Posts

A-Z Fumanizi la Shilole, Madee!

Image
Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Stori: Gabriel Ng’osha na Sifael Paul YAMEIBUKA tena? Ni takriban mwaka mmoja na ushee tangu skendo ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na staa mwenzake wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ kudaiwa kufumaniwa na aliyekuwa mpenzi wa Shilole, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambapo kila mtu alijitetea kwa upande wake.   Shilole na Madee Lakini wikiendi iliyopita, Nuh aliibuka na kuifunua upya skendo hiyo ya kumfumania Shilole laivu akimsaliti na Madee wakiwa hotelini, jambo lililomuuma kila anapokumbuka tukio hilo. Kwa mujibu wa Nuh, aliwakuta wawili hao wakivunja amri ya sita huku mmoja wao akiwa mtupu kama alivyozaliwa. Nuh alidai kuwa hapendi sana kuzungumzia suala lake la uhusiano wa kimapenzi kwani linawafanya watu kusahau muziki wake na kusikiliza mambo mengine nje ya kazi zake. Lakini kuhusu kumfumania Shilole na Madee hotelini walipokuwa kwenye shoo katika moja ya Mikoa ya Tanzania Bara (hakusema mko

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inataka Bilioni 864 kwenye bajeti ijayo

Image
May 16 2016 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2016/2017 pamoja na kuwasilisha maombi ya fedha zaidi ya Bilioni 864. Hotuba imesomwa na Waziri wake Charles Kitwanga . Waziri Kitwanga amesema..>>>  ‘ Wizara yangu imeendelea kupokea na kushughulikia malalamiko ya watumishi ndani ya vyombo Wizara pamoja na wananchi wanaolalamikia utendaji wa vyombo hivyo ’ ‘ Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Machi 2016 Wizara kupitia idara ya malalamiko 238 yanayohusu utendaji kazi wa vyombo vya kijeshi ndani ya Wizara kutoka kwa wananchi kupitia njia ya barua, simu, barua pepe, nukushi pamoja na mahojiano ’                ‘ Ili kuiwezesha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kutekeleza majukumu yake katika mwaka wa fedha 2016/2017, naliomba Bunge lipitishe makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya jumla ya Shilingi 864,106,290,105 ‘ ‘ Kati y

WAZIRI UMMY MWALIMU AMETAKA WATUHUMIWA WANAOONEKANA KATIKA VIDEO INAYOSAMBAA MITANDAONI WAKIMBAKA MWANAMKE WAFIKISHWE MAHAKAMANI

Image
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametaka watuhumiwa waliombaka mwanamke eneo la Dakawa mkoani Morogoro na video yake kusambazwa wafikishwe mahakamani haraka. Haya ndio maneno ya Waziri Ummy Mwalimu katika Akaunti yake ya Facebook: Ndugu zangu! Nimeiona dakika chache zilizopita video ya mwanamke akidhalilishwa na wanaume wawili (mashuka yanaonyesha eneo la Tiff Lodge Wami - Dakawa). Nakemea kwa nguvu zangu zote waliofanya kitendo hiki. Ni unyama uliopitiliza. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Hatuwezi kuuvumilia. Nimeshamuomba Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP wachukue hatua stahiki haraka. Pia nawaomba sana ndugu zangu msisambaze hizo video. Hiyo ni kuendelea kumdhalilisha huyo dada. Amebakwa na pia wamerekodi hilo tukio! Hii haistahimiliki na haivumiliki. Wanawake wote na wanaume wapenda haki na maendeleo ya wanawake tukemee kwa nguvu zetu zote unyama huu. SOMA MAELEZO YA MDADA ALIYELETEWA VIDEO HIYO  Jana usiku kaka yangu mmoja kaniletea video

kikis

Image
Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel na mpenzi wake Mose Iyobo pamoja na mtoto wao ‘Cookie’, wapo kwenye mchakato wa kuandaa filamu ya fimilia. Mose Iyobo ambaye pia ni dancer wa Diamond, ameiambia Bongo5 kuwa tayari wapo kwenye mchakato wa kauandaa kazi hiyo. “Kuna kazi za filamu zinakuja, mtaziona tu, tena familia yetu yote mtaiyona,” alisema Mose. “Unajua Cookie yupo kwenye mikono ya Mama muigizaji na Baba dancer, kwa hiyo ingawa mwenyewe anaweza kuchagua kwa kwenda lakini sisi ndiyo taa yake, kwa hiyo mambo yakikaa sawa mtamuona, Cookie, Baba yake na Mama yake kwenye filamu moja,” alisema Mose. Pia Mose alisema mtoto wao ‘Cookie’ ataonyeshwa kwa mara ya kwanza hadharani tarehe 21 mwezi huu baada ya kutimiza mwaka mmoja. Bongo5

RC PAUL MAKONDA ASEMA WANAWAKE NDIO CHANZO CHA UFISADI NCHINI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikagua machinjio ya Vingunguti baada ya kuzungumza na wananchi wa Kata ya Mnyamani Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto. Wananchi wa Kata ya Mnyamani Vingunguti wakiwa kwenye mkutano huo wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) Makonda (kushoto), akisalimiana na wananchi na viongozi wakati akiwasili kwenye mkutano huo. Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuzungumza na wananchi. Kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Mnyamani, Shukuru Dege, RC. Makonda na Meneja wa Benki ya Wananchi Dar es Salaam (DCB), Tawi la Ukonga, Das Ndazi. Meneja wa Benki ya Wananchi Dar es Salaam (DCB), Tawi la Ukonga, Das Ndazi (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu suala zima la utoaji wa mikopo. RC Makonda

COLLABO YA DIAMOND PLATINUMS NA CRIX BROWN YAIVA,CHECK HAPA MIPANGO YOTE LIVE

Image
On Another Move.... Diamond Platnum to make Collabo with Crix brown Good news to Bongo Flavor Artist from Tanzania Diamond Platnumz, After A big Television of MTV BASE Africa wrote this Message;@diamondplatnumz working on a future project with #chrisbrown,” wameandika., due to that message from Mtv it have brought many Understanding between Fans of Diamond Platnumz, Okay let us wait and see the next move from Bongo flavor artist from Tanzania Apart from Crix brown Diamond have got another new connection to Miley Cyrus and Shakira Miley Cyrus Shakira

Mzee Zahir Zorro alivyowakosha wakazi wa Mwanza

Image
Mwanamuziki wa siku nyingi nchini kwenye muziki wa dansi na rhumba, Zahir Ally Zoro (pichani) usiku wa kuamkia Jumamosi aliwaburudisha vilivyo wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kufanya shoo kali katika Ukumbi wa Kilimanjaro Hotel, Nyegezi. Ilikuwa ni shoo yake ya kwanza kwa mwaka huu 2016 ambapo wapenzi wa muziki wa dansi na rhumba walivutiwa na burudani iliyotolewa na Zorro hasa baada ya kuimba live wimbo uitwao “Beatrice” ambao ni wimbo uliofanya vizuri sana wakati anauachia akiwa na bendi yake ya Mass Media. Burudani kutoka kwa Zahir Ally Zorro ikiendelea. JJ Band kutoka Jijini Mwanza, pia walifanya shoo kali katika kumsindikiza Zahir Ally Zorro. Ilikuwa Shoo kali sana ikizingatiwa kwamba wakazi wa Jiji la Mwanza huwa wanaumiss muziki wa dansi/rhumba. Twiga Band kutoka Jijini Mwanza pia walimsindikiza Mzee Zahir Ally Zorro ambapo walifanya shoo nzuri na hivyo kuonyesha kwamba kwa siku za hivi karibuni Mwanza kutakuwa na bendi nzuri. Zahir

Maalim Seif atua Pemba, vurugu zaikutanisha CUF, SMZ

Image
Msafara wa Katibu CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ukilakiwa na wakazi wa Kisiwani cha Pemba Zanzibar wakati katibu huyo alipowasili kisiwani humo kwa ziara ya kikazi. Picha ya Mtandao Habari Kwanza Maalim Seif aliwasili visiwani humo jana saa 4 asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume na kulakiwa na mamia ya wafuasi wa chama hicho. Umati wa wananchi wakiongozwa na viongozi mbalimbali wa CUF akiwamo Naibu Katibu Mkuu, Nassor Ahmed Mazrui walijipanga kuanzia uwanjani hapo kuelekea Mji wa Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. Hali ilikuwa hivyo katika barabara zote za kisiwani humo mpaka katika Mji wa Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba ambako Maalim Seif alifikia, tofauti na alipokuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa SMZ alikuwa akifikia katika nyumba Serikali iliyopo Mkanjuni, Wilaya ya Chake Chake. Katika ziara hiyo ya kichama, kiongozi huyo anatarajiwa kuonana na viongozi wa wilaya nne za Pemba. Hiyo ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo kutembelea rasm

NE-YO Kugonga Shoo na Nguli wa Bongo Fleva Wiki Ijayo Mwanza

Image
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu(Katikati)akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, (hawapo pichani) wakati wa kutangaza baadhi ya wanamuziki nchini ambao watatoa burudani pamoja na Mwanamuziki nguli kutoka Marekani NE-YO, katika Uwanja wa (CCM) Kirumba jijini Mwanza kwenye tamasha la Jembeka na Vodacom Festival 2016.Wengine katika picha kushoto ni Mwakilishi wa NE-YO,E.Jay Mathews na Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambao ndiyo waandaji wa tamasha hilo, Dkt. Sebastian Ndege. Mwakilishi wa Mwanamuzi nguli toka nchini Marekani NE-YO, E.Jay Mathews (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangazwa kwa wasanii watakaotoa burudani pamoja na mwanamuziki huyo katika tamasha la Jembeka na Vodacom festival 2016, litakalofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wapili (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambao ndiyo waandaji wa tamasha hilo,Dkt. Sebastian Ndege, Mati

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA

Image
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London wakati alipowasili ubalozini hapo  kuzungumza na watanzania  waishio  nchini humo Mei  14, 2016.. Kushoto  ni  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri Marwa.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania  nchini Uingereza uliopo London kuzungumza na Watanzania Mei 14, 2016. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga na kushoto ni Jaji Mkuu wa Tamzania, Mohamed Othman.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio  nchini Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014.   Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri  Marwa . Baadhi ya Watanzania w

MASHINE ILIYOTUMBULIWA NA MAGUFULI UWANJA WA NDEGE, IMEANZA KUFANYA KAZI

Image
Hatimaye mashine iliyotembelewa na Rais JPM jana na kukutwa ikiwa mbovu au haifanyi kazi kwa ufanisi sasa inapiga mzigo kama kawaida na ikiwa chini ya uangalizi wa Maafisa Usalama wa Mamalaka ya Viwanja vya Ndege,Polisi na Afisa wa TRA. Mashine hiyo aina ya Rapscan inayotumika kukaguwa mizigo ya abiria wanaoingia Dsm kutoka Znz,na mikoa mingine ya Tanzania,mapori ya Utalii kama Selous,Mikumi,Sadani na Ruaha pamoja na wasafiri wa nje ya nchi.Ikumbukwe kuwa palikuwa na "uzembe" wa abiria wanaoingia nchini kupitia eneo la TB One,uwanja wa Terminal One una "Status" ya "General Aviation" kwa maana huruhusu kutua ndege za abiria,mizigo na kukodishwa,ambazo zinaweza kuwa za kutoka ndani ya nchi au nje ya nchi Kwa maana hiyo,Arrival ya Terminal One ni tofauti na ile ya Terminal Two,sababu ya Teeminal Two imegawanyika katika sehemu mbili ambazo ni "Domestic Arrival" na "International Arrival",hivyo ndeg

KIWANDA CHA BIA SERENGETI CHAPIGWA FAINI

Image
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akipata maelezo jinsi gani kiwanda hicho kinavyochuja maji kwa njia ya kisasa kabisa kwaajiri ya matumizi na uzalishaji kiwandani hapo. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina wa kwanza kushoto,katikati aliyevaa kanzu ni mbunge wa Temeke(CUF)Mh.Abdallah Mtolea wakitembezwa sehemu mbalimbali za kiwandani hapo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza. Naibu Waziri Wa nchi Ofisi ya Makamu wa raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Afisa mazingira wa kiwanda cha serengeti Bw.Simon Peter mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kiwandani hapo. …………………………………………………………………………………………………. Na Mwandishi wetu-Dar es Salaam Kiwanda cha bia aina ya serengeti kilichopo chang’ombe wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam kimepigwa faini ya shillingi za kitanzania millioni kumi na sita(16)na Baraza la usimamizi wa