Posts

BAADA YA KURIPOTIWA KUFUNGA NDOA MSANII ELIZABETH MICHAEL(LULU) ANENA HAYA

Image
Baada ya fununu kuwa Lulu amefunga ndoa zilizoenea kwenye Blogs mbalimbali...Hatimae Msanii huyo amevunja ukimya na Kusema yanayoenelea nyuma ya Pazia cheki picha na Post zake huko Instagram.... TOA MAONI YAKO HAPA CHIN

MCHUNGAJI AFUNGUKA JUU YA FLORA MBASHA NA MUMEWE..!

Image
  Mbasha akiwa na Pingu. WAKATI  mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana na sakata hilo, Risasi Jumamosi limesheheni mkobani. Mbasha aliachiwa kwa dhamana juzi akitokea Gereza la Keko, Dar baada ya kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Juni 17, mwaka huu na kusomewa mashitaka mawili ya ubakaji ambayo hata hivyo, aliyakana. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima.   ILIVYOKUWA KORTINI Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, mheshimiwa Wilbeforce Luago siku hiyo ya Juni 17, alitoa hoja kwamba upande wa jamhuri hauna pingamizi hivyo dhamana ipo wazi. Emmanuel Mbasha akielekea kizimbani.   Alisema mshitakiwa alitakiwa kuwa na wadhamini wawili, m...

WASHUHUDIE BABU SEYA NA MWANAE PAPII KOCHA WAKIBURUDISHA JANA

Image
Msanii Nguza Viking anayetumikia Kifungo chake Gerezani akiwa na Bendi ya Wafungwa(anayepiga gitaa) akiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani(wa pili kulia) ni Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika leo Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.

ANGALIA PICHA KIUMBE CHA AJABU KILICHOZALIWA SINGIDA

Image
Mwanamke  mmoja  mkazi  wa  Kintinku, Wilayani  Manyoni  mkoani  Singida  amejikuta  akimwaga  machozi  baada  ya   kujifungua  mtoto  mwenye  kichwa  cha  ajabu (  tepe tepe).  Tukio  hilo  limetokea  jana  asubuhi    katika  hospitali  ya  Kintinku  Health  Center  iliyopo  Wilayani  Manyoni….. Akiongea  na    Mpekuzi  kwa  sharti  la  kutotajwa  jina  lake  kwa  madai  kuwa  yeye  si  msemaji  wa   hospitali  hiyo, Mkunga  mmoja  wa  hospitali  hiyo  amedai  kuwa  mama  huyo  alifikishwa  hospitalini  hapo  akiwa  katika  hatua  za  mwisho   kujifungua. “Alifikishwa  hapa  akiwa  ...

ANGALIA PICHA MTOTO WA AJABU MWENYE UMBO LA CHURA AZALIWA, .

Image
Mtoto wa ajabu amezaliwa huko wilayani makete mkoani njombe usiku wa kuamkia tarehe kumi na saba june 2014. Ukimuona mtoto ngozi yake ni kama amevaa koti kubwa kushinda uwezo wa mwili wake akiongea na blog hii reporter Daima kyando alisema mtoto huyo wa ajabu alikua na tumbo kubwa lililomeza viungo vingine vya mwili kama miguu,mikono,kiuno na shingo. Akiendelea zaidi reporter huyo mahiri alisema mama wa mtoto huyo ambaye jina lake halikupatikana mara moja alikua na afya nzuri na kuonesha kuwa mimba yake ilikua ya kawaida kwani alihudhuria clinic kama kawaida na hakupatikana na matatizo yoyote.   Habari zaidi zinasema kuwa mtoto huyo alizaliwa akiwa amekwisha fariki na alizaliwa kwa njia ya upasuaji,chanzo cha tatizo la mtoto huyo hakikuweza kufahamika mara moja mpaka tunaenda mtandaoni madaktari walikuw wakiendelea na uchunguzi.    Mama wa mtoto huo hakuweza kuongea lolote zaidi alilia kwa uchungu kwani na yeye alishikwa na bumbuazi juu...

ANGALIA PICHA DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE.

Image
Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu. Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu. Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena. Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.  

ANGALIA PICHA ZA DIAMOND,SHILOLE,SAID FELLA,BABU TALE,MARTIN KADINDA NA WASANII WENGINE

Image
 Martin Kadinda akiwa na Shilole Ndani ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma  Martin Kadinda na Diamond wakijadiliana  Shilole,Martin Kadinda na Diamond Mzee Chilo na Diamond wakishow love katika Uwanja Jamhuri Dodoma Leo hii Ambapo wasanii wote watahusika katika Jukwaa Moja

PICHA ZA TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Image
Diamond Platnumz akiwa katika pozi pamoja na baunsa wake Habari picha toka  tamasha la uzalendo na uzinduzi wa video ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania iliyoimbwa na wasanii wakubwa 50 kutoka pande zote za Tanzania.  Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Wasanii Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Weusi, Hadija Kopa, TMK Wanaume na Yamoto Band na wengine wengi watatumbuiza Mzee Chilo akiwa na Diamond Msanii wa mziki alietokea EBSS, Menina na Rachael Kizunguzungu wakifatilia uzinduzi wa Mwanamziki wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (katikati). Umati wa watu waliojitokeza katika uzinduzi wa Video ya Wimbo wa Muungano katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

PICHA DIAMOND AKIWA NA MZEE CHILO LEO HII MJINI DODOMA

Image
Mzee Chilo na Diamond wakishow love katika Uwanja Jamhuri Dodoma Leo hii Masaa  machache kabla ya Show leo Ambapo wasanii wote watahusika katika Jukwaa Moja.

FLORA MBASHA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WASIOFAHAMIKA

Image
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka.    Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi kwa sasa.   Kwa mujibu wa chanzo, siku ya tukio ilikuwa  saa 9.15 alasiri ambapo Flora aliingia nyumbani kwake na kufunguliwa geti kubwa kisha kuingiza gari ndani na geti kufungwa tena.   “Flora aliingia na gari akitokea hotelini anakoishi kwa sasa. Alikuwa ameshaingia na geti likafungwa. Ghafla, watu wakafika na kugonga geti hilo kwa nguvu huku wakisema watalibomoa geti kama wenyeji hao hawatafungua,” kilisema chanzo. Chanzo kikazidi kudai kwamba, ilibidi Flora apige simu polisi ili wafike kumuokoa yeye na familia yake.   “Polisi wawili walifika haraka sana wakiwa n...

ANGALIA PICHA INASIKITISHA; BOMU LALIPUKA DARAJANI ZANZIBAR, MMOJA AFARIKI

Image
  Mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu jana Juni 13, 2014  ulilipuka eneo la Darajani Zanzibar na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi watatu. Tarifa zinasema mlipuko Huo umetokea baada ya waumini wa dini ya kiislamu kumaliza muhadhara uliokuwa ukitolewa Miskiti wa darajani baada ya salsa ya Isha. Aliyekufa ni mmoja kati ya wahadhiri waliokuja kutoka Tanga na Sheikh Hamad ndiyo aliyekuwepo theater. Na Sheikh Kassim Mafuta kaumia kidogo. Majeruhi 3 wamelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar wakiwa na majeraha madogo 'madogo. Majeruhi wa nne yupo theatre sasa hivi na nali yake sio mbaya. Picha/Habari na Salim Sujae

JAQUELINE WOLPER ANASWA LIVE NA MUME WA MTU

Image
KABANG!  Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu, Risasi Jumamosi limesheheni. Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu.   Kwa muda mrefu Wolper amekuwa makini na picha zake za kimahaba tangu alipokuwa akitoka kimapenzi na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Abdallah Mtoro ‘Dallas’.   CHANZO CHAMWAGA MTONYO Awali, chanzo makini kilipenyeza habari kuwa kuna mawasiliano yamenaswa ‘kimafia’ ambayo yalitoka kwa Wolper kwenda kwa rafiki yake yakionesha anabanjuka na mwanaume huyo wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Gee.   YADAIWA NI MUME WA SHOSTI YAKE Chanzo hicho kilikwenda mbali zaidi kwa kudai kwamba licha ya kuwa ni mume wa mtu, mwanaume huyo ni bwana wa rafiki yake kutokana na mawasiliano hayo yalivyosomeka.   “Mashabiki kila si...

ZIJUE DAWA ZA NYWELE ZINAZOSABABISHA UVIMBE WA KIZAZI.

Image
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia. Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokana na kemikali za dawa hizo ambazo huingia mwilini kupitia majeraha au ngozi wakati wa kupaka . Daktari wa Manispaa ya Ilala, Laurent Chipata alifanya utafiti na kubaini kuwa dawa za nywele na vipodozi zina kemikali ambazo husababisha uzalishwaji wa vichocheo kwa kiasi kikubwa na kusababisha uvimbe kwenye kizazi uitwao fibroids au leimyoma. "Kemikali hizi hupenya kwenye ngozi na wakati mwingine hata kwa harufu tu, husababisha kuzalishwa kwa wingi wa vichocheo aina ya estrogen ambavyo huchangia kuota kwa uvimbe wa fibroids," anasema. Dk Chipata anasema kukua kwa uvimbe kwenye kizazi hutokea katika kipindi ambacho mama yupo kwenye uzazi yaani kabla hajakoma hedhi. Utafiti ...