Posts

BOB JUNIOUR ALIVYO TIMBA ZARI WHITE PARTY USIKU HUU MLIMANI CITY

Image

TAZAMA JINSI RAY NA STEVE NYERERE WALIVYO VAA WHITE YANI NI BALAA MLIMANI CITY.

Image

NEY WA MITEGO ALIVYO VAA WHITE KATIKA PARTY YA ZARI NA DIAMOND KAPENDEZA MBAYA

Image

CHEKI JINSI HUDDAH MORE KUTOKA KENYA ALIVYO VAA HIYO WHITE YAKE NI BALAA HUKO MLIMANI CITY

Image

HIVI NDIVYO WASANII RECHEL NA LAMECK DITTO WALIVYO TOKELEZEA KATIKA ZARI WHITE PARTY

Image

HIVI NDIVYO CAPTAIN GADNA HABASH ALIVYO VALIA KATIKA ZARI WHITE PARTY...KOFIA KAMA BAHARIA WA MELI.

Image

LIVEE KUTOKA MLIMANI CITY ....WATU WAANZA KUMIMINIKA UKUMBINI KATIKA PARTY YA ZARI ...UKUMBI UNAPENDEZA HASWAA

Image

ANGALIA PICHA MAMA YAKE ZARI NAYE NDANI YA DAR KATIKA ZARI WHITE PARTY

Image
Zari picked up her mum and her sisters from Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam cruising Diamond’s black SUV BMW with the private plates Platnumz. Zari’s mum was excited to meet Diamond Platnumz, but she was even more excited to see Zari’s baby bump. Zari and Diamond hooked up late last year and it wasn’t long before she got pregnant with her fourth child. She has three boys from a previous relationship with South African based self-styled Rich Gang member Ivan Ssemwanga. Zari and her sisters examining her baby bump. The party is the biggest social event in the whole of Tanzania this evening and it is to be held this evening at Mlimani City Conference Centre. Zari’s Ugandan friends like Kim Swagga and Brian Ahumuza are in TZ for the party.

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Image
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015. Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe kuhamasisha wafanyakazi. Mpaka sasa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linaendelea vizuri katika Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara.  Wafanyakazi wa Tume ya Uchaguzi (NEC) wakiwa katika maandamano kusherekea siku ya Wafanyakazi Duniani MEI MOSI huku wakiwa na bango lenye ujumbe wao mahususi kuwahamasisha wananchi kushiriki kujiandikisha na wapige kura kuchagua kiongozi bora.  Wafanyakazi wa Mamlaka  ya anga nao  hawakuwa nyuma na mabango yao.  Wafanyakazi wa Ofsi ya Rais - Ikulu...  Wafanyakazi wa Shirik

Breaking News: Marekebisho Yamekamilika.......Ajira za Walimu WAPYA 2015 Zimetoka Upya. Majina Yako hapa.

Image
  A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya   Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:-   i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 11,366;   ii. walimu wa stashahada 4,151 na shahada 12,490 kwa ajili ya shule za sekondari   iii. mafundi sanifu maabara 264 kwa ajili kusimamia maabara na kuandaa masomo ya sayansi kwa vitendo katika shule za sekondari B: Utaratibu Ajira Mpya kwa Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Kila mwajiriwa mpya anatakiwa kuzingatia yafuatayo:-   i. walimu wenye sifa waliohitimu mafunzo kwa mwaka wa masomo 2013/14 wamepangwa pamoja na walimu wa sekondari wa masomo ya sayansi na hisabati waliohitimu miaka ya nyuma na wameomba kuajiriwa;   ii. kuripoti kuanzia tarehe 01 Mei hadi 09 Mei 2015 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kuajiriwa na kupangwa vi

HUU NDO UJUMBE ALIO KUTANA NAO RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI

Image

DIAMOND, ZARI WAFANYIWA EXCLUSIVE INTERVIEW CLOUDS TV/RADIO

Image
Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV. Diamond akimuweka sawa mpenzi wake. Mtangazani mwenye jina kubwa wa Radio Clouds FM, Gerald Hando 'Mzee Mnoko' (kushoto) na Edson Kamoga wa 360 ya Clouds TV (kulia) wakiendelea kufanyia mahojiano Diamond na Zari. Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akisoma meseji za mashabiki waliokuwa wakifuatilia mahojiano hayo. Baadhi ya wadau wa Clouds TV, Radio (kulia) wakipata kifungua kinywa kilichokuwa kimeandaliwa. P Diamond na Zari wakiwa katika pozi na wadau wa Clouds TV, Radio baada ya mahojiano. Wakati wakitoka. Wadau wakiwa kwenye gari la Diamond wakati akijiandaa kuondoka mahali hapo. (PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

KIONGOZI WA WAASI WA ADF ATIWA MBARONI NCHINI TANZANIA

Image
Kiongozi wa waasi wa ADF, Jamil Mukulu (menye shati jeupe). Waasi wa Allied Democratic Forces  (ADF). Raia wakikimbia mapigano dhidi ya ADF. JEESHI  la polisi nchini limefanikiwa kumtia mbaroni kiongozi wa kundi la waasi wa Allied Democratic Forces  (ADF) wa nchini Uganda,  Jamil Mukulu,  ambaye amekamatiwa nchini Tanzania. Mukulu  aliyekuwa akiongoza waasi hao katika mauaji wa halaiki katika nchi za Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tangu miaka ya 1990, alikamatwa nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi huu akitokea mashariki mwa DRC. Vyombo vya habari nchini Uganda vimethibitisha kutiwa mbaroni mtu huyo ambaye kundi lake linatuhumiwa kufanya mauaji ya watu 300 tangu mwezi Oktoba  mwaka jana hadi sasa huko DRC. Mukulu ametiwa mbaroni kwa ushirikiano wa polisi wa Tanzania na wenzao wa Uganda. Hata hivyo,  jeshi la Uganda limesema kuwa haliwezi kuthibitisha kuwa mtu aliyetiwa mbaroni ni Jamil Mukulu hadi atakapofikishwa nchini humo na kuchukuliwa vipimo vya

ACHENI RUSHWA TUISAIDIE NCHI IPATE MAENDELEO, MAGUFULI.

Image
Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akizungumza katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa wizara Ujenzi katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.  Mhandisi Mussa Lyombe akizungumza leo jijini Dar es Salaam,katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya ujenzi.  Baraza la wafanyakazi wa wizara ya ujenzi waliohudhuria katika ufunguzi wa baraza hizo leo jijini Dar es Salaam.  Picha ya pamoja ya waziri wa Ujenzi pamoja na Baraza la wafanyakazi wa wizara ya ujenzi. Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii WAZIRI wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli amewataka wafanyakazi katika wizara hiyo kuacha rushwa na badala yake wafanye kazi kwa weledi katika kusaidia nchi kuendelea katika ujenzi wa barabara. Magufuli ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akifungua Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo,amesema wizara hiyo imekuwa na mafanikio kutukana na wafanyakazi kujituma katika miradi mbalimbali

ISIS WAENDELEA KUFANYA MAUAJI YA KUTISHA HUKO SYRIA NA IRAQ

Image
Mmoja wa watuhumiwa wa uchawi akiwa tayari kuchinjwa na Kundi la ISIS huko Raqqa, Syria. Mtuhumiwa mwingine wa uchawi naye akiwa tayari kuchinjwa na ISIS. Mpiganaji wa ISIS akinyanyua tofali la zege kumpiga mmoja wa wanaume waliokamatwa kwa kuua wanawake. Adhabu ya kuwapiga mawe wanaume waliokamatwa kwa mauaji ya wanawake watatu ikiendelea huko Iraq Kabla ya kuuawa watuhumiwa hao walisomewa mashtaka yao na mmoja wa wapiganaji wa ISIS. Picha ya mashoga wawili waliowekwa mitandaoni na Kundi la ISIS kabla ya kuwapia mawe hadi kufa. Mashoga hao wakipigwa mawe hadi kufa na wapiganaji wa ISIS huko Syria.WAPIGANAJI wa ISIS wamefanya mauaji ya kutisha kwa mateka wawili wa kiume waliotuhumiwa kuwaua kwa kuwapiga virungu wanawake watatu huko nchini Iraq. ISIS waliwapiga watuhumiwa hao kwa matofali ya zege kichwani hadi kufa ikiwa ni adhabu kwa kitendo chao cha kuiba na kuwaua wanawake watatu. Tukio hilo limefanyika katika Mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq. Katika tukio lingin

UKAWA: UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE

Image
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba (kushoto)  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. Wa pili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willbroad Slaa (kulia). VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimetoa msimamo wao juu ya njama za kuahirisha Uchaguzi Mkuu unaotakiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Ukawa imesisistiza kwamba kuahirisha kwa Uchaguzi Mkuu huo ni sawa na kumuongezea Rais Jakaya Kikwete na Chama chake cha CCM muda wa kuendelea kuitawala Tanzania. Ukawa imesema jaribio lolote la kuahirisha Uchaguzi Mkuu kwa kisingizio chochote kile litakuwa ni kinyume na katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Msimamo wa UKAWA unafuatia kumalizika kwa kikao cha Viongozi Wakuu wa Vyama vinavyounda umoja huo kilichofanyika katika Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF) jijini Dar kati ya tarehe 28 na 29 Aprili mwaka huu. Akieleza msima