Posts

ALIYOJIRI BAADA YA ASKOFU GWAJIMA KUPEWA DHAMANA Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia habari hiyo. Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao baada ya kupatiwa dhamana waumini hao wakiwa kituoni hapo. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo mchana. Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua Askofu Gwajima.

Image
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia  habari hiyo. Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao  baada ya kupatiwa dhamana waumini hao wakiwa kituoni hapo. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo mchana. Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua  Askofu Gwajima.  (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za ja

BREAKING NEWS-KIKAO CHA BUNGE CHAVUNJIKA,NI KUHUSU KURA YA MAONI Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

Image
Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

MAGUFULI AFANYA UKAGUZI WA MV DAR ES SALAAM Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam. Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo Mkoani Pwani.

Image
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam. Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo Mkoani Pwani.Credit:Father Kidev

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo. Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro. haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya watu, but ukweli huu umegundulika leo baada ya msanii diamond the platnumz na mke wake zari kuhidhuria kwenye msiba wa abdul bonge siku ya mazishi leo jijin morogoro, mtandao wa makubwa haya blog unaungana na diamond the platnumz na kukubali kweli ile misiba ya nyuma alikuwa haudhurii kwa sabab ya safari zake za kikazi za nje ya nchi, soo wadau wote wa musiki huu ndio wakati wakuondoa tofauti zetu na kuungana wote kwenye misiba kama hii, na kutakiana maisha mema peponi amin rest in peace abdul bonge

Image
  Diamond  Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo. Diamond  Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge  Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro. haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya watu, but ukweli huu umegundulika leo baada ya msanii diamond the platnumz na mke wake zari kuhidhuria kwenye msiba wa abdul bonge siku ya mazishi leo jijin morogoro, mtandao wa makubwa haya blog unaungana na diamond the platnumz na kukubali kweli ile misiba ya nyuma alikuwa haudhurii kwa sabab ya safari zake za kikazi za nje ya nchi, soo wadau wote wa musiki huu ndio wakati wakuondoa tofauti zetu na kuungana wote kwenye misiba kama hii, na kutakiana maisha mema peponi amin rest

Bedroom Tips Girls Secretly Want a Guy to Do

Image
1.Openness Every woman wants to reveal her partner her deepest naughty fantasies, but not every woman can entrust her secret dreams. That’s why a man must be totally open in bed. The more open a guy is about his intimate desires, the more open a woman will be with hers. 2. Listening To be heard is one of those things women always want to get from guys, even under the sheets. We know exactly what we love doing in bed. Guys should just listen to us and respond to our guidance on how to satisfy us best. Of course, their efforts will be rewarded. 3. Passion There is no doubt women dream about all sorts of romance, candles, flowers, gentle words etc. But men should not forget about passion as well, raw passion. Sometimes the best way to satisfy a woman is to just take her, kiss her hard, and make no apologies for how desperately he needs all of you. 4. Aggressiveness We, women, are quite enthusiastic about aggressive sex, aren’t we? Even a little roughing u

HATIMAYE DIAMOND AONYESHA NYUMBA YAKE IKIWA TAYARI IMEKAMILIKA NDANI NA NJE.

Image

ZITTO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUJIUNGA ACT

Image
Ndugu Waandishi wa habari, wanachama na wapenzi wa ACT-Wazalendo na wote mliohudhuria mkutano huu, Kama mnavyojua siku ya Ijumaa tarehe 19 Machi 2015 ilikuwa siku yangu ya mwisho kuhudhuria bunge la kumi linaloendelea Mjini Dodoma.  Baada ya kung’atuka ubunge kufuatia kukoma uanachama wangu wa chama nilichotumia kuingia Bungeni, wengi mliniuliza ‘what is next?’ Sasa ninapenda kuwataarifu, kama ambavyo baadhi yenu tayari mnajua, kwamba jana siku ya Jumamosi tarehe 20 Machi 2015 nilijiunga rasmi na Chama cha ACT - Wazalendo na kukabidhiwa kadi na Mwenyekti wa Tawi la Tegeta. Hii ilikuwa ni moja kati ya siku muhimu kabisa katika maisha yangu ya kisiasa. Na kwa leo kwa kweli nisingependa nizungumzie mgogoro uliokuwepo kati yangu na viongozi wangu wa chama cha zamani wala kile kilichotokea Bungeni. Hayo yote mnayajua, yameandikwa sana na yameshapita. Sasa ni wakati wa kusonga mbele. Rais Kwame Nkrumah alipata kusema "forward ever, backward never". Na ka

NEWZZ....MTANGAZAJI MAARUFU WA TV ACHOMWA VISU NA KUUWAWA HAPOHAPO

Image
One of Silverbird’s Staff with the name –  Aishat Noble Mustapha  was stabbedto death near her home.  Aishat who had driven home from her work around 8pm got stabbed multiple times by her killer. According to a report by Silverbird TV, the police have confirmed the arrest of a suspect after getting useful  statements from neighbours. The suspect is someone known to her

MTOTO WA MIAKA 3 BONGO ANAYEFUNDISHA SEKONDARI

Image
  MTOTO Nice Valentino mwenye umri wa miaka mitatu na miezi tisa, ambaye ana vitu vingi vya kushangaza, ikiwemo kufundisha wanafunzi wa shule za sekondari, ameibuka ndani ya mjengo wa Global Publishers Ltd, Bamaga-Mwenge akiwa na baba yake mzazi na kuanika maajabu saba ya kushangaza, Risasi Jumamosi linakujuza. Mtoto Nice Valentino akikokotoa maswali aliyopewa na waandishi. AJABU LA KWANZA Kwa mujibu wa baba mzazi wa mtoto huyo, Valentino Swenya, aliyezaliwa katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Nice alianza kuandika maneno na namba za Kiingereza akiwa na umri wa miezi sita, jambo ambalo liliwashangaza sana. AJABU LA PILI Kadiri alivyokuwa akikua, ndivyo uwezo wake wa kuzungumza kiingereza ulivyozidi, lakini katika hali ya kushangaza, Nice hafahamu kabisa kuzungumza Kiswahili, lugha ya wazazi wake na anapolazimika kuongea, basi huongea kwa shida kama inavyowatokea wageni wanaojifunza lugha hiyo ya taifa

RAPPER FID Q APEWA TUZO YA `CHAMPION NA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA EU

Image
Umoja wa nchi za ulaya EU wampa tuzo Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ya CHAMPION of the 2015 Europe Year for Development in Tanzania ,Pia Fid Q alifunguka kwenye Amplifaya ya Cloudsfm nakusema amefarijika sana kupata Tuzo hiyo kwani itampa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii zaidi. Pia Fid Q alisema amepata Tuzo hiyo kutokana na kujitolea kusaidia vijana katika jamii ili waache miadarati na japo kuwa darasa kwa sasa limefungwa ila anampango wa kulifungua tena upya darasa hilo. (P.T)

MAELEZO BINAFSI YA MHE. ZITTO ZUBEIR KABWE, MB KUHUSU UANACHAMA WAKE KATIKA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) NA HATMA YAKE KAMA MBUNGE KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Image
1. Mheshimiwa Spika, ninakushukuru sana kwa fursa uliyonipa kutoa maelezo yangu binafsi katika Bunge lako Tukufu leo. Ninatoa maelezo haya kwa mujibu wa Kifungu cha 50 (1) cha Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Aprili, 2013 kinachosema kwamba, “Mbunge yeyote anaweza, kwa idhini ya Spika, kutoa maelezo binafsi Bungeni yanayolenga kufafanua kuhusu jambo lolote linalomhusu na lililoifikia jamii” 2. Mheshimiwa Spika, Nilijiunga na Bunge lako Tukufu kwa mara ya kwanza Mwaka 2015 nikiwa na lengo kuu la kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na kutetea maslahi ya Watanzania hususani Wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na Mkoa wa Kigoma, na Watanzania kwa ujumla. Nilichaguliwa na wananchi wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wananchi wa Kigoma Kaskazini walinichagua tena Mwaka 2010 kupitia tiketi ya CHADEMA. 3. Mheshimiwa Spika, kupitia fursa ya ubunge niliyopewa na wananchi wa Kigoma Kaskazini k

UKWELI JUU YA UTAFITI KUHUSU UKUBWA WA UUME SOMA KWA UMRI WA 21+

Image
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la. (1) Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu. (2) Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa. (3) Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2). (4) Unapofikiria kuwa uume wako ni mdogo mara nyingi unakuwa hujakosea. (5) Wanawake wengi hujali kuhusu ukubwa wa uume unapokuwa haujasimama. (6) Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kushika uume wa mwanaume unapokuwa umesimama na pia pale ambapo haujasimama. (7) Wanawake wanaojua mapenzi hupendelea kunyonya uum

BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI

Image
Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo.Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya. Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48.

EXCLUSIVE! KUMBE MUME WA BABY J AMEFUNGWA…

Image
Baby J ni miongoni mwa mastaa waliozaliwa mwezi wa tatu akiungana na mastaa wenzake  wakiwemo Bob Junior, Linah, Jokate, Menina, Peter Msechu na wengineo.Sasa hapa nakusogezea hii stori inayomuhusu msanii Baby J ambaye amefunguka kwenye Amplifaya ya Clouds FM kuhusiana na mume wake kufungwa pamoja na suprise ambayo hatoisahau katika maisha yake. “ …Baada ya kufanya suprise kubwa sana kwenye birthday yangu alipoamua kunivisha pete niliona kitu kubwa sana tofauti na vitu vingine, niliamini kweli hivi ni vitu nilivyokuwa naviwaza katika maisha yangu kwamba ipo siku mimi naweza nikawa mke wa mtu au nikapata mtu akanipenda kwa dhati, kwa hiyo kile kitu nilivyokiona pale nilikuwa nimefurahi sana na nilikuwa sijaamini… “ Millardayo: … Kwa hiyo uliolewa… ? Baby J: “ …Yes niliolewa lakini bahati mbaya siko naye baada ya kuoana maana yeye alikuwa anaishi Marekani lakini amepata matatizo, amekamatwa yuko mikononi mwa polisi hukohuko Marekani kwa kosa eti la madawa lakin

WEMA SEPETU AGOMEA KAJALA KULISHWA KEKI UKUMBINI!

Image
Imelda mtema KATIKA kile kinachoonekana kuwa ugomvi wao bado ni mbichi kabisa, nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu Jumanne wiki hii akiwa ni mshehereshaji katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wa mtangazaji maarufu, Zamaradi Mketema, aligoma kumtaja Kajala Masanja kama mmoja wa watu waliotakiwa kula keki, Ijumaa lina mkanda kamili. Nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Kwenye sherehe hizo zilizofanyika nyumbani kwa mtangazaji huyo jijini Dar, baada ya mambo mengi kufanyika, ndipo ulipofika wakati wa mastaa kibao walioalikwa kuitwa majina yao kwa ajili ya kwenda kupewa keki katika meza kuu. Mshangao mkubwa ulikuja wakati Wema, akitangaza kwa mbwembwe aliporuka kutaja jina la Kajala aliyekuwa akionekana dhahiri na kumtaja aliyemfuatia, jambo ambalo lilizua minong’ono kutoka kwa waalikwa wengine kiasi kwamba mmoja wao alichomoka na kwenda kumnong’oneza Wema juu ya kitu hicho na kumtaka akirekebishe. Nyota wa filamu Bongo, Kajala Masanja. “Jamani mtaniudhi sasa

MTOTO MZURI MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU!

Image
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick.Na Musa Mateja Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa lililopo eneo hilo nyeti. Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo hilo ndilo lilisababisha urembo huo.   Akipiga stori na Ijumaa, Menina alisema ni kweli alikuwa na baka eneo hilo na katika kumfanya aendelee kuwa na mvuto, alitumia mbinu hiyo ya kuziba kwa tatuu.