Posts

SIMBA SC ILIVYOONYESHA LEO KWAMBA IKO TAYARI KUBEBA MWALI LIGI KUU BARA MSIMU MPYA

Image
Kiungo wa Simba SC, Amei Kiemba akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa leo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 4-1. Betram Mombeki kulia Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo akipongezana na wachezaji wake Amri Kiemba vipi hapa Betram Mombeki akipambana Betram ni mpiganaji Issa Rashid 'Baba Ubara' anaosha Haruna Chanongo anamtoka mtu Ramadhan Chombo 'Redondo' anafanya vitu Kutoka kulia, Meneja, Nico Nyagawa, Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo, na Kocha Mkuu Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' Mashabiki Simba SC leo SC Villa Furaha ya mabao source BIN ZUBEIRY

ROONEY NJE KIKOSI CHA MAN UNITED NGAO YA JAMII LEO WEMBLEY

Image
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Wayne Rooney ameenguliwa kwenye kikosi kitakachomenyana na Wigan kuwania Ngao ya Jamii leo kwenye Uwanja wa Wembley kutokana na maumivu ya bega. Mchezaji mwenye umri wa miaka 27 amekuwa akifanya mazoezi na wachezaji wa akiba na wiki hii aliteuliwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England kwa ajili ya mechi na Scotland Jumatano. Rooney amecheza dakika 45 katika mechi za kujiandaa na msimu na huo ulikuwa mchezo wa kirafiki uliochezwa buila mashabiki dhidi ya Real Betis. Majeruhi: Wayne Rooney ameenguliwa kwenye kikosi kitakachomenyana na Wigan leo Rooney aliifungia England dhidi ya Brazil mjini Rio Rooney ameandika shukrani binafsi kwa kocha wa England, Roy Hodgson baada ya kumjumuisha kwenye kikosi hicho. Alisema: "Siwezi kuchelewa kujiunga na kikosi cha England na ninatumai kucheza mechi ya ushindani, wakati wote Scotland wapo dhidi yetu.  "Shukrani kubwa kwa Roy Hodgson kwa kuniteua na kuonyesha imani

NATAFUTA MWENZA WA MAISHA (MUME)

Image
Habari zenu wanajamii. Jamani maisha ni safari ndefu na inahitaji uvumilivu na ujasiri. Nimetumia ujasiri wangu kwa kujitokeza katika jukwaa hili ili kuweza kupata mwenza ambae atakuwa mume kama Muumba akibariki. Kwa aliye na nia ya dhati haswa naomba tuwasiliane kwa private message. Sifa zangu Umri: Miaka 30 Umbo:Ni wa kawaida sana, na kwa wale wanopenda makalio makubwa, mimi sina jamani, ni bora kuwa mkweli! Urefu: Centimeter158 Rangi: Maji ya maharage Elimu: Degree mbili Kazi: Muajiriwa wa serikali Dini:Islam Sifa za Mtarajiwa Umbo: asiwe na kitambi kwa kweli Urefu: itakuwa vyema kama akinizidi maana isije leta zahma Rangi: yeyote Elimu: Degree Kazi: Ni muhim maana maisha ni magumu sana Dini: Islam, ila uwe hujaoa! Najua kunawatakoleta mzaha, ni kawaida sana kwenye jamii. Nipo tayari kwa maswali mtakayoyauliza. Karibuni! Weka Sifa zako..Acha number ya Simu ama E-mail

KISA CHA SHEIK PONDA KUPIGWA RISASI MKOANI MOROGORO CHABAINIKA.

Image
  Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro   Kutambulishwa jukwaani Shekh Ponda. KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuumizwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja wa Mjini Morogoro baada ya kumalizika kwa kongamano ya Dini ya Kiislamu. Mkasa huyo ulitokea Jumamosi Augosti 10, mwaka huu majira ya saa 12: 15 za jioni eneo la barabara ya Tumbaku karibu na Fire, mara baada ya kumaliza kwa Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege, Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro.  Shekhe  Ponda alishiriki katika Kongamano hilo lililoandaliwa na Umoja wa Wahadhiri wa Dini ya Kiislamu Mkoani Morogoro na kufanyika siku ya Idd Pili kuanza saa nane mchana hadi kumi na mbili jioni

HAWA NDIO MASTAR WA KIKE WAKALI SANA HAPA BONGO!!???

Image
sintah/ blogger, actress  Wema Sepetu (actress/former miss Tanzania) Bridgitte Alfred (Miss Tanzania 2012) Millen Magese (former miss Tanzania) Jokate Mwegelo (presenter/fashion designer)KIDOTI Teddy Kalonga (model) Mange Kimambi (creative director)muke ya muzungu.. Penny Mungilwa (Mtangazaji)muke ya mwanamuziki mukubwa bongo.. Jackline Ntuyabaliwe (Former Miss Tanzania) Vanessa Mdee (Mtangazaji/Msanii) Salma Msangi (Mtangazaji) Jackie Cliff (model)alekizanda makwinii, BOSS LADYY Hamisa anguwh (model) dada mlezi ahahahahhhh UNAHISI NI YUPI KATI YA HAWA HAPO JUU ALIYEPENDEZA N A MWENYE MVUTO ZAIDI KULIKO MWENZAKE, NA PIA TWAMBIE NI MREMBO YUPI NAE ANASTAHILI KUINGIA KWENYE MTANANGE HUU?

Huyu ndiye Paula Paul, binti wa Kajala

Image
Paula Paul, binti wa muigizaji Kajala Masanja… Beautiful; like mother like daughter

KAJALA, AUNT, BI MWENDA WAJIKABIDHI WATOTO YATIMA

Image
Kajala Masanja akiwa na mtoto. MASTAA  wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, Kajala Masanja na Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ kila mmoja amejikabidhi mtoto yatima ili amlee. Wasanii hao walijikabidhi watoto hao nyumbani kwa Aunt Ezekiel maeneo ya Mwananyamala jijini Dar, kulipokuwa na shughuli ya futuru hivi karibuni ambapo Aunt aliwaalika watu mbalimbali wakiwemo watoto hao wa Kituo cha Watoto Yatima, Magomeni.Na Global Publisher Baada ya kumaliza kufuturu, wasanii hao walijikusanya kwa pamoja na kupiga picha na watoto hao ambapo kila msanii alichagua mtoto wake na kuahidi kwenda kila wakati kumtembelea kituoni na kumpa huduma muhimu kama mwanaye. Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ naye akiwa na mtoto aliyeahidi kumlea. Watoto hao walipokuwa wamebebwa na mastaa hao walionekana wenye nyuso za furaha na wakati mwingine walikuwa hawataki kushuka chini wakitaka waendelee kubebwa na mastaa hao.

MWANAMKE ACHOMA MOTO RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA WIVU

Image
Wivu noma sana , Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani.... Whats your tak

MAGOROFA YABOMOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Image
aSKARI POLISI WAKIWA KATIKA DORIA WAKATI WA UBOMOAJI WA MAGOROFA KATIKA BARABARA YA SAMORA LEO ENEO LA MAGOROFA YANAYOBOMOLEWA KATIKATI YA MJI BARABARA YA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM MAGOROFA HAYO YALE AMBAYO YAMESHA KUWA MAGOFU LEO   Subscribe for updates: Email: Submit

WATOTO WATATU WATEKETEA KWA MOTO- MAMA YAO AZIRAI

Image
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Leonard Paul Watoto watatu wakiwamo wawili wa familia moja, wamekufa kwa kuungua kwa moto usiku wa kuamkia jana na kusababisha mama yao kuzirai na kulazwa kituo cha Afya cha Katoro kwa matibabu. Tukio hilo lilitokea katika Kitongoji cha Ludete Kijiji  cha Katoro Wilaya ya Geita  mkoani hapa. Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni moto wa kibatari kushika  godoro katika nyumba waliyokuwa wanalala watoto hao  na wenzao wengine wawili wenye umri kati ya miaka 13 na 15 ambao wamenusurika. Afisa Mtendaji wa Kata ya Katoro, Aloyce Kamuli, aliwataja watoto wa familia moja  waliokufa kuwa ni Japhet Boniface (5); Clavery Boniface (8) na wa jirani yao,  Farida Binamungu (8) alikuwa na mazoe ya kwenda kulala kwenye nyumba hiyo. Kamuli alisema kuwa  Clavery na Farida walikufa baada ya kufikishwa Hospitali ya Wilaya ya Geita na Japhet alikufa papohapo baada y

KIJANA ATIWA MBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA NG'OMBE HUKO KILIMANJARO..... ANADAI KILA AKITONGOZA HUKATALIWA

Image
JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Kelamfua iliyopo wilayani Rombo baada ya kukutwa akimwingilia ndama wa ng’ombe. Akithibitisha, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema tukio hilo lilitokea Agosti 3 mwaka huu saa 5:10 usiku nyumbani kwao Kelamfua. Boaz alisema kuwa baba wa kijana huyo ndiyo aliyemfumania kwa kuwa alikuwa akimfuatilia kwa muda mrefu na ndipo alipomkamata.   Alisema kuwa kabla ya tukio hilo kijana huyo aliwahi kukutwa akifanya mapenzi na kuku na kuanzia hapo mzazi wake huyo akaanza kumfuatilia na hivyo kumkamata akifanya mapenzi na ng’ombe ambaye ni ndama.   Kamanda alisema kuwa baada ya kukamatwa kijana huyo alifikishwa kituo cha polisi na kuhojiwa ambapo alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa amekuwa akitafuta wasichana bila mafanikio. Aidha aliongeza kuwa kila msichana anayemtakia neno la mapenzi ameku

DIAMOND ALIVYOFANYA TENA MAMBO MOMBASA AWAACHA BADO NA KIU

Image
huyu ndie The PLATINUMZ Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kumaliza mfungo huu waRamadhani pia kutuweka salama hadi leo..Sikukuu yangu nimeilia nchi Kenya lakini nilikuwa na kibarua kukonga nyoyo za maelfu ya mashabiki zangu jijini Nairobi.Kwangu hii ilikuwa mara ya pili kufanya show  kenya,lakini ni mara ya kwanza kabisa kufanya show jijini Nairobi,kutokana na kiu ya mashabiki zangu nchini humo nikaona zawadi ya Eid hii iwadondoke wao. .It was crayzz yanii niliposhuudia umati wa  watu wakiimba nyimbo sambamba na mimi,na kufurika hadi getini kiukweli nilifurahi sana kwa hali iliyokuwa usiku wa jana..... Nikiwa na team yangu nzima ya wasafi,stejini na silaha zangu 4 hatari kwenye Mashine alikuwepo Dj Rommy Jones kama kawaida stage manager Qboy msafii alikuwepo kuhakikisha usalama upo saawia kabisa.....!! UNAWEZA CHEKI PICHA KADHAA ZA TUKIO ZIMA  LA SHOW NCHINI KENYA KWENYE SIKUKUU YA EID... .. Backstage nikisubiria go ahead nikafanye mauja