Posts

AISHA MADINDA AMEUAWA, MWANAE ASIMULIA MAMBO MAZITO

Image
Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi sindano hizo na rafiki yake… Stori:waandishi wetu MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi. Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Aisha alidungwa kwa makusudi

KAMATI MPYA ZA SIMBA SC.

Image
     

PICHA ZA SHOW YOTE YA DIAMOND NA ZARI WALIVYOFUNIKA UGANDA JANA

Image
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Guvnor nchini Uganda. Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' (kulia) akiwa na Zari au 'The Boss Lady' kabla ya kuelekea katika shoo. The Boss Lady akiwa katika pozi. Diamond Platnumz na The Boss Lady wakitoka hotelini. ... Wakipanda gari. Umati wa watu waliojitokeza katika shoo ya AllWhite Cirocparty usiku wa kuamkia leo.   Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFAMANIWA NA MUME WA MTU

Image
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo

PICHA MWILI WA AISHA MADINDA WASWALIWA KABLA YA MAZIKO

Image
Mwili wa Aisha Madinda ukiswaliwa kabla ya maziko huko Kigamboni jijini Dar hivi punde.  Akina mama wakiuombea mwili wa marehemu Aisha Madinda. Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda likiwa mbele ya waombolezaji.  Mtoto wa kike wa marehemu akiwa amezimia baada ya mwili wa mama yake kuwasili Kigamboni.  Jeneza lenye mwili wa marehemu Aisha Madinda wakati likiwasili nyumbani kwao marehemu Kigamboni, Dar. Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo. Waombolezaji wakisubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda Kigamboni. Ali Choki (kushoto) akiwa na Dogo Rama wakiwa msibani Kigamboni. Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu.

SIMANZI KUBWA... HEBU WAONE HAWA WATOTO 8 WALIVYOKUTWA WAMEUAWA NDANI YA NYUMBA

Image
Wakazi waishio jirani na eneo la mauaji hayo wakiwa wamekusanyika nje ya nyumba hiyo mjini Cairns.WATOTO nane wamekutwa wameuawa kwenye nyumba moja katika mji wa Cairns eneo la Queensland kaskazini mwa Australia. Polisi nchini Australia wakiendelea na uchunguzi katika eneo hilo. Vyombo vya habari nchini humo vimesema kuwa watoto hao wote kati ya miezi 18 na miaka 15 walikuwa wamechomwa visu.  Polisi wa eneo la Queensland wanasema kuwa waliitwa kwenda kwenye nyumba hiyo baada ya ripoti kutolewa kwamba mwanamke mmoja alikuwa amejeruhiwa vibaya. Lakini ndani ya nyumba hiyo polisi waligundua maiti za watoto nane.  Inaaminika kuwa watoto hao walichomwa visu hadi kufa. Polisi wanasema kuwa mtoto mdogo zaidi kati ya watoto hao alikuwa na umri wa miezi 18 na mkubwa zaidi alikuwa na miaka 15. Polisi wakiwafariji majirani waliokusanyika nje ya nyumba yalipotokea mauaji. Mwanamke ambaye anakisiwa kuwa na umri wa miaka 30 amepelekwa hospitalini akiwa na majeraha ya v

MAMBO KUMI (10)YA KUZINGATIA WAKATI WA UJAUZITO KWA AJILI YA AFYA YA MAMA NA MTOTO.

Image
1.Punguza matumizi ya vyakula vyenye “caffeine” Kama vile chai, kahawa na soda za cola huweza kusababisha mimba kuharibika au kutoka. 2. Kula vizuri chakula chenye mlo kamili na aina mbalimbali za matunda ili kujenga afya yako na ya mtoto. 3. Pata muda wa kutosha wa kupumzika ili kutuliza mwili na akili kwa afya yako na ya mtoto. 4. Fanya mazoezi madogo madogo ya viungo kama kutembea, kuogelea na yoga mara kwa mara 5. Kunywa dawa za kuongeza vitamini mwilini “Pregnancy vitamin” endapo huna uwezo wa kula chakula chenye mlo kamili lakini isiwe mbadala wa chakula 6. Acha kuvuta sigara kama ni mtumiaji kwani husababisha madhara kwako na pia mimba kutoka, kuzaa mtoto kabla ya siku kutimia na mtoto kufariki akiwa tumboni. 7. Acha kunywa pombe kwani humfikia mtoto kupitia mirija ya damu na “placenta” kama ukishindwa kabisa punguza kwa kiasi kikubwa. 8. Baada ya kugundua tu una mimba muone mkunga kwaajili ya maelekezo na ratiba ya jinsi ya kuhudhuria kliniki. 9

WANAJESHI 54 WA NIGERIA WAHUKUMIWA VIFO KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA BOKO HARAM

Image
Wanajeshi hao wakiwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi jijini Abuja nchini Nigeria.Mahakama ya Kijeshi nchini Nigeria imewahukumu adhabu ya vifo wanajeshi wake 54 waliokataa kupambana na wapiganaji wa Kundi la Boko Haram. Wanajeshi hao walikutwa na hatia ya uasi, kushambulia na uoga. Wanajeshi hao wanashutumiwa kukataa kupigana kurudisha miji mitatu iliyokuwa ikishikiliwa na Boko Haram mwezi Agosti. Mwanasheria wa wanajeshi hao amesema wamehukumiwa vifo kwa kupigwa risasi na kikosi maalum huku wanajeshi wengine watano wakiachia. Vikosi vya Kijeshi vya Nigeria vimedai kuzidiwa silaha na Boko Haram, kwa kuwa hawapatiwi silaha za kutosha kupambana na wanamgambo hao. Boko Haram wanapambana kuunda himaya ya kiislamu kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. CHANZO: BBC

JK:AKATISHA ZIARA YA MIZENGO PINDA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri Mizengo Pinda amekatiza kwa muda, ziara yake katika Falme za Kiarabu kwa maelezo kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu. Waziri Mkuu ambaye yuko katika ziara ya kutembelea nchi za Falme za Kiarabu, ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano na kutafuta wawekezaji, amekatisha ziara hiyo siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kujiuzulu kutokana na kashfa ya Escrow. Waziri mkuu Mizengo Pinda. Werema alijiuzulu juzi na Rais Kikwete akaridhia hatua hiyo, huku umma ukisubiri hatua zaidi dhidi ya mawaziri na watendaji wa Serikali waliotajwa katika sakata hilo.Katika barua yake ya kujiuzulu, Jaji Werema alisema ushauri wake wa kisheria kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka na hivyo kuchafua hali ya hewa. Kwa mujibu wa ratiba ya ziara hiyo, leo Waziri Mkuu alitarajiwa kufanya mazungumzo na washiriki wa maonyesho ya B2