. Mbunge huyo alienda mbali zaidi kwa kupendekeza mashindano ya Miss Tanzania yafutwe na badala yake yawekwe mashindano ya Sayansi kwa manufaa ya taifa. Akijibu kauli hiyo, Brigitte amesema: Meanwhile as our county suffers from 3rd world problems this is what is being discussed bungeni. I would love to meet this this woman! Asante mama,” ameandika mrembo huyo kwenye Instagram. “All of your comments give me hope that there’s still sensibility out here,” aliongeza. “Mh.Rukia amekosa mada bungeni?*rollingmyeyesoutloud*,” alitweet. “Anko in the office must be

RICH MAVOKO ALIZWA NA MAMA SHARO MILIONEA

Image
STORI kuhusu maisha ya mama mzazi wa staa wa komedi Bongo, marehemu Husein Mkiety ‘Sharo Milionea’, baada ya kifo cha mwanaye huyo imemliza Rich Mavoko ambaye alikwenda kumtembelea nyumbani kwake kijijini Lusanga, Muheza mkoani Tanga. Rich Mavoko akifuta machozi alipomtembelea Mama Sharo Milionea. Akiteta machache na Risasi Vibes, Mavoko alisema, yeye kama msanii aliguswa kwenda kumsalimia mama Sharo kwa kuwa wote ni wasanii na aliona mama huyo anahitaji faraja kutoka kwa watu waliokuwa karibu na mwanaye. “Mama alifurahi sana kuniona. Tulizungumza mengi lakini niliguswa sana na matatizo aliyonayo mama yetu. Mama anasema, mali nyingi za marehemu mwanaye, amekuwa akizisikia tu lakini hajapewa. Mavoko na Mama Sharo wakiwa katika kaburi la Marehemu Sharo Milionea. “Kiukweli mama Sharo anatia huruma sana kwani faraja imepotea, mali za mwanaye hazioni, amebaki akitia huruma. Unajua marehemu alikuwa akimsadia sana mama yake, ndiyo lilikuwa tegemeo lake kubwa. Ameond

ANGALIA PICHA YA MSAIDIZI WA RAIS KWA MAREKANI BARACK OBAMA ALIYEKULIA TANZANIA

Image
WAKATI anaingia madarakani rasmi Januari 20, mwaka 2009 kuiongoza Marekani, nchi kubwa yenye nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani, Barack Obama alikuwa na malengo mengi. Mojawapo ni kuzidi kuipaisha Marekani na kuwasuta waliodhani nchi hiyo haiwezi kuongozwa na mtu mweusi. Itakumbukwa kwamba, Obama mwenye asili ya Kenya ambaye kwa sasa ni Rais wa 44 wa Marekani, ndiye mtu wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwahi kuiongoza Marekani. Hivyo, katika kuhakikisha anatimiza ndoto zake, alipanga safu imara ya wasaidizi, miongoni mwao aliibuka kijana mdogo aliyekuwa na umri wa miaka 35 tu, lakini aliyekuwa na kichwa adimu katika utundu wa kazi, hasa kwa upande wa teknolojia. Huyu si mwingine bali ni Vivek Kundra aliyezaliwa huko New Delhi, India. Huyu alipewa jukumu la kuwa Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Serikali ya Marekani. Kundra, ingawa ana asili ya India,

MZEE WA KANISA ALIFUNGA KANISA!

Image
WAUMINI wa Kanisa la Nyumba ya maombi (House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship) lililopo jijini Mbeya wamekosa sehemu ya kufanyia ibada baada ya Kanisa lao kufungwa na mzee wa Kanisa hilo, Laurence Malongo. Kanisa lililofungwa. Mchungaji wa Kanisa hilo, Owden Mwakifuna amesema hivi karibuni mzee Mwalongo alifika kanisani na kuwataka waumini wote kutoka huku akionekana kutawaliwa na jazba. Mchungaji Mwakifuna alisema kanisa hilo lilijengwa baada ya Malongo kutoa uwanja kwa ajili ya ujenzi wa kanisa hilo kama shukrani baada ya kufanyiwa maombi yeye na mwanawe na kupona magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua. Viongozi wa kanisa wakiwa nje baada ya kanisa kufungwa. Baada ya kanisa hilo kufungwa Mchungaji Mwakifuna alitoa taarifa kwa kiongozi wa kanda ya Mbeya, Mchungaji Isaya Laiser na kufanya vikao vya mara kwa mara ili kutatua mgogoro huo bila mafanikio. Kufungwa kwa kanisa hilo lililopo kata ya Itezi kumewafanya waumini kutembea kilometa 10 hadi makao makuu

Picha ya basi moja lililoletwa kwa ajili ya majaribio ya barabara ya mabasi yaendayo kasi.

Image

ANGALIA PICHA MKE WA MTU AMWAGA RADHI UKUMBINI

Image
MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo pande za Nunge Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani                                        Akizidi kunengua Mzuka ulipommpanda aliamu kuparamia ukumbi wa ukumbi huo na kunengua ambapo baadae mtandio aliovaa ulimwagika na  kila kitu kuonekana 'live' bila chenga,kutokana na kuzingatia maadili nimeshindwa kuweka picha hiyo  Dj aliyekuwa akimporomoshea muziki mke huyo wa mtu,akiwa bize                  Picha yenyewe inaongea Kiongozi wa kundi hilo Omary Tego akistuika baada ya wanenguaji wake kufanya mambo ya ajabu,ya kuchezeana makalio mbele za watu Omary Tego akishuhudia live Mama Tenetemente akifanya mambo ya ajabu  mkoani hapa. Mwanamke huyo aliyekiri