MATUKIO KATIKA PICHA ZOEZI LA KUAGA MIILI YA MAPACHA MARIA NA CONSOLATA IRINGA
HUKU zoezi la kuaga na mazishi ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti yanafanyika leo katika makaburi ya viongozi wa dini ya Romani Katoliki (RC) Tosamaganga kata ya Kalenga wilaya ya Iringa mkoani Iringa wanawake walioshiriki kuchimba kaburi la mapacha hao lenye upana wa sentimita 180 na urefu sentimita 200 wameomba sanduku la mapacha hao kubebwa na wanawake kabla ya kuingizwa kaburini. Akizungumza jana makaburini hapo kwa niaba ya wanawake wa kata ya Kalenga Geogena Sekitindi (57) alisem...