Posts

HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MTU ALIMTIZAMA NAKUFURAHI

Image

DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HISTORIA ZARI ALL WHITE PARTY SHOW!

Image
Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa. Malkia wa Taarab nchini, Khadija Kopa akiimba sambamba na Diamond Wimbo wa Nasema Nawe. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta akiwarusha mashabiki waliofika katika Usiku wa Zari All White Party. Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani. Mashabiki wakijiachia. Diamond Platnumz akizikonga nyoyo za mashabiki. Ray Kigosi na Mama Rolaa nao ndani. Diamond akicheza na mashabiki wake. Nyomi iliyohudhuria shoo hiyo.

HUYU NDO MSANII ALIYEWASHANGAZA WENGI KWA VAZI LAKE LA JUU TU BILA KUVAA NGUO YA CHINI

Image
We all know when actress Faiza Ally decides something it must be .....and this is what she wore to Zari's All White Party at Mlimani City this night. only shirt.

BREAKING NEWZZ......MSANII ALI KIBA AVAMIWA NA NA MAJAMBAZI NYUMBANI KWAKE KUNDUCHI

Image
Hivi punde tumepokea habari ya kusikitisha na kushtusha, msanii wa Bongo Fleva @officialalikiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Alikiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe alipo Alikiba, hata hivyo hawakufanikiwa kumpata na wakaondoka muda mfupi kabla ya polisi hawajafika nyumbani kwa staa huyo baada ya kupigiwa simu na majirani. Ikiwa utakuwa na taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwa majambazi hao, unaweza kutoa taarifa katika kituo cha polisi ulicho karibu nacho  

IDRIS WA BBA NA MCHUMBA WAKE NDANI YA ZARI WHITE PARTY MLIMANI CITY

Image

HIVI NDIVYO UKUMBINI ULIVYOLIPUKA MARA BAADA YA DIAMOND NA ZARI WALIVYO WASILI ...NA NYOMI YA KUFA MTU

Image

CHEKI DIAMOND AKIELEKEA UKUMBINI MLIMANI CITY AKIWA NDANI YA GARI LA KIFAHARI

Image

EXCLUSIVEE....CHEKI UMATI WA WATU WALIO JITOKEZA MLIMANI CITY KWENYE SHOW YA ZARI WHITE PARTY

Image

PICHA KUTOKA MLIMANI CITY ZARI WHITE PARTY LIVEE

Image
MAKONDA        TID

BOB JUNIOUR ALIVYO TIMBA ZARI WHITE PARTY USIKU HUU MLIMANI CITY

Image

TAZAMA JINSI RAY NA STEVE NYERERE WALIVYO VAA WHITE YANI NI BALAA MLIMANI CITY.

Image

NEY WA MITEGO ALIVYO VAA WHITE KATIKA PARTY YA ZARI NA DIAMOND KAPENDEZA MBAYA

Image

CHEKI JINSI HUDDAH MORE KUTOKA KENYA ALIVYO VAA HIYO WHITE YAKE NI BALAA HUKO MLIMANI CITY

Image

HIVI NDIVYO WASANII RECHEL NA LAMECK DITTO WALIVYO TOKELEZEA KATIKA ZARI WHITE PARTY

Image

HIVI NDIVYO CAPTAIN GADNA HABASH ALIVYO VALIA KATIKA ZARI WHITE PARTY...KOFIA KAMA BAHARIA WA MELI.

Image

LIVEE KUTOKA MLIMANI CITY ....WATU WAANZA KUMIMINIKA UKUMBINI KATIKA PARTY YA ZARI ...UKUMBI UNAPENDEZA HASWAA

Image

ANGALIA PICHA MAMA YAKE ZARI NAYE NDANI YA DAR KATIKA ZARI WHITE PARTY

Image
Zari picked up her mum and her sisters from Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam cruising Diamond’s black SUV BMW with the private plates Platnumz. Zari’s mum was excited to meet Diamond Platnumz, but she was even more excited to see Zari’s baby bump. Zari and Diamond hooked up late last year and it wasn’t long before she got pregnant with her fourth child. She has three boys from a previous relationship with South African based self-styled Rich Gang member Ivan Ssemwanga. Zari and her sisters examining her baby bump. The party is the biggest social event in the whole of Tanzania this evening and it is to be held this evening at Mlimani City Conference Centre. Zari’s Ugandan friends like Kim Swagga and Brian Ahumuza are in TZ for the party.

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Image
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015. Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe kuhamasisha wafanyakazi. Mpaka sasa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linaendelea vizuri katika Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara.  Wafanyakazi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) wakiwa katika maandamano kusherekea siku ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI huku wakiwa na bango lenye ujumbe wao mahususi kuwahamasisha wananchi kushiriki kujiandikisha na wapige kura kuchagua kiongozi bora.  Wafanyakazi wa Mamlaka  ya anga nao  hawakuwa nyuma na mabango yao.  Wafanyakazi wa Ofsi ya Rais - Ikulu...  Wafanyakazi wa Shirik