WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI YA KUJADILI MWENENDO WA MILIPUKO YA MAGONJWA NCHINI
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk. Joyce Saguti (kulia), akitoa mada kwenye semina hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara hiyo, Saidi Makora (kulia), akifafanua jambo kwenye semina hiyo. Wana habari wakiwa kwenye semina hiyo Wapiga picha wakichukua picha katika semina hiyo Dk. Vida Mmbaga wa Kitengo cha Epideniolojia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (kulia), akitoa mada katika semina hiyo Wanahabari wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa. Mtalaamu wa Kitengo Epideniolojia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (kulia), Rogath Kishimba akitoa mada katika semina hiyo Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti mbu waenezao malaria, Charles Dismas Mwalimu akitoa mada katika semina hiyo. Na Dotto Mwaibale VYOMBO vya habari vimetakiwa kutoa taarifa za milipuko ya magonjwa mbalimbali kwa makini ili kuiepus