ANGALIA PICHA ZA KWANZA MAZISHI YA NELSON MANDELA LIVE


 msafara wa mwili wa mandela ukiingia




 Askofu akiongoza misa mda huu
 Misa ikiendelea


 Muongoza misa ya mazishi


 kwaya ikiimba
tmp_Screenshot_2013-12-15-08-56-43-11227373973_d580c.png
Rais Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wanaoshiriki mazishi ya  marehemu Nelson Mandela yanayoendelea hivi sasa katika kijijini Qunu

ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI

Comments

Popular posts from this blog