Diamond Na Zari Waendeleza Bata Zanzibar

diamond-1Diamond.diamond-2Diamond na mpenzi wake Zari.diamond-3 diamond-4 diamond-5Kutoka kushoto Moses Iyobo, Aunt Ezekiel, Diamond na Zari.
diamond-6diamond-7 diamond-8 diamond-9 diamond-10Mwanamuziki Diamond akiwa katika mapozi tofauti  na mchumba wake Zari na baadhi ya marafiki zao.
Mwanamuziki Nassib Abdul amedhihirisha ule usemi wa wahenga wa zamani kwamba pesa maua na ukiwa nazo unaweza kufanya jambo lolote lile.
Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mchumba wake Zari, aliyezaa naye mtoto mmoja na ambaye ni mjamzito kwa sasa wawili hao bado wapo visiwani Zanzibar wakiendelea kula bata hata baada ya kumaliza kwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Zari zilizofanyika visiwani humo .
Na Leonard Msigwa/GPL.

Comments

Popular posts from this blog