Wataalamu wa IT toka chuo kikuu cha ushirika wakifanya Presentation Project wakiwa chini ya jop la waataalam toka chuo hicho kama vile Mr. Matto, Sizya, Dk. Mwende, Bi. Sarah Lema, Madam Nyanjara, Mr. Madila na wengine wengi.Jana katika ukumbi namba mbili wa Computer Labaratory Hili ni kundi la wataalam wa Voting online, akiwa ni Devotha na Godi na kwa mbali akionekana Mr. Madila na Bi. Sarah lema Mr. Mshana akiwa on stage akipresent project yake iliyokuwa ikihusu mambo ya Voting Online Mr. Wanzagi Nelson akimsikiliza kwa makini mtaalam wa IT toka NIGERIA wakati akimpa ushauri kwa kile alichokiwasilisha Kundi la wataalam wa Voting Online wakiwa wamemaliza kuwasilisha na hapa wakiwa na Mchawi wa Trouble shooting Mr. Macco Chali maarufu kama MFAUME Mr.PHARS Akiwa na waataalam mbalimbali wa IT toka chuo hicho, toka kulia ni Phars, Hajji,Boniface,Godi,Nelson,Steve na Lucas WATAALAMU HAO WAKIENDELEA PATA UKUMBUSHO WA KILE KILICHOFANYIKA JANA 3-Brothers wakiwa wam