Posts

KITU KINACHOMKERA SANA LULU

Image
Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu, amesema kuwa hatamani tena kutumia simu ya mkononi kwakuwa anasumbuliwa mno na watu wasiokuwa na mambo ya msingi huku akitamani irudi enzi ya kutumiana barua. Akiongea na paparazi wetu jana,Lulu alisema kuwa kero hiyo humfanya atamani kurudi katika enzi za kale za kuwasilia kwa kutumiana barua kwa njia ya posta. “Nadhani sihitaji simu ya mkononi kwa sasa, mwenye shida na mimi atanitumia barua. Sijui, hata sijielewi nikasimame wapi, maana hata nikibadili nambari ya simu inasambaa kwa kasi sana,”alisema. Lulu alibainisha kuwa kwa siku hupigiwa simu zisizokuwa na idadi na zisizo na faida kwake, lakini akakiri kwamba idadi kubwa ya watu wanaompigia simu ni mashabiki wake. “Ninapigiwa simu nyingi kwa siku ambazo ni kero kwangu, nafurahi sana ninapopigiwa simu na shabiki wangu, lakini wapo wanaopiga simu kutaka mambo ya ajabu. Sawa ni wengi wao ni mashabiki wangu, lakini simu kwangu ni kero kubwa ingawa ni msaada mku

MAWAZIRI ‘MIZIGO’ WAZIDI KUKABWA KOO BUNGENI DODOMA

Image
Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza na wananchi. Juzi jioni, mbunge huyo alichachamalia suala la mawaziri wanaoshindwa kazi bungeni Dodoma, akitaka wawajibishwe na hata ikibidi waondolewa kazini. PICHA | MAKTABA Dodoma. Baraza la mawaziri limeendelea kuwashiwa moto bungeni, baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kulitaka Bunge  kuwang’oa mawaziri walioshindwa kuwajibika. Aliyasema hayo bungeni juzi jioni wakati akichangia ripoti za Kamati za Huduma za Jamii na Maendeleo ya Jamii, kwamba udhaifu wa mawaziri umekuwa ukionekana kwenye ripoti za kamati za bunge. Aliwashangaa wabunge waliokuwa wakisimama na kutamka hakuna waziri anayejiuzulu. “Kwa hiyo anaposimama mheshimiwa mbunge anasema hakuna waziri anayejiuzulu hapa, timu ya mpira inaposhindwa anajiuzulu kocha ambaye yeye hachezi,” alisema na kuongeza kuwa; “Ni kawaida kabisa, ustaarabu kama huo tujifundishe duniani,  siyo lazima tuwe tunasukwasukwa, mpaka wasima

HII NDIO PETE YA KWANZA YA SMARTY IJULIKANAYO KAMA "SMARTY RING" INAYOTUMIA TEKNOLOJIA YA BLUETOOTH KATIKA KUPOKEA SIMU

Image
Pamoja na kuwepo Smartwatches sokoni, sasa kuna pete inayoweza kuunganishwa na smartphone na kutoa taarifa (notification) pindi ujumbe, barua pepe, zinapoingia katika simu. ‘Smarty Ring’, ni pete inayounganishwa na smartphone kwa bluetooth, na kumuwezesha mtumiaji ku-control simu yake hata ikiwa mbali na yeye. Ina buttons zinazoweza kutumika kupokea simu, na kuplay muziki uliopo katika smartphone ya mtumiaji.  LED screen ya pete hiyo huwaka pindi mtu aliyeivaa anapopokea e-mail, ujumbe mfupi, facebook na twitter notification, au simu inapoingia, na pete hiyo inaweza pia kutumika kama remote control. Smarty Ring imebuniwa na engineer Ashok Kumar kutoka Chennai, India. Pete hiyo imetengenezwa na ‘Bluetooth 4.0 sensor’ inayoweza kuunganishwa na simu yoyote ya Android au iOS kupitia application maalum ya Smarty Ring. Panapokuwa hakuna notification yoyote kwenye simu, LED screen ya pete hiyo inaonesha muda.  Simu in

MWALIMU AFARIKI GHAFLA OFISINI

Image
Mwalimu Gloria Tarimo ‘Ticha Gloria’ (29) aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Mbezi High School ya jijini Dar, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha huku baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakidai kifo chake ni cha kimiujiza. Ticha Gloria ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo, alifariki dunia Desemba 6, mwaka huu katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar huku wengi wakihisi kuna mkono wa mtu nyuma ya kifo hicho.                                                       Marehemu Glory A Tarimo enzi za uhai wake. USHIRIKINA WAHUSISHWA Akizungumza na gazeti hili, mmoja wa ndugu wa marehemu aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa si msemaji wa familia alisema, kifo cha Ticha Gloria kinahusishwa na ushirikina kwa kuwa kabla ya mauti kumfika alikumbana na mambo mengi ya ajabu. “Ni kifo cha ajabu kwa kweli na kimemshangaza kila mmoja wetu. Nakumbuka ilikuwa Juni, mwaka huu ambapo alienda kazini na alipofika kwenye mlango wa ofisi yak

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI YAKE.

Image
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi. Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu kinaendelea. Muda ulivyozidi kwenda Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani. Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya

ANGALIA PICHA ZA KWANZA MAZISHI YA NELSON MANDELA LIVE

Image
 msafara wa mwili wa mandela ukiingia  Askofu akiongoza misa mda huu  Misa ikiendelea  Muongoza misa ya mazishi  kwaya ikiimba R ais Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wanaoshiriki mazishi ya  marehemu Nelson Mandela yanayoendelea hivi sasa katika kijijini Qunu NA  ACBC S.AFRICA ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI

JE,UNASHIDA YA FUNDI GARI? BONGE 1 LA FUNDI WA MAGARI

Image

JK ABEBESHWA ZIGO LA MAWAZIRI DHAIFU

Image
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtupia mpira Rais Jakaya Kikwete wa kuamua hatima ya mawaziri saba, wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yao. Mawaziri hao waliotajwa ni ‘mzigo’ kwa Serikali juzi walihojiwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM  chini ya Mwenyekiti wake Rais Kikwete, ambapo jana Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema wamemshauri Rais Kikwete mambo matatu; kuwafukuza, kuwahamisha wizara au kuwahimiza wafanye kazi. “Kamati Kuu imetoa maazimio saba ambayo yote yanazihusu wizara saba zinazoongozwa na mawaziri hao. Tumemshauri Rais Kikwete, yeye ndiye ataamua nini cha kufanya kwa sababu ndiye aliyewateuwa mawaziri hao,” alisema Nape. Wakiwa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma katika ziara ya chama hicho, Nape pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana aliwatupia lawama mawaziri hao wakati wakielezea changamoto zinazowakabili wa

MKE WA MTU ABAKWA NA KISHA KUNYONGWA

Image
JAMANI jamani! Dunia imefika pabaya zaidi, Mungu asaidie. Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga, inauma sana kwa kweli!   Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga. Tukio hilo la kutisha lilijiri usiku wa Desemba 7, mwaka huu Chalinze Kwamwarabu ambapo mwanamke huyo alikwenda kujumuika na ndugu na majirani katika mkesha wa ngoma ya kuwatoa wari siku ya Jumapili.                                                               Eneo la tukio Chalinze Kwamwarabu. Mkasa huu unasimuliwa kwa majonzi mazito na mdogo wa marehemu ambaye alikuwa mshehereshaji wa shughuli hiyo ‘MC’, Siwema Rashid. Alisema: “Mpaka sasa tunashindwa kuelewa kilichotokea maana siku ya tukio tulikuwa naye kwenye ngoma usiku. Alikuwa mchangamfu sana, aliifanya shughuli ipendeze. “Ilipofika sa

SOLLY MAHLANGU ‘OBRIGADO’ KUOMBELEZA KIFO CHA MANDELA UWANJA WA TAIFA

Image
Na Makuburi Ally WAKATI siku za Tamasha la Krismasi zikikaribia, Muimbaji mahiri  anayeshika kasi katika anga la muziki wa Injili barani Afrika, Solly Mahlangu anatarajia kuombeleza   kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Nelson Mandela  anayetarajia kuzikwa keshokutwa kijijini Qunu nchini humo.  Baadhi ya waumini watajiuliza maswali mengi kwamba baada ya kifo cha Mandela labda muimbaji huyo hatoweza kushiriki katika Tamasha hilo la kumtukuza na kumuimbia Mungu, lakini ukweli ni kwamba wamtarajie muimbaji huyo ambaye ataimba baadhi ya nyimbo zake kwa lugha ya Kiswahili.   Kwa mujibu wa Mkurugenzi  wa Kampuni ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa Tamasha hilo, Alex Msama, muimbaji huyo  ni mmoja wa waimbaji kutoka nje ya Tanzania ambao watashiriki, hivyo waumini watarajie kumuona jukwaani akifikisha neno la Mungu kwa njia ya nyimbo.    “Ni muimbaji ambaye anashika kasi katika anga ya muziki wa injili barani Afrika ambaye pia anamudu kuimba Kiswahili kizuri kwa 

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI MAKTABA YA SHULE YA MSINGI MZIMUNI ILIYOKO WILAYANI KINONDONI.

Image
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mzimuni pamoja na wananchi wa eneo hili wakati wa sherehe za uzinduzi wa Maktaba ya shule hiyo tarehe 11.12.2013. PICHA NA JOHN LUKUWI. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni wakiimba nyimbo za mataifa ya Tanzania na Korea Kusini wakati wa sherehe za uzinduzi wa maktaba katika shule hiyo huko Magomeni katika wilaya ya Kinondoni tarehe 11.12.2013. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mzimuni nao wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa maktaba ya shule hiyo. Walimu ya Shule ya Msingi ya Mzimuni nao waliungana na wanafunzi wa shule hiyo kusherehekea uzinduzi wa maktaba ya shule uliofanywa na Mama Salma Kikwete tarehe 11.12.2013 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa maktaba ya Shule ya Msingi ya Mzimuni iliyoko Magomeni. Kushoto kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Balozi Young-Shim Dho, Mwanzilishi wa Step F

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL APIGWA 2-0, CHELSEA ASHINDA, BARCA YAUA

Image
Chelsea 1-0 Steaua Bucuresti Schalke 2-0 Basel  Napoli 2-0 Arsenal Marseille 1-2 Borussia Dortmund Barcelona 6-1 Celtic AC Milan 0-0 Ajax  Atletico Madrid 2-0 Porto Austria Wien 4-1 Zenit Petersburg TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA 16 BORA Walioshika nafasi ya kwanza kwenye makundi: MAN UTD, Real Madrid, PSG, Bayern Munich, CHELSEA, Borussia Dortmund, Atletico Madrid, Barcelona.  Washindi wa pili: Bayer Leverkusen, Galatasaray, Olympiakos, MAN CITY, Schalke, ARSENAL, Zenit, AC Milan.

ANGALIA PICHA ZAIDI ZA JENEZA LA MWILI WA NELSON MANDELA LIKITOLEWA HOSPITALI KUPELEKWA MJI MKUU PRETORI

Image
Tribute: Military officers carry the casket of former president Nelson Mandela into the Union Buildings in the South African capital Pretoria, the seat of government where he will lie in state for three days Thousands of mourners lined the streets of South Africa this morning as Nelson Mandela's body was moved to lie in state in the capital - inside the building which once housed the apartheid government he fought for five decades. South Africans formed a guard of honour for their former president this morning as his body was transported through Pretoria in a casket draped in the national flag, in a hearse surrounded by outriders, to lie in state for the first of three days. This morning Mandela's grandson Mandla visited his open casket in the government's Union Buildings, followed by his second wife Winnie Madikizela-Mandela and third wife Graca Machel, as well as So