Posts

Diamond anaswa akichezea Matiti ya wanafunzi wa sekondari

Image
Msanii  wa  bongo  fleva, Nasib  Abdul  'Diamond'  amenaswa  live  akichezea  matiti  ya  wanafunzi  wa  shule  mbalimbali  za  jijini  Dar... Kwa  mujibu  wa  mpekuzi wetu, tukio  hilo  lilijiri  wiki  iliyopita  kwenye  maduka  ya  Mlimani  City  jijini  Dar  wakati  msanii  huyo  alipokwenda  kufanya  manunuzi  ya  vitu  binafsi.... Ilielezwa  kuwa,Diamond  akiwa  Mlimani   City,wanafunzi  walimvaa  na  kuanza  kuzunguka  naye kila  sehemu  aliyoingia... Taarifa  zinaarifu  kuwa, wakati  wapambe  wake  walipojaribu  kuwazuia  wanafunzi  hao, Diamond   aliwaambia  wawaache  maana  ni  mashabiki  wake... Baadae  wanafunzi  hao  waliokuwa  wanatamani  japo  kushika  upindo  wa  mavazi  yake  walimwomba  japo  awasainie   kwenye  sare  zao  za  shule  na  hapo  ndipo  upekuzi  huu  ulipokamilika... Badala  ya  kuwasainia  sehemu  nyingine  ya  sare  zao,Diamond  alikuwa  akiwashika  vifuani  na  kusaini  sehemu  hiyo  huku  akiwatomasa  

Mwanamke amwagiwa maji ya moto mwili mzima....Kosa lake ni kumlilia mama yake ambaye ni mgonjwa

Image
Msichana mmoja, Mariam Chacha, mkazi wa Mtaa wa Nyasho A, mjini Musoma  amemwagiwa maji ya moto na kuunguzwa mwili, hali iliyofanywa alazwe katika hospitali ya mkoa.    Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Oktoba 22 mwaka huu saa mbili usiku ambapo inadaiwa aliyefanya kitendo hicho ni Pendo Wambura ambaye amekamatwa na polisi.   Habari kutoka ndani ya kituo cha polisi mjini hapa zinadai kuwa mara baada ya Mariam kumwagiwa maji ya moto na mwenzake na kuungua sehemu za kitovu mpaka usoni, matiti na mikono na akiwa hajitambui mpaka sasa,wasamaria wema walimpeleka polisi ili kupata hati ya matibabu (PF 3) na akaenda kutibiwa katika Hospitali ya Serikali ya Musoma alikolazwa wodi namba nne.   “Polisi tulikwenda kumkamata mtuhumiwa na tunamshikilia kwa kuwa majeruhi hali yake ni mbaya, kalazwa, na tayari amefunguliwa jalada namba MUS/IR/5009/013,” alisema afisa mmoja wa polisi kwa sharti la kutoandikwa jina lake  kwa kuwa siyo msemaji.   Shuhuda mmoja alimwa

Mahakama yatoa hati ya kukamatwa kwa Wema Sepetu haraka

Image
Mahakama ya mwanzo Kawe jijini dar es salaam imetoa hati ya kumkamata miss tanzania 2006 Wema Sepetu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni dharau ya wito wa mahakama hiyo.    Chanzo cha ndani kilichoomba kuhifadhiwa ya jina kimempasha mwandishi wetu kuwa hati hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya wema kushindwa kuhudhuria kesi yake iliyopo mahakamani hapo na bila kutolewa udhuru wowote.  Aidha imeelezwa kwamba mahakama hiyo pia imetilia mashaka udhuru uliotolewa septemba 30 kwamba wema ni mgonjwa baada ya kuvuja kwa picha katika mitandao zikimuonyesha Wema akila bata  Hong Kong China na mpenzi wake wa zamani mwanamuziki Diamond.  Wema alitolewa udhuru huo na kijana aliefahamika kwa jina la Martini .  Kesi inayomkabili wema katika mahakama hiyo ni ya kumtukana matusi ya nguoni pamoja na kumpiga meneja wa hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe beach jijini Dar es salaam bwana Godluck kayumbu.  Baada ya kupata taarifa hizo mwandishi wetu

Rais Kikwete na Kenyatta wa Kenya wakutana na kuteta jambo muhimu leo huko Afrika Kusini 11/05/2013 habari za kitaifa 6 comments Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 (picha: Ikulu ya Tanzania) Picture Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 Picture

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013 (picha: Ikulu ya Tanzania) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013

KURASA ZA MBELE ZA MAGAETI YA LEO TAREHE 03/11/2013-jumapili

Image

CHELSEA YAFUMULIWA 2-0 NA NEWCASTLE, MAN CITY YAPIGA MTU 7-0 ENGLAND

Image
Mourinho akimpongeza kocha wa Newcastle baada ya mechi MABAO ya Yoan Gouffran na Loic Remy yameipa Newcastle ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea katika Ligi Kuu ya England leo, huku Manchester City ikiifumua Norwich 7-0. Gouffran alifunga bao lake dakika ya 68 na Remy akafunga dakika ya 89 katika mchezo huo ambao timu ya Jose Mourinho ilikamatwa kila idara. Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Ivanovic, Terry, Luiz, Cole, Lampard/Schurrle dk70, Ramires, Oscar, Mata/Willian dk62, Hazard, Torres/Eto'o dk62Newcastle: (4-4-2): Krul 7; Debuchy 7, Williamson 6, Yanga-Mbiwa 6, Santon 6; Sissoko 8, Cabaye 7, Tiote 6 (Anita 53, 7), Gouffran 7 (Obertan 84); Shola Ameobi 5 (Cisse 62, 6), Remy 7. Newcastle: Krul, Debuchy, Williamson, Yanga-Mbiwa, Santon, Sissoko, Cabaye, Tiote/Anita dk53, Gouffran/Obertan dk84, Shola Ameobi/Cisse dk62 na Remy.  Nayo Manchester City imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo mwingine wa ligi hiyo. Mabao ya City yamefungwa na

WANAWAKE WAJASIRIAMALI WAASWA KUZINGATIA UBORA WA BIDHAA WANAZOZALISHA

Image
Mama Tunu Pinda akikaribishwa kufunga maonyesho ya wiki ya Wakinamama Wajasiriamali na Mratibu wa Kitaifa wa Programu ya kuendeleza wajasirimali wanawake Tanzania kutoka ILO, Noreen Toroka. kushoto kwa Mama Pinda ni Mwenyekiti wa MOWE, Bi Elihaika Mrema na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifunga rasmi Maonyesho ya Wanawake Wajasirimali (MOWE) katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, maonyesho hayo ya wanawake wajasiriamali yalikuwa ya wiki nzima ambapo wakinamama wanapata nafasi ya kuonyesha na kuuza bidhaa mbalimbali Usindikaji, Mvinyo, Batiki kwa wakazi wa jijini. Mratibu wa Kitaifa wa Programu ya kuendeleza Ujasiriamali kwa wanawake Tanzania toka Shirika la Kazi Duniani (ILO) Noreen Toroka akizungumza wakati hafla ya kufunga maonyesho hayo ambapo amesema wiki nzima ilikuwa ni maonyesho wanawake toka sehemu mbalimbali nchini Bara na Visiwani wamepata wasaa wakubadilishana mawazo na mbinu za Kibiashara. Mwenyekiti wa Kamati ya MOWE, Mam

ANGALIA PICHA ZA BIBI ADONDOKA KICHAWI KINYEREZI LEO BAADA YA WENZAKE KUMUACHA

Image
Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha. Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa.   NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER KWA MATUKIO ZAIDI

A little baby girl who was born with a rare genetic condition called Werewolf Syndrome

Image
  Mother's love: Savita Sambhaji Raut, 26, holds her 21-day-old baby daughter, who was born with a rare genetic condition called Werewolf Syndrome This little baby girl is the latest addition to the Werewolf family who have a rare genetic disorder which means they are covered in hair   Happy family: Werewolf Sisters, left to right, Savitri Sambhaji Raut, 17, Savita Sambhaji Raut, 26, Laxmi Sambhaji Raut, 15, and Manisha Sambhaji Raut, 19, gather around newborn baby, foreground   Unconditional love: Anita Sambhaji Raut, 45, mother of the werewolf sisters holds on to her grand daughter who is also born with lots of hair on her body Snooze: Fast asleep, the 22-day-old Werewolf baby girl, who is yet to be named by her parents, catches some shuteye at her home in Maharashtra, India Covered head to toe in hair, this newborn baby is the latest addition to the aptly named Werewolf family.   The 22-day-old baby inherited a rare gene carried in her

10 SUPER FAMOUS WOMEN WHO DOMINATED IN AFRICAN FILM INDUSTRY 2013

Image
They are dominating the African film industry, they are super famous in their respective movie industries and always in the media. They are talented, beautiful and sexy and if not all most of them are comfortable in their natural African beauty. We love them onscreen we love them off-screenthe top 10 most beautiful and sexiest African actresses in 2013, remember that the list is not in order. 1. Elizabeth Michael Lulu(18) Lulu is sexy and she knows it, she is confident with her natural beauty that is why we have seen this diva many times with no wigs or weaving, may be because she grew up onscreen. She is talented and very popular in the Tanzanian Swahili movie industry.   2.Omotola Jalade(35).  The mother of four children is already known as Omosexy, she is very popular in Nollywood. She is an ageless beauty. 3.Jackie Appiah(29) Born in Canada but got huge popularity in the Ghananian movie industry, Jackie is sexy and talented. She has appeared in man