Posts

Diamond Na Zari Waendeleza Bata Zanzibar

Image
Diamond. Diamond na mpenzi wake Zari. Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari. Mwanamuziki Diamond akiwa katika mapozi tofauti  na mchumba wake Zari na baadhi ya marafiki zao. Mwanamuziki Nassib Abdul amedhihirisha ule usemi wa wahenga wa zamani kwamba pesa maua na ukiwa nazo unaweza kufanya jambo lolote lile. Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mchumba wake Zari, aliyezaa naye mtoto mmoja na ambaye ni mjamzito kwa sasa wawili hao bado wapo visiwani Zanzibar wakiendelea kula bata hata baada ya kumaliza kwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Zari zilizofanyika visiwani humo . Na Leonard Msigwa/GPL.

Msimamo wa CUF kuhusu uamuzi wa Jaji Mutungi kuamua kuwa Prof. Lipumba bado ni Mwenyekiti

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kimepokea kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kile kinachoitwa “Msimamo na Ushauri wa Vyama vya Siasa kuhusu Mgogoro wa Uongozi wa Kitaifa wa Chama cha Civic United Front (CUF)” ambao uliwasilishwa Ofisi Kuu ya Chama, Buguruni, jana usiku.   Baada ya kupokea Ushauri huo, The Civic United Front (CUF – Chama Cha Wananchi) kinapenda kueleza yafuatayo:   1. Sheria ya Vyama vya Siasa (Political Parties Act, No. 5 of 1992) haimpi mamlaka wala uwezo wowote Msajili wa Vyama vya Siasa kutoa ushauri, msimamo au mwongozo kwa vyama vya siasa kuhusiana na maamuzi ya vikao vya Chama.   2. Msimamo huo wa kisheria wa nchi hii umetiliwa nguvu na kuthibitishwa na Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia UAMUZI wa tarehe 9/5/2005 wa Jaji T.B. Mihayo katika kesi ya Emmanuel Nyenyemela na Magnus Msambila v/s Registrar of Political Parties & Others (Civil...

Hoja 11 Zilizomrudisha Lipumba CUF

Image
Profesa Lipumba akiwa na Maalim Seif kabla ya hajajiuzulu kama mwenyekiti wa CUF. DAR ES SAALAM: Hoja 11 zilizotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, zimetosha kumrejesha katika wadhifa wake, Mwenyekiti ‘aliyejiuzulu’ wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba. Mbali ya Lipumba viongozi wengine ambao msimamo wa Msajili unawarejesha madarakani moja kwa moja baada ya kusimamishwa na Baraza Kuu la Uongozi la CUF, katika kikao chake cha Agosti 30, mwaka huu kilichofanyika jijini Dar es Salaam ni Naibu Katibu Mkuu Bara Magdalena Sakaya ambaye pia ni Mbunge wa Kaliua na Naibu Mkurugenzi wa Habari Taifa, Abdul Kambaya. Wengine ni Mbunge wa Mtwara, Maftaha Nachuma, wajumbe wa Baraza Kuu Taifa, Masudi Omari Mhina, Thomas Malima, Ashura Mustafa na Kapasha Kapasha. Pia Musa Haji Kombo, Habibu Mnyaa na Haroub Shamis ambao wataendelea kuhesabika kama wanachama halali wa chama hicho. Katika barua yake kwa viongozi wa CUF, Msajili ali...

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KUADHIMISHA SIKU YA BWANA YA 19 BAADA YA PENTEKOSTE KANISA LA MTAKATIFU ALBANO

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.   Waumini wakipokea baraka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016. Mpiga kinanda Bw. Charles Mang'enya akielekeza wimbo kwa waumini katika kanisa la Anglikana l...

Azam Yafungwa Bao 2- 1 Dhidi Ya Ndanda FC

Image
Wachezani wa Azam akiwania mpira na wa Ndanga Fc. (Picha na Maktaba)   Azam FC imepoteza mechi yake ya pili leo baada ya kuchapwa kwa mabao 2-1 na wenyeji wake Ndanda FC.   Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Azam FC ilipoteza mechi hiyo katika dakika za mwisho baada ya kucheza vizuri katika kipindi chote cha kwanza.   Nafasi kadhaa walizopoteza, pia katika kipindi cha pili watazijutia kwa kuwa Ndanda walitumia vizuri nafasi walizozipata.   Nao JKT Ruvu, wamezidi kuonyesha hawataki tani baada ya kuitwanga Mbeya City kwa mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa mkoani Pwani.   Mtibwa Sugar ikiwa nyumbani, baada ya kuongoza kwa muda mrefu imejikuta ikizuiliwa na kukamtwa kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Mbao FC.   Mtibwa Sugar waliongoza kwa muda mrefu, jioooni wakaruhusu bao hilo la kusawazisha na kuwafanya wapoteze pointi nyingine mbili.

Simba Yaipiga Majimaji Nne Kwa Mtungi

Image
Wachezaji wa Simba wakishangilia. KIKOSI cha Simba, leo kimefanya mauaji ya kutisha mbele ya Majimaji ya Songea baada ya kuichapa mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Simba anayonolewa na Mcameroon, Joseph Omog, ilipata mabao yake kupitia kwa Jamal Mnyate aliyefunga mawili sawa na Shiza Kichuya ambaye naye aliingia nyavuni mara mbili. Kwa matokeo hayo, Simba imeendelea kukalia usukani kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 16 baada ya kushuka uwanjani mara sita ambapo imefanikiwa kushinda michezo mitano sare mmoja. Huko Mtwara Azam FC imebanwa mbavu na kuacha alama tatu mbele ya Ndanda baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1. Kesho Yanga inatarajiwa kucheza na Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.

FAHAMU AINA NNE ZA WANAWAKE MICHEPUKO

Image
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli…..n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time. 3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu…Yaani tabu tupu! 4: MCHEPUKO MATOPE: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu

MANCHESTER UNITED WAIBUKIA KWA LEICESTER CITY,WAITANDIKA BAO 4

Image
Manchester United 4-1 Leicester City: Paul Pogba looked to the heavens after scoring his first Manchester United goal and their fourth of the afternoon The £89million signing lost Christian Fuchs and met Daley Blind's corner to send a header into the far corner Pogba celebrated his goal with Jesse Lingard as United ran rampant in the first-half at Old Trafford Pogba soaks up the acclaim of the Old Trafford support after scoring his first goal since returning to the club Marcus Rashford slides in to convert United's third goal from close range following Daley Blind's well-worked corner Juan Mata lashes home United's second goal after a classy move that saw Paul Pogba and Jesse Lingard combine Chris Smalling, Jesse Lingard, Daley Blind and Marcus Rashford rush to congratulate Juan Mata after United's second goal Smalling leaps above the Leicester back line to head home Daley Blind's corner and give United a 22nd-minute...