Posts

5 food favorites for the bachelorette!

Image
1.Stir chicken with Cashew nuts and mushrooms. This meal is exceptionally delightful because it is a combination of 3 delicious things – cashew nuts, mushrooms and chicken. The portions are enough for one and if you don’t have a huge appetite then you can save some for breakfast as well. It’s also a great meal to have because if you finish all the chicken and nuts, you’re left with its soup, which is a great evening drink – enjoyable during those cold rainy nights. It also goes well with some whole meal brown bread and melted butter. You can order the meal here  https://www.hellofood.co.tz/restaurant/t9mo/the-alcove-restaurant Being a single woman, I often find myself in the nerve-wracking situation being in the market not knowing what I want. It’s a constant debate in my head. Now this has a double meaning; the first one gives the impression that I’m out there in this big world, spoilt by choices as to whom to date or not; while the other one refers to being in a

WATAALAMU WA MAMBO YA SIASA WANAKWAMBIA KUWA ETI SLAA NI SHUJAA WA TAIFA

Image
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa. HOTUBA ya kwanza tangu ‘atoweke’ kwenye anga za siasa ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dokta Wilbroad Slaa, aliyoitoa juzi Jumanne juu ya kujiweka pembeni, imepokelewa kwa hisia tofauti huku wengi wakimuita kuwa ni shujaa wa taifa kutokana na ujasiri wake, Ijumaa lina kila kitu. Katika mahojiano yaliyowahusisha wananchi na wachambuzi mbalimbali wa mambo ya kisiasa kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam mara baada ya kiongozi huyo kukutana na waandishi wa habari, waliliambia Ijumaa kuwa, Dokta Slaa ni mtu wa aina yake ambaye taifa halijapata kuwa naye tangu kuondoka kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Mbowe.Ana msimamo Wengi walionesha kufurahishwa na misimamo ya kiongozi huyo tangu ajiingize kwenye masuala ya siasa, kwani siku zote amekuwa mstari wa mbele kuwatetea wanyonge, kuan

MAMA SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA TEMEKE

Image
Mgomea Mwenza wa Uraus kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya leo katika Kata ya Buza, jimbo la jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo) Wananchi wakimshangilia Mama samia kwenye mkutano huo.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete leo.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Mhe. Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo. Picha na Freddy MAro

Hivindivyo Watu Mbali Mbali Walivyosema Huko Facebook Baada ya Hotuba ya DR Slaa Leo

Image
'Chadema kama chama kilichokomaa na kinachojiandaa kushika dola hakina haja wala sababu ya kumjibu Dr. Wilbrod Slaa. Machungu yake tunayatambua ila kwasasa hatuna jinsi ni lazima tusonge mbele kuitoa hii nchi kwenye umasikini. Juhudi na kazi zake katika Chadema tunayatambua, tunaziheshimu na tutazienzi. Kwaheri Dr. Wilbrod Slaa   ' By Renatus Kyakalaba " Sitashangaaa kuona akili ndogo wakianza kumtukana Dr.Slaa,,,baada ya hii hotuba yake inayoweka Black and White Out,,,,, "  By Baraka Samson Chipanjilo ' Sikuwahi mpinga Dr huyu toka nianze kumuona kwenye siasa, Leo kwa mara ya kwanza nimelisikia neno rahisi sana LA kuwa ukawa wanabeba watu kwenye malori na mabasi, cheap statement! Hili nakupinga Hakuna aliyefika uwanjani usiku huo uliosema ila kulikuwa na walinzi wa jukwaa na vyombo kulikuwa na daladala mbili zilikodiwa na wafuasi kwa mapenzi yao, Dr please mdomo usiuruhusu useme yote maneno yana kawaida ya kama yakiwa marefu sana huwa baadh

Tundu Lissu: Dr. Slaa ni Muongo, Watanzania Mpuuzeni! Maneno Yote Tatizo ni Urais...

Image
Akihojiwa na redio station mh.Lissu anasema ameshangaa sana maneno aliyoyasema leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari. Anasema Dr.Slaa alikwisha kuteuliwa kuwa mgombea urais mwezi January na mwezi April akathibitishwa na kamati kuu, Anaendelea kusema ameshangaa Dr.Slaa kusema Gwajima ndo alimleta Lowassa jambo ambalo siyo kweli kabisa, yeye Dr. Slaa mwezi wa tano ndo alianza kumtafuta Lowassa kwa kumtumia Gwajima Anasema wakati Lowassa anapokelewa tarehe 27 July kwenye Kamati Kuu, Dr.Slaa hakulala nyumbani aliporudi nyumbani mchumba wake alimtupia mabegi nje na DR. alilala kwenye gari. Anasema dr. slaa asiwadanganye watanzania tatizo ni urais na mchumba wake. Anasema ameacha siasa tangu siku ya kikao cha kamati kuu alipoandika barua ya kujiudhuru kwa nini amepokea mshahara wa mwezi huu?? kwanini anaendelea kutumia gari la chama la katibu mkuu na nyumba aliyonunuliwa na chama muulizeni awaambie kwanini anaendelea kunufaika na hayo yote toka CHADEMA??

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 02.09.2015

Image

MAGAZETI YA UDAKU LEO TAREHE 2/9/2015

Image
Posted by JAFE MALIBENEKE at Wednesday, September 02, 2015

SERIKALI YASEMA HAKUNA DENI HALALI LA WALIMU AMBALO HALIJALIPWA.

Image
Na Magreth Kinabo- maelezo SERIKALI imesema kwamba imeshalipa madeni ya walimu  ya kiasi cha Sh. bilioni 5.7 ambayo yaligungulika kihalali kati ya Sh. bilioni 19.6 zilizokuwa zinadaiwa kudaiwa,hivyo  kwa  sasa hakuna  malalamiko mwalimu ambaye hajalipwa. Aidha Serikali imependekeza kwamba   halimashauri  zilizowasilisha  madeni ambayo si  halali, yenye shaka, au watumishi wasio na madai, madai ya watumishi wasio na madai, madai ya watumishi waliokwishalipwa na waliowasilisha madai ya mishahara kama madai yasiyo ya mishahara wawajibishwe. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya  Fedha, Dkt.  Servacius Likwelile  wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Dkt.   Likwelile   alisema hayo wakati akitoa taarifa  ya  uhakiki wa madeni ya  walimu wa shule za msingi, sekondari na  Watumishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya  Ufundi Stadi.  Alisema awali wizara yake ilipokea madai ya

LOWASSA ACHANYA MBUGA,JANA ATIKISA RUVUMA

Image
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma.  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi, Ruvuma. Maelfu ya wakazi wa Songea wajitokeza kumsikiliza Mgimbea wa Chadema, Edward Lowassa. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia n

MAMA SAMIA ACHANJA MBUNGA LEO CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA

Image
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo. Shamrashamra za ngoma zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo. Shamrashamra za mapokezi zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma. Mmoja wa wajumbewa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Ummy Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Sami