Posts

TOTTENHAM WAICHAPA MANCHESTER CITY BAO 4

Image
Tottenham striker Harry Kane is overjoyed as he nets his first goal for the club this season against Manchester City on Saturday Tottenham winger Erik Lamela rounds City goalkeeper Willy Caballero (left) to score Spurs' fourth goal at White Hart Lane Tottenham's Belgian centre-back Toby Alderweireld celebrates after his header gives his side a 2-1 lead over Manchester City Alderweireld (centre) rises highest to head the ball into the back of the City net, leaving goalkeeper Caballero rooted to the spot Tottenham defender Eric Dier celebrates drawing his side level in the first-half with a low drive from just outside of the box  Dier is congratulated by Spurs team-mate Dele Alli (right) after scoring the goal to make it 1-1 at White Hart Lane on Saturday afternoon Dier pounces on a wayward pass and lashes home a goal for Spurs as the home side draw level at White Hart Lane  Manchester City winger Kevin De Bruyne celebrates opening the sco

MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI WAWASILI NCHINI

Image
            Viongozi mbalimbali wakiwa katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa kuupokea mwili wa marehemu Celina Kombani. 

Sumaye: CCM Kama Kuna Hirizi Zenu Ikulu, Mzitoe Mapema

Image
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye, ametupa ‘Dongo’ kwa mahasimu wao kisiasa CCM, waanze kufungasha ‘virago’ mapema kwa kuwa mwaka huu ni wa UKAWA. Akizungumza jana na mamia ya wananchi Dar es salaam, Sumaye amedai kwa miaka mingi CCM imekuwa ikiahidi ahadi bila utekelezaji, hivyo amewataka wananchi kumpigia kura nyingi mgombea wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa. “Niwaambie kabisa waanze kuondoka kuiachia Ikulu mapema, kama kuna hirizi zao waziondoe mapema waiache Ikulu ikiwa safi”. SOURCE: Times fm Radio.

KILIO KIKUBWA: CCM YAPATA PIGO ZITO BAADA YA MGOMBEA WAO KUFARIKI DUNIA, HALI NI TETE KWA WAGOMBEA

Image
Mgombea udiwani kata ya Muleba Wilaya ya Muleba Kusini, kwa tiketi ya CCM, Osward Rwakabwa amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki. Osward ni mgombea wa tatu udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Muleba kufa akiwa katika harakati za kampeni za Uchaguzi Mkuu kwani wa kwanza alikufa mwaka 2005, 2010 na mwaka huu 2015. Osward alifariki katika hospitali ya serikali ya Kaigala alikopelekwa mara baada ya ajali hiyo iliyotokea jana jioni katika maeneo ya Tanesco akaribu na viwanja vya michezo vya Zimbiile Wilaya ya Muleba Kusini. Walioshuhudia ajali hiyo walisema marehemu ambaye alikuwa akiendesha pikipiki aligongana na pikipiki nyingine ambayo mmiliki wake alikimbia baada ya ajali hiyo. Kwa mujibu wa mashuhuda hao, Osward alikuwa akivuja damu kwenye pua na kwenye masikio mara baada ya ajali hiyo lakini alifariki katika hospitali hiyo. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli alikwenda moja kwa moja nyumbani kwa marehemu Muleba kuhani msiba kabla ya kuanza mkutano wak

MAGAZETI YA LEO JUAMANNE TAREHE 22.09.2015

Image

KAJALA ANAPATA WAPI JEURI HII?

Image
Imelda mtema FEDHA inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji Kajala Masanja kupanga kwenye mjengo mpya wa maana na kuushehenesha samani na ‘vikorombwezo’ kibao hadi kufikia hatua ya watu kuhoji, amepata wapi jeuri hiyo ya fedha? Ijumaa limenasa mchapo kamili. Mjengo anaoishi mwigizaji Kajala Masanja. Kajala ambaye awali alikuwa akiishi maeneo ya Sinza-Madukani, kwa sasa amehamia katika mjengo huo mpya uliopo maeneo ya Mwenge jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo, ndani ya mjengo huo, Kajala anaishi na mwanaye Paula huku akiwa amewaajiri wafanyakazi wa ndani watatu na kulindwa na kampuni maalum ya ulinzi. “Yani Kajala ananuka hela. Mjengo wake mpya una kila kitu ndani. Ukiingia unaweza kupagawa kutokana na vitu vilivyomo ndani. Watu tunajiuliza ni nani anayempa jeuri hii maana filamu pekee haziwezi kufanya matusi haya,” kilisema chanzo hicho. ...Sebuleni. Baada ya kupenyezewa ‘ubuyu’ huo, mwanahabari wetu alitia timu nyumbani hapo kwa Kajala na kuji

SIASA MWAKA HUU VITA NZITO!

Image
Imelda Mtema Nivita nzito! Wakati mtifuano wa mastaa wawili wa kike wa sinema za Kibongo ambao huko nyuma walikuwa wakipigia kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Jacqueline Wolper Massawe na Aunt Ezekiel Grayson ukiwa umekolea, kumeibuka balaa lingine la mastaa wawili wa kiume wa tasnia hiyo, Jacob Steven ‘JB’ na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wanaodaiwa kuzichapa laivu.  Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe. AUNT AANIKA SIRI ZA WOLPER UKAWA Katika sakata lao, Aunt anadaiwa kuanika siri za Wolper mara tu baada ya kung’atuka Ukawa akiwa na mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ambao wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wakati anatimkia CCM mapema wiki hii, Aunt aliliambia gazeti hili kuwa ameamua kuondoka Ukawa kwa kuwa sera za CCM zimemshawishi na kwamba mwanzoni alipotea na kwamba hahitaji mabadiliko badala yake anataka kuchapa kazi kama ilivyo kaulimbiu ya mgombea wa urais wa CCM, Dk.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC,YAAHIDI KUMTANGAZA LOWASSA MAPEMA BAADA YA KUSHINDA!!

Image
Na Neophitius Kyaruzi TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imevitaka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuachana na dhana kuwa mgombea wa Chadema anayeungwa mkono na umoja huo hatatendewa haki na tume huku ikiahidi kwamba atatangazwa mapema iwapo atafanikiwa kushinda. Ufafanuzi uliotolewa juzi na baadhi ya wanasheria wa tume hiyo katika mahojiano maalum na gazeti hili, unasema kuwa tume hiyo inaendeshwa kwa misingi ya sheria na maadili ya uchaguzi wa rais, wabunge na maadili ya mwaka huu, hivyo watarajie kuwa na uchaguzi huru na wa haki unaosimamia misingi hiyo. “Tunajua baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakieneza maneno kuwa NEC haitatenda haki kwa baadhi ya wagombea lakini niseme tu kwamba tume hii haiendeshwi kwa misingi ya matakwa ya watu fulani bali ni chombo cha kisheria hivyo kinafanya kazi katika misingi hiyo na kamwe hakitapendelea mwanasiasa au chama chochote badala yake kitatenda haki,” alisema mwanasheria wa tume hiyo, (jina tunalihifadhi kw

James Mbatia Kuhamia Chadema...NCCR Mageuzi Wadai Amekuwa Msemaji wa Chadema Badala ya Kujenga Chama

Image
Mbatia na Lissu Kuna kila dalili kuonyesha mbatia atakihama chama chake kwenda Chadema. karibuni akionekana kua msemaji wa mambo ya Chadema hadi kuwashangaza wafuatiliaji wa mambo ya siasa. sasa amejitenga na viongozi wenzake wa NCCR Mageuzi hadi wanatishia kujitoa UKAWA.. ameshindwa kutetea maslahi ya NCCR ndani ya UKAWA na inaekekea amelewa mahaba ya Lowassa mtu anayedaiwa kua tajiri sana. Je Mbatia naye atakua nyumbu kufuata malisho Chadema? si siku nyingi tutapata jibu. Sumaye ambanae inasemekana amejiunga na NCCR japo hakuna ushahidi wa kukabidhiwa kadi ameoneka na jezi ya CHADEMA kwenye mikutano akipiga debe kwa Lowassa. ni wazi NCCR ni mwathirika wa UKAWA na itabaki na ukiwa. inaelekea nyumbu wote watafuata alipo EL. alipo Edo nyumbu wote wapo. tuombe mungu apishilie mbali UKAWA kutwa uongozi ama sivyo tutaona mparurano wa kugombea vyeo.. Sumaye tayari amapewa uwaziri mkuu mbowe inasemekana atakabidhiwa hazina! mbatia bado haifahamiki etc By Kmbwembwe