HATIMAYE HISTORIA IMEANDIKWA NA WATAALAM WA IT TOKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI

Hili ni kundi la wataalam wa Voting online, akiwa ni Devotha na Godi na kwa mbali akionekana Mr. Madila na Bi. Sarah lema
 Mr. Mshana akiwa on stage akipresent project yake iliyokuwa ikihusu mambo ya Voting Online
 Mr. Wanzagi Nelson akimsikiliza kwa makini mtaalam wa IT toka NIGERIA wakati akimpa ushauri kwa kile alichokiwasilisha
 Kundi la wataalam wa Voting Online wakiwa wamemaliza kuwasilisha na hapa wakiwa na Mchawi wa Trouble shooting Mr. Macco Chali maarufu kama MFAUME
 Mr.PHARS Akiwa na waataalam mbalimbali wa IT toka chuo hicho, toka kulia ni Phars, Hajji,Boniface,Godi,Nelson,Steve na Lucas
 WATAALAMU HAO WAKIENDELEA PATA UKUMBUSHO WA KILE KILICHOFANYIKA JANA
 3-Brothers wakiwa wametokelezea mara baada ya kufanya Presentation katika ukumbi namba mbili wa labaratory
 Mr.MSHANA na MR.WANZAGI WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA MARA BAADA YA KAZI KUKAMILIKA
 ILI NI KUNDI NAMBA MBILI LA WATAALAMU WA IT WALIOUKUWA WAMEANDAA PROJECT MPYA KATIKA CHUO IKI KWA MARA YA KWANZA INAYOHUSU MAMBO YA "TICKET THEATRE RESERVATION SYESTEM" Toka kulia ni MR. KUNDAJE,MISS.ELIZA,MR.PHARS NA MISS ABISINA
 Wataalamu mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja wakiongozwa na wataalam wa SOCIAL NETWORK,Mr. KIMARO, KIWIA NA MUSHI Akionekana kwa nyuma
 Mr. Edger Mushi mtaalamu wa SOCIAL NETWORK akiwa na Mr.Phars mara baada ya presentation
 Mr. Godjift Kimaro mtaalamu wa SOCIAL NETWORK akiwa na Mr.Phars mara baada ya presentation

Comments

Popular posts from this blog