Posts

RAIS ZUMA KUOA MKE WA 7, NI BINTI WA MIAKA 24 ALIYEZAA NAYE

Image
ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameushangaza umma baada ya kuwepo na taarifa za kutarajia kuoa mke wa saba, binti mdogo mwenye umri wa miaka 24. Taarifa hizo zimethibitishwa na binti huyo anayetarajiwa kuolewa na Zuma, Nonkanyiso Conco, kupitia chombo cha habari cha Times Live nchini humo. “Ndio tunaoana, hayo ndiyo naweza kusema kwa sasa, nahitaji kutoa taarifa kabla sijafanya interview (mahojiano) yoyote”, amesikika binti huyo akiuambia mtandao wa Times Live. Conco inti huyo tayari ana mtoto mchanga aliyezaa na Jacob Zuma siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Zuma, April 12, na tayari mahali imeshatolewa. Zuma ambaye ana miaka 76 mpaka sasa ameshaoa mara sita, na hii itakuwa ni mara ya saba kufunga ndoa, Tukio hilo limeonekana kuwakera baadhi ya wananchi wa Afrika Kusini na kutoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii, wakisema binti huyo ni mdogo sana kwa Zuma, kwani wana tofauti ya miaka 52.

Siri Wema Kuutosa Msiba wa Masogange Yafichuka!

Image
Wema Sepetu BAADA ya kuwa gumzo msibani wakati wa kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa video queen kwenye nyimbo mbalimbali za Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ kutokana na kutoonekana, siri imefichuka ya msanii wa filamu, Wema Sepetu kuutosa msiba huo. Awali habari zilidai kwamba Wema alishindwa kuhudhuria kwenye msiba huo kutokana na kwamba yeye na marehemu Masogange walikuwa na bifu kali na hawakuwahi kupatana. “Unajua Wema na Masogange walikuwa hawaivi, sasa inawezekana ndiyo maana hajaonekana msibani. Au ana sababu nyingine? Mimi kwa kweli nimeshangaa kutomuona,” alisikika akisema mmoja wa waombolezaji aliyekuwa amefika katika Viwanja vya Leaders jijini Dar kuuaga mwili wa Masogange. SIRI YAFICHUKA Kutokana na gumzo la Wema kuutosa msiba huo, Risasi Mchanganyiko lilimtafuta kwa njia ya simu yake ya mkononi lakini iliita bila kupokelewa. Baada ya kutopokelewa, gazeti hili liliamua kumtafuta meneja wake, Neema Ndepanya ambaye alitoa siri ya Wema kutohudhuria m...

Makaburi ya Vigae si Salama

Image
TAARIFA za watafiti zimeeleza kuwa matumizi ya maru maru (tiles, marble, terrazzo) katika kujengengea makaburi siyo salama kwa ardhi, kwani yana kemikali kali ambayo inaathiri udongo. Hayo yamebainishwa na mtaalamu wa Sayansi ya Mazingira na Kilimo, Prof. Julius Zake kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda , katika ripoti yake ya udongo wa Uganda huku akieelza njia sahihi ya kutumia mbolea na kueleza kwamba ujenzi wa makaburi kwa tiles unaongeza hatari kubwa ya udongo kushindwa kuzalisha. “Zamani watu walikuwa wanatumia nguo maalum (backcloth ) kuzikia wapendwa wao, sasa hivi watu wanakufa sana na wanazikwa kila mahali kwa wingi,tiles haziwezi kuharibika zinaingiliana na mizizi inayorutubisha udongo na kusaidia uzalishaji, hivyo udongo unaathirika na kemikali”, amesema mwanasayansi huyo. Mtaalamu huyo amesema ardhi sasa hivi imekuwa na acid nyingi na kusabaisha kushindwa kuwa na rutuba, ya kuweza kustawisha mazao na kutunza mazingira. ...

Dodoma yapiga marufuku nyama ya nguruwe

Image
WAKATI leo mkoa wa Dodoma ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya sikuku ya Muungano halmashauri ya manispaa ya Dodoma imepiga marufuku biashara ya nyama ya nguruwe pamoja na mazao yake kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe. Kwamijibu wa taarifa iliyotolewa na Daktari wa mifugo manispaa ya Dodoma Dk, Innocent Kimweri jana alisema kuwa kwa mamalaka aliyopewa na kifungu namba 17 cha sheria ya magonjwa ya mifugo namba 17 ya mwaka 2003 anatangaza kuwa hivi sasa manispaa ya Dodoma inamlipuko wa homa ya nguruwe. Alisema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa anaweka zuio la biashara ya nguruwe pamoja na mazao yake hadi hapo itakapo tangazwa vinginevyo. “Hakuna mnyama yeyote wa jamii ya Nguruwe, ngiri nguruwe pori au nguruwe wa kufungwa atakaye ruhusiwa kuingia au kutoka nje ya wilaya ya Dodoma pasipo ruhusa ya maandishi kutoka kwa daktari wa mifugo wa wilaya ya Dodoma mjini”alisema Dk, Kimweri Vilevile alisema kuwa hakuna bidhaa inayotokana na nguruwe ikiwemo m...

MSIBA WA MASOGANGE WAZIMA NDOA YA ABDU KIBA

Image
MSIBA wa aliyekuwa video queen mkali Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ aliyefariki Ijumaa iliyopita, umezima tukio kubwa la kufunga ndoa la msanii wa Bongo Fleva, Abdul Kiba ambaye alioa jana alfajiri. Abdul Kiba ambaye amefunga ndoa siku tatu tu baada ya kaka yake, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ aliyemuoa Amina Khaleef huko Mombasa nchini Kenya. Msanii huyo ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake ya Jeraha alifunga ndoa hiyo jijini Dar, jana kwenye Msikiti wa Kichangani, Magomeni ambapo alimuoa mchumba wake wa muda mrefu, Luwada Hassan. Habari zilizolifikia Ijumaa Wikienda jana zilieleza kuwa, huenda Ali Kiba na Abdul Kiba wakafanya sherehe ya pamoja ya harusi Aprili 29, mwaka huu kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar ili kufurahi na watu wao wa karibu kufuatia zoezi la wao kufunga ndoa. Taarifa zilieleza kuwa, baada ya Ali Kiba na Abdul Kiba kuoa, dada yao, Zabibu Kiba, naye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na beki za zamani wa Timu ya Simba ambaye kwa sasa an...

RC GAMBO AONGOZA MAZISHI YA LEYLA ARUSHA

Image
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo , leo ameongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Leyla aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa visu na mumewe huko Uingereza wiki kadhaa zilizopita. Mazishi hayo yamefanyika katika makaburi ya Sinoni jijini Arusha. Kaburi la marehemu Leyla likiwekwa sawa baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Sinoni jijini Arusha leo. Mwili wa marehemu Leyla aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa visu na mumewe huko Uingereza wiki kadhaa zilizopita ukipelekwa makaburini. Mazishi yakiendelea. (Habari na Korumba Moshi, Arusha)

Mke mtarajiwa wa Jacob Zuma ajiuzulu kazi Afrika Kusini

Image
Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma, Nonkanyiso Conco amejiuzulu kazi nchini Afrika Kusini. Jumamosi iliyopita Nonkanyiso (24) ambaye hivi karibuni alizaa mtoto wa kwanza na Zuma, alitangaza kujiuzulu mpaka ifikapo Jumatatu ya April 23. Conco analazimika kujiuzulu cheo chake akiwa ni afisa mawasiliano wa kampeni ya kukabaliana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa wanawake wadogo, unyanyasaji wa kijinsia na ujauzito kwa watoto wadogo. Leonora Mathe ambaye ni naibu mwenyekiti wa shirika hilo, amethibitisha kuwa Conco ameandika barua hiyo. Hata hivyo mpaka sasa hajazungumza chochote juu ya uhuma hizo za kuhusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Zuma. Wakati huo huo mrembo huyo anafanya kazi nyingine kwenye asasi inayohamasisha kampeni ya kuwawezesha mabinti wadogo katika maisha yao ya kila siku na kuacha kuwategemea wanaume wenye umri mkubwa. Taarifa za Jacob Zuma na Nonkanyiso Conco kuwa na mahusian...

MZEE GELARD: AGNESS ALINIAGA KABLA HAJAFA, NIKALIA!

Image
MZEE Gerald Waya, ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Bongo Movies na Model, Agness Gerald ‘Masogange’, amesema mwanaye alikuwa nguzo kubwa katika maisha yake, hivyo kifo chake ni pigo kubwa kwake na familia nzima. Akizungumza nyumbani kwake, Mbalizi wilayani Mbeya, Mzee Waya alisema Masogange ni mtoto wake wa nne katika familia ya watoto sita, wa kike wakiwa ni watano ambapo ameeleza kwamba Masogange alisoma Shule ya Msingi Utengule iliyopo Mbalizi na Sekondari ya Sangu ambapo alikomea kidato cha pili baada ya kupata matatizo. Aliishia kidato cha pili akapata matatizo, hivyo ilibidi aache shule. Tulikosana kidogo lakini tukayamaliza yeye akaenda Dar es Salaam. Agness amekuwa nguzo kwangu, alikarabati nyumba hii ninayoishi kwa sasa na nilikuwa nafarijika sana nikimuona, lakini leo kusikia msiba huu kwa kweli inaniuma sana,” alisema Mzee Waya. Alinipigia simu tukaongea naye akaniambia ‘mimi baba ninaumwa’, nikamuuliza nini tatizo akasema, ‘baba nio...

Nafasi za Kazi TANROADS Tanzania

Image
Regional Manager, TANROADS – MOROGORO is looking for suitable qualified Tanzanian candidates for available Posts at Morogoro Weigh Bridge stations. Applications are invited from suitable qualified and competent Tanzanians to apply for the following position: POSITION TITLE: DRIVER (1 POST) A: KEY QUALIFICATION: 1. Holders of Form IV Certificate; 2. Holder of valid Class E driving license 3. Having driving experience of at least five (3) years 4. Must be fluent in both written and spoken English and Swahili languages 5. Age. Not above 35 years of age 6. Must be Tanzanian citizen. B: DUTIES AND RESPONSIBILITIES: 1. Driving Agency’s vehicle in urban and remote areas. 2. Maintaining the vehicle logbook and all accidents records pertaining to the assigned vehicle 3. Keeping the vehicle in good working order and clean condition 4. Reporting repairs or maintenance needs of the vehicle to the Shift In-charge timely 5. Observe good customer care, dignity and integ...

Nafasi za Kazi NMB

Image
Senior Manager; Digital Lab Job Purpose The incumbent will be responsible to foster research, testing, and incubating of concepts, products and processes by leveraging on technology to deliver digital products which capture value, enhanced experience and capabilities to our customers. Main Responsibilities: Create, evolve, and scale a new method of delivering digital solutions, adopting a lean, fail fast delivery methodology based on Agile principles. Play a key role of a change agent responsible to influence peers, leaders within the bank to align, adapt to and use these new methodologies/technologies. Innovate from prototyping to testing with an eye towards encouraging speed to market in a dynamic and ever changing environment. Create a digital lab which will facilitate nurturing of new ideas into finalized solutions by establishing and drive the technical execution of the digital products. Create processes in the lab that are rooted in best practices for con...

Mazoezi ya Polisi Moshi Mjini Yazua Taharuki

Image
Leo shughuli zimesimama kwa muda katika Mji wa Moshi wakati Vikosi vya Jeshi la Polisi vikipita katika maeneo mbalimbali ya mji huo wakiwa na silaha za moto na kuzua hali ya taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Moshi.    

Afande adakwa kwa tuhuma za rushwa

Image
MAMLAKA ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya zaidi ya Sh. 250,000. Akizungumza na waandishi wa habari, Ofisa Uhusiano wa ZAECA, Mwanaidi Suleiman Ally, alisema ofisa huyo Rajabu Juma Simba, mkazi wa Meli Nne-uzi, kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya zaidi ya Sh. 250,000  kutoka kwa vijana wawili ambao majina  yao yamehifadhiwa. Alisema tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 4.30 asubuhi nje ya kituo cha polisi cha Mwanakwerekwe, baada ya kuwakamata na chombo walichokuwa nacho aina ya Pasola, kwa kuwatuhumu wanaenda kununua dawa za kulevya aina ya bangi. Alidai baada ya kuwapekua hakuwakuta nazo na kuwaamuru kwenda nao kituo cha polisi Mwanakwerekwe kwa mahojiano zaidi. Alisema mara baada ya mahojiano, ofisa huyo aliwaamuru vijana hao wampatie Sh. laki mbili ili awaachie na chombo chao, vijana hao walimpatia shilingi laki moja na baadae kuwachiwa wao na...

Yafahamu matatizo ya ngozi yanayotokana na kunyoa ndevu na nywele na jinsi ya kujitibu

Image
Wakati unaponyoa ndevu na nywele, baada ya kunyoa, wakati wa kuota nywele hizo zipo baadhi ya sehemu nywele hushindwa kutoka nje ya ngozi na kuota ndani ya ngozi hali inayopelekea kusababisha uvimbe na vipele. Zipo aina mbili za mapele yanayotokana na Kunyoa nywele na ndevu. Magonjwa haya ni kama ifatavyo 1. Acne Keloidalis Nuchae Acne keloidalis nuchae (AKN) Ni tatizo linalotakana na maambukizi ya bacteria P.Acnes kwenye ngozi baada ya kunyoa,hali inayopeleka vijitundu vya vinyweleo kuziba na kufanya nywele kushindwa kutoka nje ya ngozi na kukulia ndani ya ngozi hivo kusababisha mapele makubwa na makovu. Acne keloidalis nuchae (AKN) mara nyingi hutokea sehemu ya kisogo. Mbali na kunyoa tatizo hili pia huweza kusababishwa na uvaaji wa kofia. 2.Pseudofolliculitis barbae (PFB) Tatizo hili huwapata watu wengi, hili hutokea sehemu za kidevu na mashavu. Hii pia husababishwa na kuziba kwa vinyweleo vya ngozi baada ya kunyoa hivo kupelekea ndevu kukulia ndani ya ngozi na kus...

Zari Amlilia Masogange, Akumbuka SMS Zake

Image
Video vixen, Agness Gerald ‘Masogange’ enzi za uhai wake. MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha video vixen, Agness Gerald ‘Masogange’, kupitia akaunti yake ya Snapchat. Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Zari ameeleza kuwa Masogange alikuwa akimtafuta kupitia simu kila mwezi akimuulizia maendeleo ya watoto wake ingawa hawakuwa marafiki sana. Kupitia Mtandao wa Snapchat Zari ameandika; We were not friends as such but ever since you got my number you’ve been dropping me a text every month and i mean no month passed without you asking how are the kids. in peace sis.

Kipimo Cha Mimba Cha Nyumbani rahisi Kutumia

Image
       Kipimo cha mimba cha nyumbani ni rahisi sana kukitumia wewe mwenyewe kwa wakati wako ikiwa unajihisi umjamzito au kuhisi mwenzi wako ana ujauzito. Unachotakiwa kuwa nacho ni moja, Kipimo hichob‘Pregnancy Test’ ambacho kinapatikana katika maduka yote ya madawa ya Binadamu, na pili mkojo wa anahisiwa au kuhisi ana mimba. mara nyingi ni rahisi zaidi kupata majibu ya uhakika ukitumia mkojo wa kwanza kabisa asubuhi kisha uweka kwenye kikopo kidogo na kisha fuata maelekezo ya kwenye picha hii:- Hatua; 1.    Fungua pakiti iliyo na kipimo cha mimba. 2.    Tofautisha sehemu ya kushika na sehemu utakayotumbukiza kwenye kikopo chenye mkojo. 3.    Acha kwa dakika zipatazo 3, bila kuzidisha sehemu yenye mstari uliyoandikwa MAX. 4.     Toa na kisha soma majibu yaliotokea. Majibu yatatoka kama ilivyo katika picha hii inayofuata ya vipimo viwili tofauti vilivyofanyiwa majari...

Siri 6 Kiba Kumuoa Mkenya Zaanikwa!

Image
Ali Saleh Kiba ‘King Kiba akiwa na Mkewe Amina N YUMA ya tukio kubwa na la kihistoria kwenye ulimwengu wa burudani, lililogubikwa na kufuru ya fedha la staa wa Bongo Fleva wa Afrika Mashariki, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ kumuoa mrembo mkali kutoka Mombasa nchini Kenya, kuna siri sita (6), Risasi Jumamosi linazianika.  Juzi alfajiri ya Aprili 19, mwaka huu, Kiba alifunga ndoa na mrembo Amina Khaleef katika Msikiti wa Ummul Kulthum uliopo mjini Mombasa, Kenya. Ndoa hiyo ilifungishwa na Sheikh Mohamed Kagera. Hakika ilikuwa ni furaha, shangwe, nderemo na vifijo kwa maharusi hao, wanafamilia na mashabiki wa Kiba mjini Mombasa mara baada ya ndoa hiyo kufungwa. Mara baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo, mitandaoni kulichafuka ambapo baadhi ya mashabiki wa Kiba walikuwa wakihoji ni kwa nini mkali huyo wa Wimbo wa Seduce Me ameacha warembo kibao Bongo na kwenda kwa Amina wa Mombasa? Kufuatia wengi kutaka kujua Amina ni nani au ana nini cha tofauti kilichomteka Kib...

Kajala amkimbiza mke wa P Funk

Image
   Muigizaji wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amedaiwa kusababisha mke wa prodyuza mahiri Bongo, Paul Matthysse, Samira afungashe virago vyake tayari kwa kurudi kwao. Mke huyo wa P Funk amedaiwa kufikia uamuzi huo baada ya mwanaume huyo kuonekana kurudisha majeshi kiaina kwa Kajala aliyewahi kuwa mchumba’ke zamani huku picha na video mbalimbali za kimalovee zikivuja. Mtu wa karibu na mke wa P Funk alivujisha kuwa, Samira amefikia hatua hiyo baada ya kushuhudia matukio mbalimbali ya P Funk na Kajala na kukosa majibu yaliyonyooka. “Unajua P Funk kila alipokuwa akielezwa kuhusu Kajala alikuwa hanyooshi maelezo ingawa machoni alionesha kumpenda Kajala. “Mkewe ambaye kwa sasa ni mjamzito, ameishi kwenye kipindi kigumu sana. Anashindwa kumuelewa P Funk kwani watu kibao wanampigia na kumuambia wamemuona mumewe akiwa na Kajala,” alidai mtu huyo wa karibu. Akizidi kushusha data, mtu huyo wa karibu na Samira alidai kuwa, mara kadhaa P Funk amekuwa akie...

TCRA Yaanza Rasmi Usajili wa Blogu, Redio na TV za Mtandaoni

Image
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza rasmi zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja na Televisheni za mtandaoni kuanzia leo Jumamosi, Aprili 21, 2018 kwa mujibu wa sheria.

Masogange kuagwa Leaders, kuzikwa nyumbani kwa.

Image
Video queen maarufu Bongo Agnes Gerald maarufu Kama Masogange anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao jijini Mbeya ambako ndiko wazazi wake waliko. Akizungumza na www.eatv.tv dada wa Agnes anayejulikana kama Emma Gerald, amesema mwili wa Agnes  utaagwa jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Leaders,  na kisha kusafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi “Tutaaga kesho asubuhi saa 3 pale Leaders, na kisha tutasafirisha kuelekea Mbeya kwa mazishi”, amesema Emma Gerald. Sambamba na  hilo muigizaji Steve Nyerere ambaye yuko karibu na familia ya Agnes amewataka wasanii kujitokeza kwa wingi leaders jioni ya leo, ili kujadili utaratibu wa mazishi na mengineyo. Agnes Masogange amefariki jana April 20, kwenye hospitali ya Mama Ngoma baada ya kulazwa kwa muda wa siku nne mpaka kifo kilipomkuta kwa tatizo la pneumonia