MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI TUKIO LA KIHISTORIA LA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa risala yake ya ufunguzi kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Balozi Dk Asharose Mtengeti Migiro akitoa ushuhuda wake wa namna alivyoweza kufanikiwa katika maisha pamoja na vikwazo vingi kwenye mfumo dume, kwenye Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani jijini Dar es salaam jana jioni katika tukio lililoandaliwa na Kazi Services Ltd kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE) na kudhaminiwa na mdhamini Mkuu Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wakuu wa tukio hilo la kihistoria kupata kutokea kwa kina mama Shirika la Nyu