Posts

HII NDIO SABABU YA WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA

Image
Wanaume wanapendelea wanawake wenya makalio makubwa Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ? Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya . Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma. Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa. Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi. Kim Kardashian Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi. Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio

MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUPIZI HARAKA, NA KUSHINDWA KURUDIA RAUNDI YA PILI

Image
Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume.  Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani. Sehemu kubwa ya malalamiko ya wanaume katika sakata hili yanagusa zaidi maeneo matatu ambayo ni KUKOSA MSISIMKO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOSA KABISA NGUVU , huku kufika kileleni mapema kukihusishwa pia kama pacha wa janga hili ambalo linawasumbua zaidi wanaume, ingawa na wanawake wanakabiliwa na sehemu ndogo ya tatizo hili. Hata hivyo uchunguzi wa hivi karibuni uliowahusisha wanaume wanaofika kliniki au kupata tiba za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume umeonesha kuwa, sio wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia zinazowafanya wakose nguvu za kiume, isipokuwa wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi ambayo wahusika wanaweza

TAZAMA TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR!

Image
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando akienda sawa Mwenyekiti wa kwaya ya vijana Kijitonyama Shedo a.k.a MC Foma Foma hapa alinyanyua mikono baada ya vyombo vya muziki kukata wakati Rose Muhando akicheza. Mwandishi wetu aliwakuta Munishi na Upendo Nkone wakiwa sehemu moja…. Kuna Siasa Katika Tamasha la Pasaka?,Siku ya Jana Katika Tamasha la Pasaka wananchi walitaarifiwa kuwa Mwanamuziki wa Injili Munishi aliyeimba wimbo wa “Malebo”. Pamoja na Makelele ya watu kudai Munishi apande jukwaani jambo hilo lilipotezewa mazima mazima. Mpaka tamasha linaisha saa 3 Usiku Mwanamuziki wa Injili aliyekuwa Backstage alikuwa ni Munishi Pekee. Mwandishi wetu alitaka kujua je! kutokuimba kwake kunatokana na ugomvi wake na CCM na tukiwa tunajua fika Msama ni Supporter wa Chama Tawala? Pengine kuimba kwake siku ya jana kungemuharibia Msama pengine Munishi angesimama na Kuongea maneno yake against CCM mbele ya Mhe. Membe kungechafua hali ya hewa uwanjani nahisi. Ugomvi wa