TAZAMA TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR!




Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando akienda sawa Mwenyekiti wa kwaya ya vijana Kijitonyama Shedo a.k.a MC Foma Foma hapa alinyanyua mikono baada ya vyombo vya muziki kukata wakati Rose Muhando akicheza. Mwandishi wetu aliwakuta Munishi na Upendo Nkone wakiwa sehemu moja….
Kuna Siasa Katika Tamasha la Pasaka?,Siku ya Jana Katika Tamasha la Pasaka wananchi walitaarifiwa kuwa Mwanamuziki wa Injili Munishi aliyeimba wimbo wa “Malebo”.
Pamoja na Makelele ya watu kudai Munishi apande jukwaani jambo hilo lilipotezewa mazima mazima. Mpaka tamasha linaisha saa 3 Usiku Mwanamuziki wa Injili aliyekuwa Backstage alikuwa ni Munishi Pekee.
Mwandishi wetu alitaka kujua je! kutokuimba kwake kunatokana na ugomvi wake na CCM na tukiwa tunajua fika Msama ni Supporter wa Chama Tawala? Pengine kuimba kwake siku ya jana kungemuharibia Msama pengine Munishi angesimama na Kuongea maneno yake against CCM mbele ya Mhe. Membe kungechafua hali ya hewa uwanjani nahisi.

Ugomvi wa Msama na Munishi ni rahisi kusovika kuliko wa Msama na Watawala. Pole Munishi Ikafika time Mh Benard Membe, Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania kutoa tuzo kwa vyombo vya habari na radio kutokana na mchango wao katika matamasha ya Msama. Christina Shusho akihojiwa na mwandishi wa CloudsTv Bw.Samuel Sasali. Big Boss wa Praise Power Radio George Mpela akipokea tuzo kwa Mh.Benard Membe Magupa akipokea tuzo kwa niaba ya Chanel Ten Mh.Benard Membe, Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania akapewa tuzo na Mchungaji Mwakibolwa Keki ikakatwa……. Mh.Benard Membe akimlisha Keki Msama Cheupe Mrs Msama naye akalishwa keki na Mh.Benard Membe Safu ya wapigaji vyombo wa Dr.Rebecca Malope…. Mapozi ya ubora wake!! Waite wazee wa mwendo akili kidoogoo Kijitonyama Uinjilisti.Hawa ndio waimbaji walio fanya kweli uwanja mzima ukapiga keleleeeeee hatariiiiiiii MD wa Kiango Media Samuel Sasali naye akupitwa na udaku simu Kiongozi wa Kijitonyama Shedo akiteta jambo na Alex Msama baada ya kumaliza kuimba…..mipango ya fitina mwee!! John Lisu na timu yake walikuwepo mdau wangu. Eti wanamuita mzee wa pamba Emmanuel Mbasha akicheki jambo kwa wajina wangu Jimmy. Dr.Rebecca Malope kama kawa alifanya zaidi ya jana….huyu Mama anajua. Mpiga picha akapigwa picha Mbise wa Wapo Radio fm Upendo Nkone na Rose Muhando wakimpa support Rebecca Malope.
Picha zifatazo hapo chini ni Solly Mahlangu toka South Africa alipofanya kweli siku ya jana….. Waimbaji wa Kijitonyama Uinjilisti wakifatilisha vitendo vya Solly Mahlangu. Nimwendo wa kuzungukaaaaa. Solly akiwa na watoto wake pamoja na mkewe.
-Via unclejimmytemu

Comments

Popular posts from this blog