ANGALIA PICHA ZA BIBI ADONDOKA KICHAWI KINYEREZI LEO BAADA YA WENZAKE KUMUACHA


Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha.Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa.
 
NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK/TWITTER KWA MATUKIO ZAIDI

Comments

Popular posts from this blog