Mghwira wa ACT-Wazalendo Azindua ‘Tanzania Role Model’
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazarendo, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo, Anna Mghwira, akizindua mashindano hayo. …Akifafanua jambo mbele ya warembo wanaoshiriki shindano. Mratibu wa mashindano hayo, Samweli Charles (wa kwanza kushoto) akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mghwira. Viongozi wakifuatilia nyendo za warembo waliokuwa wakipita mbele yao. Baadhi ya washiriki wa Tanzania Role Model wakifanya vitu vyao mbele ya mgeni rasmi. Baadhi ya ‘manjonjo’ yaliyoonyeshwa na warembohao. Washiriki wakitambulishwa mbele ya mgeni rasmi. Mshereheshaji ‘MC’ wa hafla hiyo, Sufian Juma (wa kwanza kushoto) akizungumza jambo baada ya shindano kuzinduliwa. MWENYEKITI wa ACT-Wazalendo na aliyekuwa mgombea urais kupitia chama hicho, Mama Anna Mghwira, jana alizindua shindano lijulikanalo kama ‘Tanzania Role Model’ lililoandaliwa na kampuni ya Mass Television Company (MTV) chini ya mkuruge...