Posts

MAHAKAMA YAMSAKA PADRI ANAYEKABILIWA NA KESI YA KUMLAWITI MTOTO

Image
Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, limeshindwa kusikiliza rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyomwachia huru Padri wa Kanisa Katoliki, Sixtus Kimaro aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumlawiti mtoto wa miaka 17. Rufaa hiyo ilipangwa kusikilizwa hivi karibuni lakini hata hivyo padri huyo pamoja na wakili wake hawakufika mahakamani. Upande wa Jamhuri una hoja saba katika rufani hiyo.Kabla ya kuachiwa huru baada ya kukata rufaa, Padri Kimaro alihukumiwa kifungo cha miaka 35 jela na kulipa faini ya Sh milioni mbili kwa mtoto baada ya kupatikana na hatia. Kutokana na kushindwa kwa jopo hilo kusikiliza rufani hiyo wiki iliyopita, kwa kutotokea mahakamani hapo padri huyo wala wakili wake, jopo limeagiza upande wa Jamhuri kutoa taarifa ya mwito kuwa anahitajika mahakamani hapo kupitia vyombo vya habari.   Hatua ya kuamriwa kutumika vyombo vya habari kunatokana na wakili wa Serikali, Salum Malick kudai kuwa amepata

BREAKING NEWS: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAYA HAPA..

Image
MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825 Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54 Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74. SHULE 10 ZILIZOONGOZA 1. Igowole 2. Feza Boys 3. Kisimiri 4. Iwawa 5. Kibaha 6. Marian Girls 7. Nangwa 8. Uwata 9. Kibondo 10. Kawawa SHULE 10 ZA MWISHO 1. Ben Bella 2. Fidel Castro 3. Tambaza 4. MuhezaHigh School 5. Mazizini 6. Mtwara Technical 7. Iyunga technical 8. Al- falaah Muslim 9. Kaliua 10. Osward Mang'ombe Kuona matokeo pitia hapa:  http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm ======== MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9% mwaka jana. Tambaza ndani ya shule 10 za mwisho, K/Katibu Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo KUYAO

BELIVE OR NOT HIZI NI PICHA ALIZOTUPIA INSTA HUDDAH THE BOSS.....LOL!! ITS AMAZING

Image

HATIMAYE BIFU LA WEMA SEPETU NA PENNY LAFIKA TAMATI

Image
, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu. e Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema: “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye kama kawaida. Nimeamua kuachana na yote, mimi ni binti wa Kiislam na Akizungumza , Wema alisema: “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye kama kawaida. Nimeamua kuachana na yote, mimi ni binti wa Kiislam na nahitaji sana swaumu yangu ipokelewe vyema kwa Mungu.” Mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’. Kwa upande wa Penny alifunguka: “Siwezi kusema nitamchukia Wema ila nimekubali matokeo, sina tatizo naye tena ingawa najua hatuwezi kuwa marafiki tena  kama zamani, lakini yaliyopita yameshapita.” Wema na Penny walikuwa na

ACHANWA NA NYEMBE NA KUTEMBEZWA UMBALI WA MITA 300 BILA NGUO UKO KIHONDA- MOROGORO

Image
Aliyekatwa nyembe. MWANAMKE   mmoja,  Rehema Juma (21) ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Mtaa wa Msamvu B, Kata ya Kihonda Maghorofani mkoani Morogoro amechanwa na nyembe mwilini na baadaye kutembezwa bila nguo mtaani mchana kweupe akituhumiwa kufumwa na mume wa mtu. Tukio hilo la aina yake  ambalo lilivuta umati mkubwa, lilitokea Julai 5, mwaka huu saa 10 jioni katika Mtaa wa Msamvu B. Mashuhuda wa tukio hilo walipohojiwa na paparazi walidai kuwa kwa muda mrefu, Zaitun Ally (30) ambaye pia anaishi kwenye mtaa huo alikuwa akimshutumu Rehema akidai anatembea na mumewe, hivyo akaamua kutega mtego bila mafanikio. “Zaituni baada ya kushindwa kuwanasa leo aliamua kumuita Rehema nyumbani kwake na kudai amewafuma na mumewe hivyo kumchana nyembe baadaye kumvua nguo na kumtembeza bila nguo mtaani hadi nyumbani kwake umbali wa mita 300 mchana kweupe,” alisema mmoja wa mashuhuda hao aliyejitambulisha kwa jina la Ashura Ally. Rehema Juma akiwa na mama yake. Paparazi alifika

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASAANI NYOTA WA FILAMU NA MUZIKI KUTOKA NCHINI MAREKANI JIJINI DAR LEO

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki kutoka  Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni na  Terrence J. Jenkins, mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment (wa pili kulia) Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records (wa pili kushoto)  na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonesha vivutio vya kitalii wasanii nyota wa muziki na filamu wa Kimarekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni   Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. W

SHUHUDIA MATESO HAYA: ATESEKA ICU KWA MIEZI 5

Image
Mwanafunzi Norat Rashid akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili. MATESO ya mwanafunzi Norat Rashid (16), anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Mtoni Relini, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam ni ya kuhuzunisha na kutia huruma kutokana na ajali ya pikipiki aliyoipata miezi nane iliyopita wakati akienda shuleni. Norat alimuambia mwandishi wetu hivi karibuni katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Muhimbili Jengo la Mwaisela chumba namba mbili kuwa ajali hiyo aliipata maeneo ya Mtoni kwa Azizi Ally saa za asubuhi wakati akivuka barabara akienda shule. Alisema mara baada ya ajali alipoteza fahamu na alipozinduka alijikuta amezungukwa na madaktari wa Muhimbili. Katika mahojiano hayo, Norat alikuwa na haya ya kusema: “Najua huu ndiyo mwisho wangu wa kusoma, ndoto ya kufika chuo kikuu imezimika ghafla kama taa, sikutegemea kama leo hii ningekuwa hivi, nili

HAUSIGELI MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE.

Image
 Mtoto Miseto (8) aliyejeruhiwa na anayedaiwa kuwa bosi wake. Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake. Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas ambaye ni mchuuzi wa samaki katika maeneo hayo alidai kwa wakati akiwa na wachuuzi wenzake walimuokota mtoto huyo akiwa amelala juu ya mchanga ufukweni mwa ziwa hilo huku akiwa na majeraha mbalimbali mwilini. Akizugumza na mwandishi wetu wiki iliyopita kwa njia ya simu na kuthibitishwa na mmoja wa askari wa Kituo cha Polisi cha Busurwa,  alisema siku hiyo saa 12 asubuhi walimuona mtoto akiwa amelala juu ya mchanga huku akiwa na rundo la nguo ambazo alidai aliambiwa na bosi wake azifue. “Tulimuuliza mtoto huyo sababu za kuwa na majeraha, akajibu kuwa amejeruhiwa na bosi wake an

WEMA SEPETU ALIZWA VIBAYA

Image
  Staa wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu. KUNA STAA wa sinema za  Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini kazi haikufanyika.  Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania Kituo Kikuu jijini Dar es Salaam, kilisema ilikuwa mwaka jana (2013) ambapo Wema alimkabidhi mhariri huyo filamu mbili, Super Star na Vian Unaspect. MALIPO YAFANYWA, KAZI HAKUNA Ikazidi kudaiwa kwamba mbali na filamu hizo, Wema alimlipa jamaa shilingi 2,500,000 ili kuzihariri (editing) filamu hizo ikiwa ni hatua ya mwisho kabla ya kuingia sokoni. JAMAA AINGIA MITINI, AMKWEPA WEMA Habari zikazidi kudai kwamba, baada ya kuudaka ‘mpunga’ huo jamaa huyo amekuwa akimzungusha Wema kufanya kazi zake na kumkabidhi ili azipeleke sokoni ndipo wiki iliyopita mli

JE, WAJUA SIFA NA MATUKIO YA MWEZI ULIOZALIWA? SOMA HAPA MATUKIO NA SIFA ZA KUZALIWA KWA WATU MBALIMBALI UFURAHIE.

Image
This is funny and interesting kama ulizaliwa July na Dec its just crazy Jan ---------------JANUARY BABY-------------------- Pretty/handsome. Loves to dress up. Easily bored. Fussy. Seldom shows emotions. Takes time to recover when hurt. Sensitive. Down-to-Earth. Stubborn. Re-post this in 5 min and you will meet someone new in 8 days that will perfectly balance your personality. Feb ----------FEBRUARY BABY -------------------- Abstract thoughts. Loves reality and abstract. Intelligent and clever. Changing personality. Attractive. sexiest out of everyone. Temperamental. Quiet, shy and humble. Honest and loyal. Determined to reach goals. Loves freedom. Rebellious when restricted. Loves aggressiveness. Too sensitive and easily hurt. Gets angry really easily but does not show it. Dislikes unnecessary things. Loves making friends but rarely shows it. Horny. Daring and stubborn. Ambitious. Realizing dreams and hopes. Sharp. Loves ente