Posts

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA

Image
1. Utangulizi  Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Ijumaa tarehe 22 Novemba 2013, ilielezwa kwamba sababu za kuvuliwa uongozi mimi na Dk Kitila Mkumbo ni uhaini na hujuma kwa chama kutokana na waraka unaojulikana kama mkakati wa uchaguzi 2013. Ukweli ni kwamba waraka uliotajwa si sababu ya mimi kuvuliwa nafasi zangu za uongozi kama ilivyojadiliwa katika Kikao cha Kamati Kuu . Sababu za kufukuzwa kwangu kama zilizojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ni tuhuma lukuki ambazo si mara yangu ya kwanza kuzisikia zikijadiliwa ndani na nje ya vikao vya chama. Hitimisho la tuhuma hizi ni kwamba mimi nimekuwa nikikisaliti chama kwa kutumika na CCM na Usalama wa

MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL HANDS OVER 132 STORY BOOKS WORTH 200,000 TO UKONGA PRIMARY SCHOOL

Image
Mkuki wa Nyota Editor Godance Mkuki (right) hands over 132 story books to Miss Ilala 2013 Doris Mollel at the Ukonga primary school premises in Dar es Salaam during the climax celebration of the International Children’s day. In an efforts to promote a reading culture in the country Mkuki wa Nyota publishers recent during the international children day decided to give 132 story books worth 200,000 to Miss Ilala 2013 Doris Mollel who hands over to Ukonga Primary school. Miss Ilala 2013 Doris Mollel finally hands over story books worth Tsh 200,000 to academic teacher of Ukonga Primary school during the International Children day in Dar es Salaam.

NILIKUWA NAOMBA MUNGU KILA SIKU ILI AFUKUZWE CHADEMA’ - MAMA ZITTO

Image
Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa kilichomkuta mwanaye kimefunika mabaya mengi yaliyopangwa afanyiwe. "Kwa upande wangu naona kama ni ushindi kwa Zitto kutokana na jinsi ninavyojua hali ilivyo, mambo yalikuwa ni mengi mno na nikwambie tu, Zitto kuvuliwa uongozi kumefunika hayo yaliyokuwa yamekusudiwa kufanywa dhidi yake. Nilikuwa naomba Mungu kila siku ili afukuzwe Chadema," alisema mama huyo wakati akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake Tabata, Dar es Salaam. Shida Salum alisema kuwa Mungu amemnusuru mwanaye na kusisitiza, "Watu walikaa na kutengeneza ripoti ya siri kuhusu Zitto na kuiweka kwenye mtandao kisha kuituma kwa wanachama wa Chadema wanaowafahamu. Mpaka wanafikia hatua hiyo maana yake ni kwamba wamejaribu njia zote za kummaliza, lakini wameshindwa. Alisema kutokana na

REAL MADRID WAUA GOLI TANO BILA DHIDI YA ALMERIA

Image
Kings of Spain: Cristiano Ronaldo and Gareth Bale celebrate after Real Madrid score their first Cristiano Ronaldo scored the first as Real Madrid stormed to a easy victory against Almeria but had to come off in the second half due to a hamstring injury. The official line was that the substitution was made as a precaution, but it will no doubt worry Madrid fans ahead of their Champions League math with Galatasaray on Wednesday. After the game, Carlo Ancelotti said: 'Cristiano has a problem with the hamstring but it appears to be a just a strain; nothing serious.' Still going: Real are trying to keep pace with Barcelona at the top of La Liga Almeria made the goals smaller ahead of their meeting but it didn’t stop Ronaldo and Gareth Bale both scoring. Simple finish: Bale scored the third for Madrid and his fifth in Real colours Pace and power: Real Madrid&#

Ridhiwani Kikwete alaani siasa za Chuki n Ukanda zilizowatoa madarakani Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.

Image
Baadhi  ya watu maarufu  nchini akiwemo  mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwan wamezipokea taarifa za kuvuliwa wadhifa  wa unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa Zitto Kabwe kwa mitazamo tofauti. Zitto alivuliwa uongozi wa Naibu Katibu Mkuu Taifa na Naibu Kiongozi  wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa tuhuma za kukisaliti chama hicho. Haya  ni maoni  ya  Ridhiwani  Kikwete  aliyoiweka  katika ukurasa  wake  wa  facebook na  twitter kuhusiana  na  sakata  hilo: Naendelea kujifunza matunda ya Siasa za Chuki na Ukanda zinavyoumiza  siasa za Tanzania. Mungu anatuasa kupitia vitabu vitakatifu kuwa ” ili  kuepusha balaa dogo kutokea, basi liwe balaa kubwa zaidi ya hilo.”.  Imani kuwa aliloandika limetimia…     Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari  LEO Jumapili  kuzungumzia hatua hiyo.

PICHA ZA WASANII WA NDANI(BONGO) WALIVYOKAMUA SAMBAMBA NA P-SQUARE "WEUSI WAKIFANYA YAO STEJINI"

Image
Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao… Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini. Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club kabla P-Square hawajapanda usiku huu. PROFESA JAY AWADATISHA MASHABIKI NDANI YA LEADERS CLUB LADY JAYDEE AKIFANYA YAKE STEJINI Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leader s Club usiku huu katika shoo wa wakali P-Square.…   MA MC KAZINI.. . MC Dullah akiwa kazini. Ma MC wakiwajibikia stejini. BEN POL AKILISHAMBULIA JUKWAA KATIKA YA SHOO YA P-SQUARE Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders usiku huu katika shoo ya P-Square Live in Dar.… LIVE KUTOKA LEADERS CLUB KATIKA SHOO YA P-SQARE

TAZAMA PICHA ZA P-SQUARE LIVE IN LEADERS CLUB WALIVYOWASHA MOTO

Image
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu.… Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu. Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square. (PICHA NA MUSA MATEJA /GPL) Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu. Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square.