ANGALIA PICHA KUTOKA MSIBANI KWA BAHATI BUKUKU ALIYEFIWA NA BABA YAKE

Mchungaji akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu mzee Lwagha Bukuku.
Baadhi ya waombelezaji wakiwa msibani.
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku (wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya ndugu zake msibani.
Waombolezaji wakiwa msibani eneo la Tabata, Migombani jijini Dar es Salaam wakati wa kuaga mwili wa marehemu mzee Bukuku kabla ya safari ya kuelekea Mbeya.
Mwili wa marehemu baba yake mdogo Bahati Bukuku, Mzee Lwagha Bukuku leo umeagwa eneo la Tabata Migombani jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi. Marehemu alifariki dunia juzi Jumanne katika hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga, jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Irene Ndauka)

Comments

Popular posts from this blog